biashara

  1. Ethan3

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
  2. feyzal

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Mbagala Rangi 3 yamekuja na Kushamiri kwa biashara ya ukahaba

    Wakuu kheri ya mwaka mpya. Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri kwa biashara. Mabaa yamejengwa, Nyumba za wageni na za kupanga kupelekea sasa kuongezeka kwa...
  3. Tumpara Dudu

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya bidhaa za buchani

    Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
  4. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Shirika la Maji Tanzania

    Habari Tanzania Nawaomba wenye mamlaka na wale wataalamu wa mambo ya Sheria na watunzi wa sera; na wale wote wapendao maendeleo. Ikiwapendeza; Muunde Shirika la Taifa ambalo litajenga Mfumo wa Grid ya Maji ya Taifa na kuiunganisha nchi nzima. Alafu Mamlaka za Maji Vijijini na Mijini ziwe...
  5. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri biashara ya uwakala(M-PESA, tiGO Pesa nk)

    Habari zenu wana jamvi, Mimi naishi Dar es salaam lakini nataka kufungua vibanda viwili vya uwakala niwe na yas, Airtel money na mpesa kwasababu wilayani kwetu mwanza mtaani Kuna uhaba sana Lengo langu niwe na vibanda viwili wilaya nzima maeneo tofauti tofauti na mimi nikiwa huku huku Dar...
  6. SangaMiliki

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, Leseni za Biashara na mengineyo?

    Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo? Jibu ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗦𝗼𝗹𝘂𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu sana upate...
  7. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Biashara ya pikipiki za mkataba ni utapeli

    Aisee hivi alieanzishaga mambo ya pikipiki ya mkataba kwamba unampa boss hesabu baada ya muda flani chombo inakuwa yako ni nani? Biashara karibia zote nikwamba unafanya kazi nakulipa then chanzo cha mapato/biashara naendelea kumiliki mimi. Huu mfumo wa boda za mkataba inamaana namuwekezea dereva...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ushirikiano wa biashara (Partnership Opportunity)

    Habari wadau. Natumaini wote wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja, Natafuta mtu au kampuni iliyo sajiliwa Tanzania kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara katika kuingiza na kusambaza bidhaa za vinywaji kutoka nje ya nchi (international beverage brand) kwenye soko la Tanzania. Kwa sasa niko...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Shishi, achana na biashara ya Chakula

    Gen Z si watu wazuri aisee. Hawa watu wamejipanga kukukwamisha tena. Dada achana na hii biashara kabisa. NB: baadhi ya wapishi wako ni Gen Z wasije wakaweka sumu kwenye Chakula wateja tukadhurika
  10. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  11. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hewa ukaa

    Wapambanaji na wafurukutwa habari ya jioni. Naomba kujua kuhusu biashara ya hewa ukaa kwa uzoefu katika maeneo yafuatayo: 1. Maana ya biashara ya hewa ukaa. 2. Vitu vya kufanya ili ukidhi vigezo vya kufanya na kunufaika na biashara hiyo. 3. Wanaohusika na kulipa na kiwango cha malipo. 4...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bucha: Faida na changamoto zake

    Naomba kujua nini changamoto ya biashara ya bucha la nyama,samaki na dagaa kwa dar es salaam.faida inayopatikana na kama kuna chochote cha kujifunza
  13. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza katoni za maji, kuna faida kiasi gani.

    habari zenu jamii forums ningependa kujua faida ya kujua katoni za maji makubwa ya lita 1 na nusu Wanaouza wanaweza kuyaleta kwa gari zao, hakuna gharama za usafiri
  14. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nauza Stock Management System ya kusimamia Mauzo na manunuzi katika biashara yako kwa 300, 000 TU

    .
  15. mahirtwahir

    JamiiForums Tanzania Ni Biashara ipi iko na faida mzuri

    Waungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya biashara Tanzania ni kwa ajili ya kuziua biashara na sio kuzikuza

    Tayari nimeweka nia ya kutojihusisha na mikopo ya aina yoyote ile mwaka 2026. Iwe benki, viccoba au wowote ule nitakaa nao mbali. Yaani nimejiahidi kama nilivyojiahidi kutofanya mapenzi hadi nimalize form 6 na nikafanikiwa. Hii mikopo sio kabisa. Kimsingi ukipiga hesabu ya marejesho ukajumlisha...
  17. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapoteza fursa kwa kuwa wazito ktk kufanya maamuzi ya ki Biashara/ mapenzi

    Ktk vitu ambavyo vinafelisha watu wengi ni kuwa wazito ktk kufanya maamuzi pale wanapikuwa approched kwa malengo ya ki biashara, kazi au hata mahusiano Unaweza ukakuta mteja kawaka kweli kuna kitu anataka kununua halafu muuzaji anaanza kujivuta anamsubilisha subili kwanza nikajadili na fulani...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Biashara ya Spea za pikipiki na bajaji

    HABARI WANA JF. Watu wengi wameulizia kuhusu huduma zetu za consultation kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji. Huduma hii inalipiwa, ukitaka kuwasiliana namimi kwaajili ya kukupa elimu, kukushauri na au hata kuku mentor sio bure. Ni garama. Kwa wale wanaotaka huduma za bure karibuni...
  19. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa biashara ya spare parts za pikipiki

    Habari wakuu. Moja Kwa moja kwenye Mada. Mtaji wa milion ngapi unaweza kuanzia kuchukuwa China kwa biashara ya vipuri Vya pikipiki alafu uje uuzwe hapa Nyumbani Kwa mikoani Tu sio jijini daslam. Kwajili ya kuuza rejareja hapa Home. Fekon King lion Haojue Huoniao Naomba majibu wakuu.
  20. Akotia

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kahawa,inavyonitoa kwenye umaskini niliokua nao taratibu.

    Natokea Arusha,Kahawa ni zao kubwa la biashara. Sababu nimekulia Dar,mwaka juzi kwa kuchoshwa na kunywa kahawa mbovu na chini ya kiwango nikaamua niwe naagiza green beans kutoka Arusha,nakaanga mwenyewe na kutumia pamoja na kugawa kwa familia.. kipindi hiko nafanya kazi sehemu kwahiyo...
Back
Top Bottom