biashara

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

    Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi . Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila...
  2. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu kuhusu biashara ya uchomeleaji

    Salam wanajukwaa. Husika ni kichwa cha habari, Mimi ni kijana mpambanaji na ni muda Sasa nafikiria kuhusu hii biashara ya uchomeleaji. Ila mpaka Sasa sijajua iko ikoje, naamini hapa jf wapo wazoefu wa hii kazi so nilikuwa naomba mnipe mawili matatu kuhusiana na hii kazi Nilikuwa naomba...
  3. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu kuhusu biashara ya kuuza viatu vya kiume

    Habari wana jf, poleni na majukumu Naombeni kufahamu kuhusu biashara ya kuuza viatu vya kiume . Mm natamani sana mwaka huu kwanzia mwezi wa kumi kufanya biashara ya viatu vya kiuwe nilikuwa naomba anaye fahamu biashara hii kwa kina anipe 1&2 kuhusu biashara . 1.Natamani kujua zaidi kuhusu...
  4. Nautico

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa ku share nae biashara

    Habari za wakati huu wana jukwaa Nahitaji kupata mtu kwa ajili ya kufanya nae biashara joint kwenye shughuli za uchimbaji Nina uzoefu wa miaka 2 kwa sasa,nikiwa namiliki duara kadhaa,miaro ikiwa na crush(garasha),mashamba yenye uwezo wa kuchimba Napatikana mkoa wa Mara wilaya ya Bunda...
  5. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu Tanzania — Mwongozo Kamili!

    Biashara ya dhahabu ni fursa kubwa, lakini ili kufanikiwa ni l azima ujue taratibu za kisheria, wapi pa kupata dhahabu, na mbinu za kuhakikisha unanunua dhahabu halisi. Katika sehemu hii, utajifunza hatua zote muhimu za kuanzisha na kuendesha biashara ya dhahabu kwa ufanisi. 3. MAHITAJI YA...
  6. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania Wadau nafanya biashara ya vitu vya Jumla, naombeni mni support

    Naitwa Daniel Aloyce Daniel, nipo karatu, mkoa wa Arusha, mnaonaje Wana jamii forums mkiniungisha. Najihusisha na pipi za Jumla, ambapo nawauzia watu wa reja reja mkauze. Mfano hii pipi hapo chini, nauza 7800 kwa kopo, ambapo wewe unauza 50 kama ni reja reja, ila kwa mtu anayenunua carton...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

    Habari zenu wa JF. Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha. Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya biashara za minadani

    Habari zenu wana JF. Naombeni mnisaidie ushauri kwa wale mliowahi kufanya biashara katika minada mbali mbali hasa kwa Dsm mpaka Kibaha. Nataka kuanza kuzungusha bidhaa kwenye minada je inalipa? Au ni bora nitafute meza tu sokoni?! Na vipi kwenye minada utaratibu upoje pengine kuna kulipia...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Leseni ya biashara ya duka lako la nguo

    Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na fursa zingine kubwa. Ukiwa nayo, unakua na uhuru wa kufanya biashara bila woga. Faida unazopata ukiwa...
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
  11. stan john

    JamiiForums Tanzania Soko na biashara ya mafuta ya kupikia

    Habari, Naomba kujua kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia. Utajuaje mafuta ya kupikia yanapanda au yanashuka Bei? Mawakala wa mafuta ya kupikia wanapatikans wap?
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Biashara za magari na vipato vyake

    Asalam aleykum wakurungwa,naomba kujuzwa je gari za aina huweza kuleta hesabu ya kiasi gani kwa kutwa! #Tujuzane vyombo mbali mbali vya usafiri na hesabu zake kwa wale wakurungwa!
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
  15. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?

    Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye changamoto za TRA, barua kutoka TRA na mambo ya Kodi - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  17. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Kila hotuba zao kwenye uzinduzi wa miraji yao utasikia itachochea ukuaji wa biashara/imekuza biashara. Njoo sasa kwa CAG

    Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%. Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa watanganyika. Inasikitisha zaidi pale wanapo jifanya kama.hawaoni uhalisia. Ipo shida kwenye usimamizi wa hiyo...
  18. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ambayo haipatwi na deficit ya wateja

    Nataka niongeze kitu cha kufanya zaidi ya ninachofanya sasa lakini natafuta biashara ambayo hata mzunguuko wa pesa uwe mgumu kiasi gani mahitaji yake yawe palepale au hata yakipungua yasipungue Sana Wadau wa biashara karibuni tupeane idea hapa
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara yoyote haiwezi kukua bila wateja

    Wateja ndio damu ya biashara bila wao hakuna mauzo, hakuna faida, hakuna ukuaji. Ikiwa unataka kuipanua biashara yako na kuongeza mapato, kuna njia kuu nne za msingi ambazo kila mfanyabiashara anapaswa kuzitumia: 1. Pata Wateja Wapya Hii ndiyo njia ya kwanza ya kukuza biashara. Wateja wapya...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hakuna biashara ya silaha za nuclear duniani kati ya nchi?

    Kwa nini nchi zinazotengeneza silaha za nyuklia hawauzi hizo silaha kwa nchi nyingine kama wanavyouza silaha nyingine zote?
Back
Top Bottom