biashara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari kwa ajili ya biashara ya taxi mtandao (7-8 Milion budget)

    Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nahitaji gari kwa ajili ya kufanyia biashara ya Taxi mtandao(Uber,bolt etc.) Bajeti yangu ni 7Milion to 8Milion Gari ipi inafaa?
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Mkumbo: Dira 2050 ina matarajio ya kupunguza udhibiti wa biashara

    "Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa ndani na nje; kuwa na mfumo imara wa kidijitali unaoendeleza biashara zinazochipukia kupitia sera...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na Bajaji sehemu ya nane Inaendelea

    KUNA FAIDA GANI YA KUWEKEZA MTAJI MKUBWA KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI? ⚙Watu wengi wamekua wakijiuliza swali hili, kwanini nisiwekeza kiasi kidogo kama inawezekana kijiendeshe hakafu kiasi kingine nifanye mambo mengine? 👉Si vibaya kuwekeza/kufanya biashara ya spea kwa mtaji mdogo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya Bunge la Ulaya kutufurahisha sasa kituo kinachofuta ni kususia bidhaa na biashara za watesi wetu

    1. Ukiweza kukwepa kodi kwepa hakuna uzaledo katika nchi hii 2.Bidhaa yoyote za wahuni usinunue kabisa kwao 3.Usifanye biashara yoyote na wao, magari yao,sheli zao ,vinywaji vyao,vyakula vyao , hoteli zao ,migahawa yao yote susuia
  5. masai dada

    JamiiForums Tanzania Tuokoeni wafanyabiashara Bandari operations-internet blackout

    Tunaiomba serikali kwa mapana na mrefu…maamuzi yoyote yatakayochukuliwa yatizame madhara kwa short term na long term. Kabla ya kufanya chochote kile lazima kiangalie je utatuzi huu hautaibua matatizo zaidi. Chochote kitakachotokea huko mbeleni Naiomba serikali isizime mtandao kwa gharama...
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje biashara ya majeneza? inapiration ilitoka wap?

    Kwa wale tunaofanya biashara kubwa hua kuna inspiration behind hio biashara, natam kujua wauza majeneza walianzaje
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bodaboda na Machinga Dar: Desemba 9 hatufungui biashara

    Shirikisho la Vyama vya Madereva Bodaboda na Bajaji na Uongozi wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, wameahidi kutofanya kazi siku ya Disemba 9, 2025, kwa madai kuhofia kuingizwa kwenye mkumbo wa watu wanaofanya vurugu, kufuatia tetesi za kuwepo kwa maandamano yanayohamasishwa mitandaoni. Viongozi...
  8. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa wazo la biashara bongo, ukishindwa kulitekeleza liboreshe hapahapa walitekeleze wengine

    Kwema wakuu Unajua watanzania wengi tunakosa maen3o ya kuinjoi, na bqadh ya michezo mingi inayoweza kutufurahisha ni ile ambqxo wengi wetu wqtazamani sio washiriki. Kumekuwa na haja ya watu wazima nao kupata s3hem ya kurelax na ku'fun' Haja hii ya uwepo wa hizi shughul unaniweka karibu na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki (sehemu ya 6)

    Je, naweza kuanza biashara ya spea za pikipiki na bajaji kwa kufunga mzigo kutoka China moja kwa moja? Jibu ni ndio. Unaweza kuanza biashara hii kwa kwenda China kufunga mzigo Kisha kuja kuuza. Hata hivyo ni muhimu sana kabla ya kufunga safari kwenda China kujiridhisha na kufahamu mambo kadhaa...
  10. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Vizuia moto maeneo ya Biashara

    Habari Tanzania ! Nawaomba sana watu wote wanaomiliki maeneo ya biashara, makazi na maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi; wawe wanaweka vifaa vya kukinga moto. Hii iwe ni utamaduni wetu tusipuuze na pia tukumbuke tuna sheria ya utunzaji mali hasa majengo na maeneo yenye bidhaa za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

    Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k. Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
  12. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Fanikisha biashara yako kwa online Marketing

    Kama unataka kuvutia wateja wapya na kuongeza engagement ya biashara yako, basi wewe ni mtu niliyemtafuta. Mimi ni mtaalamu wa online marketing, nikiendesha campaigns zenye data-driven strategies, SEO/SEM, na social media optimization. Kwa kutumia vifaa vyenye weledi kama laptop ya kisasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

    Habari za leo! 1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana. 2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu. 3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na kuvunjiwa biashara uliyoisotea kwa miaka na miaka. 4. Kwa kujua hilo ndio maana tunawapa pole wale...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Itakuwa unfair kwa TRA kuchukua kodi kwa watu wanaofanya biashara kwenye site ambazo unahitaji VPN uaccess

    TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100 Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
  16. Amydiz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka darasani hadi kwenye kilimo, ushirikiano wa China na Rwanda wakuza biashara ya kilimo ya uyoga ya Rwanda

    Katika vilima vya kijani vya tarafa ya Bumbogo, wilaya ya Gasabo, nje kidogo ya mji mkuu wa Rwanda, Kigali, kilimo cha uyoga na ujasiriamali vinazidi kustawi, vikibadilisha maisha na kuboresha mapato ya wananchi. Katika kiini cha mabadiliko haya yupo mwanzilishi na mmiliki wa Triple S Company...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Shishi Food na Nenga Tronix walikuwa na Bima kwenye Biashara zao au ndio tujiandae kuwachangia?

    Mgahawa wa Shishi Food unaomilikiwa na mwanadada mrembo Shilole na duka la electronic la Nenga Tronix linalomilikiwa na msanii machachali Billnass, vilishika moto kipindi mtandao umezimwa. Chanzo cha moto bado hakijajulikana, nadhani uchunguzi utafanyika. Sasa swali langu, hawa jamaa watakua...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wanalazimisha biashara ns nyumba zenye cctv kufuta picha.

    Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza. Wanataka dunia isijue kilichotokea. Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe. Wa record hizo taarifa zote na kuzificha. Polisi wanaanza kupita kwenye biashara za watu kufuta...
  20. Jitu la-Mtumba

    JamiiForums Tanzania Ulipoanza biashara yako,watu wa karibu[marafiki,ndugu] mwitikio wao ulikuwaje?

    Habari za wekeend wanajukwaa. Hongereni kwa ibada wanaoenda siku kama ya leo,naamini wengine wameenda juzi na jana ila wote tunamuomba Mungu mmoja wa haki. Hakuna anayeenda ibada kuombea maovu,hata mizimu nayo huwa inaombwa mema. Octoba 29 tntk! Utachagua mwenyewe irabu za kujaza hapo ila...
Back
Top Bottom