Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi B?

Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi B?

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,742
Reaction score
3,804
Migahawa, hoteli za kawaida, wakala wa bima, vyama vya ushirika, usajili wa abiria, viwanda vidogo, udalali, na biashara za jumla/rejareja.
 
Back
Top Bottom