Sasa najiuliza maswali haya
1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena?
2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini?
3.Naponunua bando bado wanakata kodi
4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa...
MWANZA SAMAKI FRESH: Tunatafuta Ushirikiano wa Kibiashara
Habari ndugu wanajamii JF:
Mimi ni Emmanuel Mashack, mwanzilishi wa biashara ya Mwanza Samaki Fresh, tunajishughulisha na uuzaji na usambazaji wa samaki fresh aina ya Sato na Sangara kutoka Mwanza kwenda mikoa mbalimbali Tanzania.
Kwa...
Pamoja na mapungufu yao. Hawa vijana wa kaskazini kanda za Arusha, Moshi, kilimanjaro n.k ni waaminifu kwenye biashara.
Ukipata Mwanamke kutoka huko ukamkabidhi biashara mfano Duka, Pub, Mghahawa wanajua kupambania biashara kwa bidii. Pia hawana kona kona za leo hivi kesho vile ulilinganisha na...
Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja na wawekezaji, na inakuwa rahisi sana kuibiwa jina lako la biashara.
A. Usajili wa Jina la Biashara...
Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
Wakuu hebu tujaribu kulinganisha kati ya biashara na ajira kwa upekee na kwa factor zinazofanana au watu wenye madaraja sawa ya vipato kwa upande wa ajira na mtaji au mapato tuone nani anajilipa/analipwa shingapi na amefanya nini hadi sasa
Nikianza mimi, ki status ni mfanyabiashara mdogo mtaji...
Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao.
1. Uhalali wa Kisheria na Uaminifu
Kumiliki leseni ya biashara kunakupa heshima na hadhi kisheria. Mteja...
Habarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu
KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC
Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa
nkaona nimuulize mwenye idea NAYO. Humuuu...
Nahisi n network business
Mwenye idea tujulishane...
Ruksa HATA kujielexa...
Habari wanajamvi,
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi hapa kwenye jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali, na nimeona kuna hamu kubwa ya kukuza biashara na kutafuta masoko mapya. Wafanyabiashara wengi wadogo nchini Tanzania wanatumia mitandao ya kijamii kama WhatsApp na Instagram kuuza...
Habari,
Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo.
Login - Peloo
Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho mtahitaji yafanyike
Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata;
1. Sababu za kubadili Jina la Biashara
Either unafanya
-Rebranding
-unataka jina linaloendana na huduma zako za sasa
Etc
2. Angalia kama jina...
Ofa ya website kwa wamiliki wa biashara na watu binafsi pia! Wasiliana nasi kuanzia siku ya leo hadi mwezi wa 12 (December) upate ofa hii ya funga mwaka! Kutoka Tsh 600,000 hadi Tsh 250,000 tu!
Utapata yafuatayo;
Website moja nzuri yenye domain ya chaguo lako
Email ya biashara (msaada @...
Wakuu,
Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zinaongoza kuwa na wahitimu wengi, Pia usawa wa kijinsia unaimarika kwani idadi...
1. Jina la Biashara au Kampuni
Kila leseni ya biashara lazima iainishe kwa uwazi jina la biashara au kampuni inayofanya kazi kisheria. Hili ni jina lililosajiliwa na linapaswa kuonekana kwenye nyaraka zote rasmi, likitumika kama kitambulisho cha kwanza cha mmiliki wa biashara hiyo mbele ya...
1. Kuwa na TIN kutoka TRA
Moja ya vigezo vya msingi kabisa ni kuwa na Hati ya Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TIN ni ushahidi rasmi kwamba biashara yako imetambuliwa kisheria kama inayopaswa kulipa kodi. Bila TIN, huwezi kusajili biashara yako...
Kuna mambo hata siyo ya kwenda kwa mganga wa kutafuta mashaikh na wachungaji ni wewe kujua kwa nini umepoteza wateja.
Hii tabia ya kujifanya unamuelekeza nenda kwa fulani basi wateja wakiona umewaelekeza kwa fulani kesho anaweza kwenda kwa huyo na kinapokwisha mteja anaweza kuuliza kinapatikana...
Sijawahi kusikia mwanamke mrembo kusikia akiniambia kuwa anapenda kufunguliwa duka la vifaa vya ujenzi zaidi ya kuambiwa
1.duka la nguo.
2.duka la kuuza vipodozi.
3.Mini pub.
4.Saloon.
Huu ni utafiti nikiwa kwenye usumbufu wa michepuko.
1. Pata Wateja Wapya
Usisubiri bahati. Fanya biashara yako ivutie watu wapya kila wakati kwa kutumia:
Matangazo yanayolenga moja kwa moja wateja wenye uwezo wa kununua
Mitandao ya kijamii, SMS, whatsapp au simu
Kuonyesha tofauti ya bidhaa zako kwa njia ya elimu na thamani
Mteja mpya = Fursa...
Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
Wadau hamjambo nyote
Wafanya mishe za biashara za mifugo haswa mifugo kama mbuzi na ng'ombe tupeane fursa mbalimbali ziizoko kwenye biashara hio.
Na je swali la ziada Yale maduka ya kuuza dawa za mifugo tu hua tunaziitaje? au ndio AGROVET...
Na Kama Kuna thread zilishaanzishwa kwa kuelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.