Wazalendo_Tz
Member
- Jul 7, 2026
- 17
- 25
Wakuu hivi kwanini vijana hatugusi kabisa biashara za viwanda tunakimbilia maduka tu
Wakati miaka ya nyuma pale kitumbini palikua ni soko la wahindi tu sasa wamebaki wachache wengi wao
Wamehamia kwenye uzalishaji wa bidhaa kwanini sisi tusifikirie huko au tunakwama wapi