biashara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya biashara imekuwa mbaya kiasi gani mpaka kuna makampuni yanapumulia mashine kwa kuajiri interns wa kujitolea ?

    Kuna kampuni waajiriwa wake karibia wote ni interns wale wa kujitolea bure au posho ya laki wakiwa na matumaini ya kuajiriwa siku moja. Lakini ahadi hizo huwa ni maneno tu, wakizichoka na kuondoka ni kitendo cha kufumba na kufumbua wengine wanakuja kujaza nafasi zao kana kwamba hakuna...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuajiri kwenye biashara zetu wahitimu wa vyuo waliosomea marketing (masoko) ili kuzikuza biashara zetu ?

    Kuna vyuo vingi sana nimeviona vinatoa kozi ya masoko (Marketing) Kuna umuhimu wa kuajiri kwenye biashara zetu wahitimu wa vyuo waliosomea marketing (masoko) ili kuzikuza biashara zetu ?
  3. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Wakati unanua hisa za kampuni husika usiangalie bei tu ya hisa, zingatia ubora wa biashara ya kampuni husika: Nunua biashara bora

    Mara nyingi wawekezaji huangalia bei ya hisa pekee — ndiyo maana bei inapopanda au kushuka hupata presha au wasiwasi. Lakini ukweli ni huu: Unaponunua hisa, hununui tu karatasi au namba — unakuwa unamiliki sehemu ya biashara ya kampuni husika. Hivyo basi, ni busara zaidi kuangalia utendaji wa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini mauzo ya biashara yamepungua mwezi Agosti? Kipi kifanyike?

    Changamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini. Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (Sehemu ya Tano)

    JINSI YA KUSIMAMIA NA KUENDESHA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI. ⚙Watu wengi wanatamani sana kufanya  Biasha hii, laikini hawajui jinsi gani wanaweza kusimamia biashara yao ili iweze Kukua na kuleta manufaa na faida. Suala hili limekuwa changamoto zaidi kwa wale wenye...
  6. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Unataka kufungua biashara? Pita hapa

    Tuna huduma za vifurushi (packages) kwa watu binafsi, biashara ndogo, biashara kubwa, kampuni, na hata mashirika/taasisi. Tembelea ukurasa wa "Packages" kwenye website yetu (www . hamiadigital . com) Kwa wale wanaohitaji huduma moja moja, hizi ndio gharama zetu; T-Shirt za ofisi + Printing =...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ilinifunza kwamba ukiweka mbongo dukani itakulazimu uwe makini sana na daftari lasivyo utapukuchuka

    Hili ni moja ya mafundisho muhimu sana niliyowahi kujifunza kwenye biashara na bahati mbaya au nzuri, nililijifunza kwa kulipa ada kwa njia ya hasara. Siku hizi niko makini kupita maelezo. Nafuatilia kila kinachoendelea dukani kwa karibu. Hata kama mteja amenunua bidhaa ya laki mbili halafu...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas?

    Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas...ikawa kama huruma au services ambayo ipo kama mfumo wa utalii Yani something amazing Huenda kimewai kufanyika somewhere au kipya Nisaidieni kupata business idea ya hili wakui
  9. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufikiria kuanza biashara ya kuchezesha game (PlayStation)?

    🎮 Ulishawahi kufikiria kuanza biashara ya kuchezesha game (PlayStation)? Kile kinachoonekana kama “burudani ya kawaida” kimekuwa fursa kubwa ya biashara inayoweza kukuletea faida kila siku. Siri kubwa ipo kwenye mbinu ambazo wamiliki wa biashara hizi hutumia kuhakikisha michezo inalipa gharama...
  10. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mikoa 7 huwezi kufanya biashara kama huna mganga wa kweli

    1.Njombe 2.Mbeya 3.Mwanza 4.Katavi 5.Rukwa 6.Dar 7.Simiyu
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Carbon wahuni wamepiga zaidi ya 2.1T

    Wahuni wamepiga zaidi ya Trillion 1.2 kwenye biasahara ya Carbon hiyo ni kwa mwaka mmoja na nusu pekee. Wamasai hawakuwa wanahamishwa bure bure.
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumteua mtu anayetegemea kuuza bidhaa za China kuendeleza biashara ya Tanzania ni kukosa maono

  13. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kubadili Jina la Biashara

    Kuna wakati unafika unataka kubadili Jina la Biashara, kwa sababu zozote zile. Hizi ni hatua za kufuata kama unataka kubadili Jina la Biashara 1. Log in kwenye account yako ya Brela ORS Ile uliyosajilia jina la biashara unalotaka kubadili. 2. Chagua new services 3. Chagua change of...
  14. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kukuza Biashara Kupitia Strategy ya Coca-Cola

    Kuna kampuni chache duniani ambazo zimeacha alama ya kudumu kwenye historia ya biashara kama Coca-Cola. Ilichotengeneza siyo tu kinywaji, bali ni urithi wa kibiashara unaoendelea kufundisha wajasiriamali karne moja baadaye. Lakini siri yao haipo kwenye ladha pekee. Siri ipo kwenye strategy. 1...
  15. idliss

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kukuza biashara yako kwa kutumia taarifa(Data) zako?

  16. Jitu la-Mtumba

    JamiiForums Tanzania Frame ya biashara inahitajika; Arusha

    Habarini za wakati huu ndugu,jamaa na marafiki[ japo sina rafiki humu ndani,kama upo Mbeya unaweza nicheki tuka bang]. Moja kwa moja kama maada inavyosoma hapo juu,kuna pacha yangu ambaye hayupo humu ameamua kuanzisha biashara ambayo anaona yeye itamfaa pande za kaskazini Arusha. Sisi nyumbani...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  18. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Hauna uzoefu wa kupika chakula cha watu wengi. Je, unaweza kuanzisha biashara ya catering?

    🤔 Swali hili ni la kawaida sana miongoni mwa wengi wanaotamani kuingia katika sekta ya huduma za chakula. Jibu ni la kuvutia na la kushangaza kwa wakati mmoja. 🙆‍♂️ Ukweli ni kwamba: Biashara ya catering si rahisi kama unavyodhani, hasa ikiwa huna uzoefu wa kupika kwa wingi. Lakini hii...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Hamjambo! Leo sitakuwa na maneno mengi. Ukiwa na milioni Moja hizi ni biashara unazoweza kuzifanya; 1. Fundi Nguo! Chukua sherehani tatu za 250,000/= inayobakia tafuta Frem ya elfu 50. Nunua vifaa kisha anza kupiga kazi. Cherehani zingine mbili tafuta mafundi, piga kazi. 2. Saluni ya kiume...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tengeneza website full ikiwa na domain ya biashara au kampuni example.com yako kwa elfu 50 tu ndani ya siku moja

    Habari, Wakuu karibuni niwatengenezee website haraka na kwa bei poa kabisa ya shilingi elfu 50 tu unaruka hewani mtandaoni ndani ya masaa 24. Nikuwekee na domain ya biashara yako bure kwa mwaka mzima mfano example.com bila malipo, hii sii ya kukosa. Kumbuka Website hii unaweza kuitumia kuuzia...
Back
Top Bottom