biashara

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka tisa aanzisha biashara ndogo ya kuajiri walemavu tu

    Camden Myers (9) mmarekani mweusi amaunda kitu cha kahawa ambacho kinaajiri walemavu peke yao. Kijana huyu mwenye moyo wa kipekee amekuwa akitumaini kuacha historia ya wema duniani Wafanyakazi wa kiwanda chake cha kahawa ni wanafunzi wa shule ya walemavu ya Winston-salem Dhima yake inaongozwa...
  2. BONGOLALA

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wadada kwenda ughaibuni biashara ya ngono laibuka tena

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la Mabinti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji Dar es salaam. Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni, Ulaya na India bila kufuata taratibu umerejea tena baada ya serikali kupiga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. =========== SIMILAR CASES: =========== May 18, 2012: May 10, 2014: May 16, 2014...
  4. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa tzs milioni 10 biashara kwa wale walio busy sana yenye faida ya tzs 1.5m

    A friend of mine aliguswa na makala yangu ya biashara ya nafaka kwa wenye mtaji mdogo. Alipoguswa akaamua kuingia kwa akiba yake ya TZS 10M aliyokuwa nayo benki. Akanunua gunia 300 kwa wastani wa TZS 30,000 kwa gunia. Alitumia TZS 1M kwenye madawa na usafiri. Alikuwa na room aliyoiita ya wageni...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara la kujenga nyumba ya bei nzuri

    Ningetaka kuunda kampuni ndogo ya kujenga nyumba nzuri lakini ya bei sawa kwa ajili ya watu. Lakini ninahitaji skills na watu ambao wana mawazo yale pia.
  6. Sunshow

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuchezesha pool table inalipa?

    Nimewaza biashara ya kufanya nikapata wazo la kununua pool table mbili ambazo nitaziweka sehemu mbili tofauti. Mwenye kujua bei ya pull table nzuri na imara anijuze na pia mwenye kuijua biashara hii vizuri msaada tafadhali.
  7. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya barber shop

    Habari za muda viongozi. Ningependa kupewa dodoso juu ya biashara hii ya vinyozi. Nahitaji kujua kiwango cha chini cha gharama ya kuanzisha huu mradi, kwa sababu nataka nimfungulie kijana ambae ndio kinyozi mwenyewe, apate japo shughuli ya kufanya. Mimi nikiwa kama mmiliki wa mradi huo.
  8. Melanny

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani unaweza kufanya ikawa inakuingizia kipato na huku umeajiriwa

    Nina imani wengi tumeajiriwa ila tunatamani kuongeza kipato zaidi. Naomba tuchangieni biashara ipi tunaweza fanya tukiwa kazini. Kwa mimi kazi ambayo naweza fanya nikiwa kazini ni za kuuza bidhaa online na baadae nikitoka mida ya saa kumi nafanya delivery. Je, wewe unafanya ishu gani na huku...
  9. toplemon

    JamiiForums Tanzania Hivi viatu vya 3000 huwa vinatoka wapi? Nataka niingie kwenye biashara ya viatu

    Ni alhamis tamu sana kukiwa na hali ya hewa ya mawingu na ubaridi na kimvua hapa dar hakika napendaga hii hali sana. Ok niende kwenye mada unaweza ukapita mahali au kwenye masoko hapa dar unakuta viatu vinauzwa 3000 mpaka 4000 ni viatu vizuri sana mimi siku zote nimekua na ndoto ya kufanya...
  10. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Process unayoweza kuitumia kujitwalia wateja zaidi na mapato zaidi katika biashara

    1. Andaa orodha ya watu na taasisi ambazo unadhani zaweza kuhitaji huduma yako. Kwa mfano kama wewe ni mtengenezeji wa websites basi tafuta makampuni yote ambayo hayana website ama yana websites zisizokuwa relevant kwao. Kwa huduma ama bidhaa yoyote kuna orodha kubwa sana unaweza tengeneza ya...
  11. Mdadamwema.

    JamiiForums Tanzania Frem ya biashara inahitajika haraka

    Heshima kwenu wakuu, Natafuta frem ya biashara maeneo ya Ubungo au Tabata. Bei isizidi elfu 50. Mwenye kuwa nayo tafadhali anijuze.
  12. M-bongotz

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua biashara ya Uber kwa mkataba

    Wakuu Salaam, Baada ya saving za muda mrefu nimefanikiwa kununua kagari kadogo ambako nataka nikasajili kwenye biashara ya Uber. Nimeshasikia kuwa kuna utaratibu wa hesabu ya siku au Mkataba. Binafsi natamani zaidi huo mfumi wa mkataba ingawaje sina ABC's za kutosha juu ya namna unavyoendeshwa...
  13. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Lipa kidogo kidogo njia bora ya biashara makampuni hawaitumii

    Habari, Naamini muwazima wa afya njema Pia nadhani hili ndio andiko langu la kwanza basi niseme happy new year Katika biashara watu wengi hufanya kwa njia na mbinu mbalimbali kutegemeana na wateja lengwa nk, nimekutana na watu tofauti tofauti kuanzia vijana akina mama na baadhi ya sekta...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Wanandugu, naombeni msaada tafadhali. Mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu; nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa jijini Dar (hasa mpira wa Ligi Kuu ya Uingereza). Je, vipi ni biashara nzuri kufanya au niachane nayo...
  15. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika hotuba yake ya kwanza katika mwaka wa 2020 aliyoitoa kwenye Ikulu ya Rais Mombasa amemteua Monica Juma kama Waziri wa Ulinzi huku Raychelle Omamo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje. Ukur Yatani ameteuliwa kama Waziri wa Fedha...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Biashara za majeneza hospitalini zinawapa msongo wa mawazo wagonjwa

    Wafanyabiashara ya kuuza majeneza karibu na hospitali wamepewa hadi Machi kuondoa bidhaa zao karibu na hospitali moja iliyopo mjini Lusaka, Zambia kulingana na gazeti la Daily Mail. Meya wa mji wa Lusaka Miles Sampa amesema kwamba wauza majeneza watahamishwa hadi maneo ya makaburini iwapo...
  17. matokeotz

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

    Habari, Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana. Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi gani? Bei ya Bajaji mpya kiasi gani? Iliyo tumika kiasi gani? Kingi chochote nijue? Asante sana
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Waziri wa Fedha Dr Mpango: Maoni kuhusu vikwazo katika kufanya biashara Tanzania

    UTANGULIZI Wakuu; hivi karibuni Waziri wa Fedha Dr Mpango alialika watu kutoa maoni yao kuhusu mambo wanayoyaona kuwa ni kikwazo (au vikwazo) kwao katika kufanya biashara na akaahidi kuwa serikali itayafanyia kazi maoni hayo. Ni kwa sababu ya wito huo (najua watu wa serikali hupitia hapa) natoa...
  19. Mau

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA wanaitambua hii biashara ya Vodacom?

    Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee. Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher? You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be...
  20. NMB Tanzania

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
Back
Top Bottom