biashara

  1. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua biashara ya mapochi (hand bag za wadada) ikoje kuna mdau anataka kufanya?

    Kuna mdau ameniomba nimuulize humu. Anataka kufanya biashara ya mapochi (purse or handbag) So anataka kujua kama wapo wanaofanya je:- 1) Soko likoje? 2) Aina Gani ya ma bag yanapendwa sana na wadada au wamama 3) Je, wap anaweza nunua mzigo hapa Tanzania awe anauza? 4) Mtaji wa shilling ngap...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya bidhaa online ni wizi mtupu sisimizi anauzwa kwa bei ya tembo je hii ni biashara au utapeli?

    Naomba tu kusikia kwenu wadau! Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery" Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili kupata oda! Bidhaa nyingi za namna hiyo zipo hapa hapa Tanzania kariakoo na Sinza! Mfano wa bei...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Maboss zangu, karibu kwa bidhaa na biashara safi!

    HABARI ZA MDA HUU NDUGU ZANGU WAPENDWA... Nauza vitu hivi tayari kwa matumizi: 1. TV ya Solar 32 inch – , bei: Tsh 170,000 ✅ 2. Kioo cha Computer HP 24 inch – Safi, nzuri kwa kazi yoyote, bei: Tsh 110,000 ✅ 3. Computer Kali ya Kusimama HP – Core i5-2400CPU @ 3.10GHz, RAM 8GB, Harddisk...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Pastor Tony iko mashakani

    Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua. Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia...
  5. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  6. Organic Uncle

    JamiiForums Tanzania Msaada Wadau Wenye Uzoefu Wa Biashara Ya Dry Cleaner.

    Jamii pendwa habari zenu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya dry cleaner imekuwa kwenye kitabu changu cha kumbukumbu kwa muda mrefu. Naomba msaada wamawazo gharama zake hasa za mtaji wa vitu vinavyohitajika Naishi Tanga Mjini
  7. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mabasi Dar-Mbeya-Tunduma bila uchawi hutoboi

    Hii Njia usipojidhatiti lazima uangukie pua kama wafuatao, 1. Ndenjela 2. Ilasi 3. Sauli 4. Matema 5. Rungwe 6. Scandinavia 7. Hood, 8. Majinjah.
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawawekezi kwenye biashara ya ma godown wakati hela nje nje

    Hii biashara NI nzuri Sana ukiwa na million zako 100 unaweza kujenga go down zuri la medium size la kisasa unaweza ukarudisha hela yako ndani ya misimu miwili Tu ya kilimo.mfano huku kusini Lindi wakulima wanalima ufuta Kisha wanalima mbaazi halafu wanamalizia na korosho sasa kila kilo kutunza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Website sio mpaka uwe na kampuni, biashara unaweza kuwa na website kwaajili ya familia, watoto, wazazi, au hata yako mwenyewe.

    Wakuu, Habari! Watu wengi hufikiri kuwa na website ni kwa watu wenye biashara na makampuni tu… lakini si kweli! Unaweza kuwa na website kwaajili ya familia yako, watoto, wazazi, au hata wewe mwenyewe. Faida za kuwa na website yako: Hifadhi kumbukumbu zako: Picha, video, na mafaili mengine...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unaweza kufanya kwa mtaji wa Laki 3 kwa mwaka 2025?

    Biashara na Fursa Biashara gani unaweza kufanya kwa mtaji wa Laki 3 kwa mwaka 2025?
  11. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani biashara ya kufua nguo(laundry service) ni rahisi kuanza kwa mtu mwenye mtaji mdogo?

  12. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukodisha nguo inaweza kuleta vita na wauza nguo?

    Wakuu kwela? Biashara ya kukodisha nguo za kuvaa ( Sio za harusi) . Za kuvaa kawaida, inaweza kuleta Vita na wauza nguo? Mwenye uzoefu amwagike please
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata?

    Wakuu habari, Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata ? Betting platform inahitaji uwekezaji mzuri na wa kiwango cha kati au cha juu. naomba kama kuna mtu alikuwa anafikiria kuwa nayo hivi karibuni tuwasiliane.
  14. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamii ya kitanzania hatuwezi kufanya biashara ya kifamilia

    Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini? Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
  15. Jebel

    JamiiForums Tanzania Unataka kuingia kwenye biashara za pikipiki pita hapa ujifunze kitu

    MIEZI 3 KWENYE BIASHARA YA SPARE ZA PIKIPIKI FAIDA NA CHANGAMOTO ZAKE Salamu, Baada kuiwazia sana biashara hii nikaona si vibaya nikaweka vimillioni kadhaa ili nione kama kweli iko kama isemwavyo, si unajua utamu wa ngoma....... Kituo cha kwanza nikatinga wizara ya JF ili kupekua makaburasha...
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Muhimu kufanya Biashara kama kampuni?

    Kwanini ni Muhimu kufanya Biashara kama kampuni? Pia inaonyesha jinsi kampuni inaweza kufanya biashara nyingi chini ya jina moja na kufaidika na masharti ya kodi yanayoruhusu kutoa gharama halisi kabla ya kulipa kodi. Nafasi Kubwa ya Kupata Kazi na Tenda Kufanya biashara kama kampuni...
  17. JF Member

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 8. Biashara gani italipa hapa Mbezi Luis/Magufuli?

    Habari wataalam. Baada ya kujidunduliza sasa nimeamua niingie kwenye biashara yaani busines. Naomba nipate japo ushauri kabla sijayamwaga haya mamilioni yangu. Biashara ipi inalipa hapa Mbezi ya Magufuli - na eneo lote kwa ujumla?
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Leo ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo

    Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko. Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo. Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao. Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Pablo Escobar alisema , kama hautofanya biashara na state au mamlaka , kamwe sahau humiliki pesa nyingi

    Pablo, Kwenye maongongezi yake na mwandishi wa uingereza alipata kusema kama hautofanya tenda haramu au halali na serikali au mamlaka utajiri utausikia kwenye taarifa na zaidi utapata pesa ya Kula Tu,. Akizungumzia deals kama silaha haramu, yaani kuna viwanda vina copy ya silaha halali hivo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (sehemu ya Tatu) inaendelea...

    JINSI YA KUFANYA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI REJAREJA REJAREJA ⚙Mambo Muhimu zaidi ya Kuzingatia kabla ya kuanzisha Biashara ya spea za pikipiki na bajaji rejareja🎯 Ukitaka kuanzisha biashara ya spea za pikipiki na bajaji ni rahisi sana, ila inahitaji msingi thabiti na msimamo...
Back
Top Bottom