biashara

  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Mexico: Chimbuko la Biashara Haramu Duniani

    Ukienda Mexico, mzee baba, acha kabisa! Yaani kule hakunaga cha biashara ya reja reja wala nini, kule ndio chimbuko, kiwanda kikuu na jikoni kwenyewe ambako kila aina ya mzigo haramu unapikwa na kusambazwa Marekani na dunia nzima. Hii biashara inalipa sana kule Mexico, mzee baba Yaani huko...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao. Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wabongo hawana ubunifu kwenye biashara zao na maisha kwa ujumla

    Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality. Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi yuko Sehem sahihi? Unaingia kula chakula sehemu meza hazijapangiliwa, maji ya kuna wa mtu kaweka...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ushirikiano wa kibiashara

    Wasalaam! Je, una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji wa kuanzisha? Hii ni fursa yako. Nina mtaji wa TSh Milioni 10 na kutokana na majukumu mengi ya kazi nashindwa kujigawa, ninatafuta kijana mwenye wazo la biashara lenye tija na uwezo wa kusimamia biashara hiyo kwa uadilifu, uwajibikaji...
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unataka kufanya biashara ya kukodisha nguo za harusi? Usikurupuke kununua nguo nyingi…Jifunze hii kwanza!

    Biashara ya kukodisha nguo za maharusi inaweza kuwa na fursa kubwa kwa sababu harusi, send-off na sherehe mbalimbali zinaendelea kufanyika kila siku. Lakini kuwa na nguo nzuri pekee hakutoshi kukufanya ufanikiwe. Unahitaji kuielewa biashara yako na kuisimamia kwa mfumo. 1. 🎀 Chagua nguo...
  6. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Namna wenzetu wanavyowaandaa watoto wao kuja kuwa wasimamizi wa biashara zao

    Huyukushoto ni mtoto wa Mohamed Dewji,anaitwa ABBAS ndiye mrithi wa mali zote za ukoo na msimamizi (ameshateuliwa),sasa hivi anazunguka nae katika kila sula la biashara na anaingia naye kwenye vikao vya bodi ya wakurugenzi ya METL. Huyu katikati ni WAMKELE MENE , Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya...
  7. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nitakupatia domain name na kukutengenezea email ya kampuni au biashara yako kwa 50,000 tu

    OFFA YA LEO TU. Sasa unaweza kuiipatia email ya kampuni yako au biashara tako rasmi kwa Tsh.50,000 tu. achana na gmail.com bali utapata domain kama biasharayako.co.tz na email tako rasmi yaani info@biasharayako.co.tz. wahi sasa offa hii ni kwa wateja 5 tu. Email yako utaipata ndani ya masaa...
  8. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Katika ujasiriamali sio hamasa pekee inayojenga biashara, unahitaji uvumilivu na mtazamo sahihi zaidi

    Ndani ya hii miaka sita 6 tokea niamue kuachana rasmi na ajira, kuna kitu nimejifunza kuhusu ujasiriamali ambacho ningependa vijana wengi wakijue mapema na I hope wengine wengi wamekifahamu pia. So ni suala labda niseme la kubadilishana uzoefu tu, kasoro kwa wale ambao hawajajitosa kikamilifu...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Wazee kuna jamaa yangu kaanzisha biashara, kila wiki anataka nimuungishe, imekuwa kero!

    Wakuu, Jamani mkianzisha biashara muwe mnaangalia na wateja, Kuna mwanangu kaanzisha biashara ya smoothies na juice. Alivyoanza biashara yake kiuana nikawa naenda kununua, nikitoka ofisini ntapitia ntanunua hata smoothies mbili nitaondoka Sasa sijui jamaa kaona dezo, yaani kila baada ya...
  10. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

    Habari wanaJF... Oke! Baada ya salamu nirudi kwenye mada yangu, jinsi gani biashara ndogo ya tofali ilivyonipa faida kubwa kwa jasho na damu. Miezi kama minne nyuma nilipata idea ya kuuza tofali za kuchoma. Hii idea ilikuja baada ya kuteseka sana kupata tofali wakati wa ujenzi wa nyumba...
  11. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ipi nifanye

    Habari Mimi ni kijana wa miaka 25+ ninamtaji wa Tah 1M niko shinyanga mjini sasa naombeni ushauri wakuu, 1: Kufugua biashara ya duka la mangi mtaani. Kwa sababu ya ufinyu wa mtaji. Mzunguko mtaani ni mkubwa 2: Kufungua duka sokoni (kibanda kipo hakuna Kodi) ili niwe nachanganya baadhi ya...
  12. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Je, unapenda biashara ya Vipodozi?

    Kama unapenda biashara ya vipodozi na una mtaji mdogo ila una uaminifu, tuwasiliane kwa 0713 039 875
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siamini kauli ya keki ni kubwa kwajili yetu wote kwenye biashara yenye ushindani, Biashara ni vita !!

    “Keki ni kubwa kwa ajili yetu wote.” Si amini. Kwenye biashara, kila mtu anataka kuongeza market share. Kila mtu anataka scale. Kila mtu anataka wateja wengi zaidi, branches nyingi zaidi, revenue kubwa zaidi. Wateja wako kuhamia kwao ndio mafanikio ya kibiashara kwe wengine Kuna muda...
  14. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Jipatie website ya kampuni yako au biashara yako kwa 120,000 tu

    Tour & Safari Companies Hotels & Resorts Lodges & Camps Travel Agencies Real Estate Companies Property Developers Construction Companies Architecture Firms Engineering Companies Law Firms Accounting & Audit Firms Insurance Companies & Brokers Banks & Financial Institutions Microfinance Companies...
  15. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofa ya leo tu haijawahi kutokea: Jipatie website ya kampuni au biashara kwa 120,000 tu

    NDIO 120,000 TU Kama upo miongoni mwa kampuni au biashara hizi Tour & Safari Companies Hotels & Resorts Lodges & Camps Travel Agencies Real Estate Companies Property Developers Construction Companies Architecture Firms Engineering Companies Law Firms Accounting & Audit Firms Insurance Companies...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara ambazo kwa Tanzania nikisikia mtu ameanzisha huwa naishia kusikitika tu!

    Sio kwamba biashara hizi hazilipi kabisa, bali mtindo wa kuzifanya kwa copy-paste bila kuongeza thamani (value addition) ndio unaofanya watu wafilisike haraka. 1. Duka la Vinywaji Baridi na Miamala na Mpesa (Frame ya Mtaani) - Hizi biashara zinatosha jamani. Faida ni ndogo mno, na mteja hana...
  17. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Miradi na Biashara Zilizoanguka au kufilisika

    Habari za wakati huu; Ni mara chache sana watu hupata nafasi ya kujifunza kutoka kwa watu ambao biashara zao zilifilisika au kuanguka kabisa.Biashara ndogo kubwa na za kati.Hi ni tofauti na ukweli wa kitakwimu unaoonesha kwamba asilimia kubwa za biashara hufa ndani ya mwaka wa kwanza. Nimeleta...
  18. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Website/tovuti ya biashara unahitaji?

    Website/tovuti ya biashara unahitaji? 0756704145 WhatsApp
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Prove me wrong, hizi kazi au biashara ukifanya usipobadilika uwezi kutoboa maisha yako yote

    Ualimu/kuajiriwa halmashauri. Wazee wa tgs brother hapa usipokuwa mwizi, usipofikiria nje ya box, usipokuwa na determination kali nafasi ya kutoboa itakuwa ni ndogo, kwasababu maisha yatakuwa magumu mpaka utakapostaafu. Ukibadilika ukawq smart ukaongeza ujuzi wako unaweza kupunguza ukali kidogo...
  20. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania biashara ya stationery

    🏪 BIASHARA YA STATIONERY 1. 📚 Nini maana ya biashara ya stationery? Biashara ya stationery ni biashara inayohusika na uuzaji wa vifaa vya shule, ofisi na uchapishaji, pamoja na kutoa huduma mbalimbali zinazohusiana na nyaraka na huduma za mtandaoni. 2. 🛍️ Vitu vya kuuza katika biashara ya...
Back
Top Bottom