Siku ya jana nilikuwa na install windows na baada ku-download gavana kwenye stats nimekutana na view kama hii
je na nyie mmekutana na kitu kama hiki pia kwenye sehemu ya wadaiwa na wadeni kuna mabadiliko Gavana
Katika maisha ndio hivyo kuna vitu haviwezi kuzungumza tu,ila laiti vingepata nafasi basi vingezungumza:_
1:SIGARA
Hii ni moja ya biashara kubwa kila pembe ya Dunia,huvutwa na watu tofauti tofauti,wake kwa waume,wazee kwa vijana.
Pamoja na kutoa huduma kwa jamii hiyo lakini imekuwa biashara ya...
Vibanda vya mbao(board) tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nipeni kaz maboss zangu..
0692477610
Bei hutegemea na ukubwa unaotaka boss inaanzia laki 8.. Milion 1 na laki 8 na Milion 2 na nusu
Habari za wakati huu ndugu, nawasalimu!
Somo la Biashara ya spea linaonekana limekaa vizuri. Kuna mambo matatu tu leo naomba niwajulishe;
1. Elimu inayotolewa mtandaoni ni msaada, ukitaka ziada kama kukutana, kuongea kwa simu au kuchati private kwa undani zaidi kuhusu biashara ya spea za...
Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika
Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili
Hatuzijui sikukuu...
Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani.
Kinachoshangaza zaidi...
Gazeti la The Washington Post limechapisha makala ikisema, sera ya ushuru ya Marekani inasababisha ‘hali ya maafa’ barani Afrika. Kutoka sekta ya nguo nchini Lesotho, tasnia ya sanaa nchini Tunisia, hadi viwanda vya utengenezaji magari Afrika Kusini, hakuna nchi au sekta yoyote inayonusurika...
Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari?
Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu.
Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala...
Hatuwazungumzii wafanyabiashara wenye helikopta zao hao ni level nyingine, tunajizungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara ambao maisha yetu yamekuwa ni pirika pirika. kuna muda unaweza piga mshindo ila kuna muda soko likikugeukia utaimba,
Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off...
Jumla ya Bajeti: Tsh 10,000,000
1. Malengo ya Mradi
1. Kufuga nguruwe wa kisasa kwa ajili ya kuzalisha na kuuza nyama.
2. Kuongeza mtaji wa butcher ili kuongeza mzunguko wa mauzo.
3. Kujenga uthabiti wa kifedha wa familia kupitia kipato cha kilasiku (Butcher) na cha muda mrefu (Ufugaji).
2...
Ushuhuda wa Takwimu
Onesha namba, idadi ya watu wanaotumia bidhaa au huduma yako Takwimu huongeza uaminifu kwa watu kama namba zikiwa nyingi
Mfano: Zaidi ya watu 5,000 tayari wanatumia huduma hii kila siku
Ushuhuda wa Matokeo ya Bidhaa yako
Hapa tengeneza content za kuonyesha matokeo halisi...
Habari wakuu.. ni ipi biashara nzuri zaidi Kati ya spea za bodaboda au vipodozi kwenye mji unaonza kuchangamka...hasa maeneo kama ya kibaha kwa Mathias..mtaji kiasi gani tunaweza kuwa mzuri kwa hizo biashara pamoja na changa moto zake...naombeni msaada hapo
1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio.
2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara yako.
3. Uandaaji wa tovuti kwa ajili ya biashara, huduma au bidhaa ulizo nazo.
4. Uandaaji na usimamizi...
Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza
Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani.
Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
Domain ni nini?
Domain ni jina la kipekee linalotambulisha tovuti yako kwenye mtandao. Kwa mfano, katika anwani ya tovuti www.google.com, sehemu ya google.com ndiyo domain. Badala ya kukumbuka namba ngumu (IP address), domain hukupa jina rahisi linaloendana na biashara yako.
Kwa nini domain ni...
Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au hata kuelewa mabadiliko ya pesa zao kwa sababu ya mfumuko wa bei, wengi hushindwa kujibu zaidi ya...
Kuna kampuni waajiriwa wake karibia wote ni interns wale wa kujitolea bure au posho ya laki wakiwa na matumaini ya kuajiriwa siku moja. Lakini ahadi hizo huwa ni maneno tu, wakizichoka na kuondoka ni kitendo cha kufumba na kufumbua wengine wanakuja kujaza nafasi zao kana kwamba hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.