biashara

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Biashara ya Vituo vya Mafuta Vijijini na Mjini

    Katika ulimwengu wa sasa, mahitaji ya nishati na mafuta yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, ukuaji wa uchumi, na ongezeko la shughuli za usafirishaji mijini na vijijini. Biashara ya mafuta ni mojawapo ya sekta zenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa na katika...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nafaka hasa maharage aina zote fika Gairo Kijiji cha Rubeho

    Wakuu habari za uzima wenu nyonte. Si Kwa ubaya Kwa wale wote hasa wafanyabiashara ya nafaka (maharage) mchongo upo morogoro wilaya ya Gairo Kijiji cha Rubeho umbali kama wa dk20 kutoka Gairo mjini. Nilifika mwenyewe kule katika harakati za hapa na pale nikakutana na mnada hivyo nikaanza...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni taarifa 5 zinazohitajika Wakati wa kusajili Jina la Biashara

    Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili. Taarifa hizo ni hizi hapa; 1. Jina la Biashara Lazima uwe Tayari na jina la biashara unalotaka kulitumia na liwe jina ambalo halifanani na jina ambalo limeshasajiliwa. 2. Address ya...
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  5. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini Kila mtu atafikiwa asee,JF kufungiwa imefanya biashara imekua ngumu sana

    JF kufungiwa biashara hazifanyiki kabisa humu asee, traffic imekua chache mno,simu haziiti kabisa tangu TCRA waufungie huu mtandao. Wateja wa JF sio wa wengi ila hua wamenyooka aloo tofauti na huko tunakolipia matangazo. Meta ads unalipia dollar 25 kwa siku but returns hakuna kabisa. Huu...
  6. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Giselda Blanco; Mwanamke mfanya biashara wa madawa ya kulevya

    Griselda Blanco, ambaye pia alijulikana kwa majina kama "Cocaine Godmother" (Mama wa Kokaini), "La Madrina" au "Black Widow" (Mke wa Njiwa Mweusi), anakumbukwa zaidi kama mdau wa cartel ya madawa ya kulevya kutoka Colombia ambaye aliunda na kuongoza biashara kubwa ya usafirishaji wa cocaine...
  7. Vien

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu zaidi ya maswala katika uendeshaji biashara chini ya kampuni

    Habari wanazengo, Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda umiza na jinsi ya kupata leseni

    Jinsi ya Kufanya Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda Biashara ya kuonesha sinema au mechi za mpira kwenye banda ni fursa yenye faida kubwa hasa kwa maeneo yenye wapenzi wengi wa michezo na sinema. Ili biashara hii iwe halali, mfanyabiashara anatakiwa kupata leseni ya biashara kulingana na...
  9. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Majina mengine ya kampuni za biashara nchini kwetu yana walakini sana

    Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi kwa hiyo biashara nyingi za Tanzania kuwa Limited ni sawa kabisa kulingana na shria za nchi...
  10. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    Habari? Niende moja kwa moja kwenye point... Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk... Kwa upande wa location nipo...
  11. kinywanyuku

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mnadani kondoa vijijini

    Wadau mwenye uzoefu na biashara ya kuuza vitu mnadani kwa Dodoma hasa kondoa vijijini naomba ushauri ni maeneo gani biashara inatoka
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Huko Mauritania bado kuna biashara ya kichini chini ya kuuza watumwa

  13. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ukifikia hatua ya kumiliki biashara inayohitaji angalau wafanyakazi watano basi utagundua wachina, wahindi na waarabu husingiziwa bure tu

    Yamenikuta sijui hata nisemeje. Watanzania sisi watu wa hovyo sana. Mtu nimeamua kukupa nafasi ya kulipwa kila mwezi ila wewe unaharibu biashara. Yaani leo kama niliwahi kuwasema vibaya wachina, wahindi au waarabu wanaowapelekesha wafanyakazi wa kitanzania basi natubu, NIMEKOSA MIMI, NIMEKOSA...
  14. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Cloud ni Silaha Mpya ya Biashara Ndogo Ndogo

    Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi. Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️ — - 1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa. Lakini ukweli ni kwamba...
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi B?

    Migahawa, hoteli za kawaida, wakala wa bima, vyama vya ushirika, usajili wa abiria, viwanda vidogo, udalali, na biashara za jumla/rejareja.
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi A?

    Biashara zenye mtaji mkubwa kama vile benki, bima, huduma za mawasiliano, bandari, utalii, na maduka ya kubadilisha fedha.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kinara wa Biashara ya Bangi akutwa na Tani 6.5 mkoani Mara

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Biashara za kisasa zenye uwezo wa Kukutajirisha kwa kasi ya ajabu

    Katika uhalisia wa karne hii ya 21, kutajirika si suala la “luck” au bahati nasibu, bali ni outcome ya akili ya kibiashara yenye foresight, uelewa wa market dynamics, pamoja na uwezo wa ku-position venture yako kwenye sekta yenye exponential growth trajectory. Mtu mwenye intellectual sharpness...
  19. mngamala

    JamiiForums Tanzania Msaada Biashara ya Internet

    Naomba kuuliza kama Kuna watalaamu wenye idea na hii biashara mana napenda Sana.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba ihalalishwe ili tuwanusuru wadangaji (makahaba) wanaoongezeka kwa kasi na kupanua wigo wa kodi

    Ukahaba umeshamiri sana hapa nchini ktk zama hizi. Lkn kwa kuwa tumeamua kuwa wanafiki kwa kutokuitambua rasmi biashara hii, makahaba wanaifanya ktk mazingira ambayo siyo salama kwao. Laiti kama makahaba wangetambuliwa na wakajengewa mazingira mazuri ya kufanyia biashara yao na wakatozwa Kodi...
Back
Top Bottom