biashara

  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Aina za Usajili wa Biashara na Faida Zake

    Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja na wawekezaji, na inakuwa rahisi sana kuibiwa jina lako la biashara. A. Usajili wa Jina la Biashara...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  3. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Tulinganishe biashara na ajira hapa

    Wakuu hebu tujaribu kulinganisha kati ya biashara na ajira kwa upekee na kwa factor zinazofanana au watu wenye madaraja sawa ya vipato kwa upande wa ajira na mtaji au mapato tuone nani anajilipa/analipwa shingapi na amefanya nini hadi sasa Nikianza mimi, ki status ni mfanyabiashara mdogo mtaji...
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Faida za kuwa na leseni ya biashara

    Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao. 1. Uhalali wa Kisheria na Uaminifu Kumiliki leseni ya biashara kunakupa heshima na hadhi kisheria. Mteja...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wenye kujua hii biashara ya LSSC

    Habarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa nkaona nimuulize mwenye idea NAYO. Humuuu... Nahisi n network business Mwenye idea tujulishane... Ruksa HATA kujielexa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mbinu Mpya za Kukuza Biashara Ndogo Mtandaoni Tanzania: Kutoka Hustle Hadi Brand Kubwa na Avea

    Habari wanajamvi, Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi hapa kwenye jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali, na nimeona kuna hamu kubwa ya kukuza biashara na kutafuta masoko mapya. Wafanyabiashara wengi wadogo nchini Tanzania wanatumia mitandao ya kijamii kama WhatsApp na Instagram kuuza...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kujaribu mfumo wetu wa Usimamizi wa Biashara za Mikopo

    Habari, Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo. Login - Peloo Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho mtahitaji yafanyike
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kubadili Jina la Kampuni au Biashara ambalo lilisajiliwa BRELA tayari

    Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata; 1. Sababu za kubadili Jina la Biashara Either unafanya -Rebranding -unataka jina linaloendana na huduma zako za sasa Etc 2. Angalia kama jina...
  9. Brightburn

    JamiiForums Tanzania OFA ya website ya biashara kwa Tsh. 250,000 tu!

    Ofa ya website kwa wamiliki wa biashara na watu binafsi pia! Wasiliana nasi kuanzia siku ya leo hadi mwezi wa 12 (December) upate ofa hii ya funga mwaka! Kutoka Tsh 600,000 hadi Tsh 250,000 tu! Utapata yafuatayo; Website moja nzuri yenye domain ya chaguo lako Email ya biashara (msaada @...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TCU: Wahitimu wa vyuo 2024, fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zaongoza kuwa na wahitimu wengi, matazizo ya kifedha sababu kukatisha masomo

    Wakuu, Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zinaongoza kuwa na wahitimu wengi, Pia usawa wa kijinsia unaimarika kwani idadi...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoanza biashara

    1. Jina la Biashara au Kampuni Kila leseni ya biashara lazima iainishe kwa uwazi jina la biashara au kampuni inayofanya kazi kisheria. Hili ni jina lililosajiliwa na linapaswa kuonekana kwenye nyaraka zote rasmi, likitumika kama kitambulisho cha kwanza cha mmiliki wa biashara hiyo mbele ya...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Huruhusiwi kufanya biashara TZ kama hauna hivi vigezo vya kupata reseni

    1. Kuwa na TIN kutoka TRA Moja ya vigezo vya msingi kabisa ni kuwa na Hati ya Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TIN ni ushahidi rasmi kwamba biashara yako imetambuliwa kisheria kama inayopaswa kulipa kodi. Bila TIN, huwezi kusajili biashara yako...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Biashara zilivyo yani mteja unamuelekeza duka lengine kumbe ilo duka nalo huyo mteja siku akienda kuuliza kilichopo hawafanyi kama kwako alivyokosa

    Kuna mambo hata siyo ya kwenda kwa mganga wa kutafuta mashaikh na wachungaji ni wewe kujua kwa nini umepoteza wateja. Hii tabia ya kujifanya unamuelekeza nenda kwa fulani basi wateja wakiona umewaelekeza kwa fulani kesho anaweza kwenda kwa huyo na kinapokwisha mteja anaweza kuuliza kinapatikana...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake warembo wengi ukimuuliza nikufungulie biashara gani lazima katika biashara hizi 4 ukosi kuambiwa moja wapo

    Sijawahi kusikia mwanamke mrembo kusikia akiniambia kuwa anapenda kufunguliwa duka la vifaa vya ujenzi zaidi ya kuambiwa 1.duka la nguo. 2.duka la kuuza vipodozi. 3.Mini pub. 4.Saloon. Huu ni utafiti nikiwa kwenye usumbufu wa michepuko.
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Fatema Dewji anasema fanya hivi ili kukuza biashara yako

    1. Pata Wateja Wapya Usisubiri bahati. Fanya biashara yako ivutie watu wapya kila wakati kwa kutumia: Matangazo yanayolenga moja kwa moja wateja wenye uwezo wa kununua Mitandao ya kijamii, SMS, whatsapp au simu Kuonyesha tofauti ya bidhaa zako kwa njia ya elimu na thamani Mteja mpya = Fursa...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mazoea na Urafiki Usio na Mipaka Kwenye Biashara ni Saratani Inayoua Malengo Taratibu

    Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
  17. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection kwenye biashara za mifugo kama ng'ombe na mbuzi

    Wadau hamjambo nyote Wafanya mishe za biashara za mifugo haswa mifugo kama mbuzi na ng'ombe tupeane fursa mbalimbali ziizoko kwenye biashara hio. Na je swali la ziada Yale maduka ya kuuza dawa za mifugo tu hua tunaziitaje? au ndio AGROVET... Na Kama Kuna thread zilishaanzishwa kwa kuelezea...
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha : Supplementary biashara kubwa ya waalimu vyuo vikuu

  19. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu wasabato wasahau kutoboa kwenye biashara, Wakati wateja wengi wako sokoni Jumamosi, wao wamepumzika

    Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine. Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”, Na...
  20. youngkato

    JamiiForums Tanzania Anza Biashara Hizi kwa Mtaji Mdogo wa Chini ya 20,000/=

    Kama una chini ya Tsh 20,000, bado unaweza kuanza biashara halali na yenye faida. Hapa kuna mifano ya biashara kumi unazoweza kuanza leo, zikiwa na ushauri wa hatua kwa hatua. 1. Biashara ya Mikate na Vitafunwa Je, unajua kuwa kwa kutumia unga, sukari, mafuta na jiko la nyumbani tu unaweza...
Back
Top Bottom