biashara

  1. JamiiForums Tanzania Changamoto katika biashara ya nyumba ya wageni (Guest House)

    Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto. Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe na uhakika wa kupata maji. Maji yakikosekana fanya jitihada ya kujaza matank ya akiba. Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapokula Pweza na Ngisi njiani

    Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona. Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
  3. JamiiForums Tanzania Hapa DSTV wanapoteza wateja na mvuto wa biashara

    .
  4. JamiiForums Tanzania Komaa na kinachotoka zaidi kwenye biashara yako

    Biashara ni mchezo wa kubahatisha ni mchezo ambao hauna Ninja, yeyote bahati itaemdondokea ndio mshindi,Hiyo ndio biashara sasa. Watu wengi tunapofungua biashara tunakua na idea zetu vichwani tunazotamani ziende kwa namna tumeziwaza na kutaka iwe, lakini katika waanzilishi wabiashara 100...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali iunde chombo cha kusimamia biashara za mitandaoni ili kuziboresha na kupanua wigo wa walipa kodi pamoja na kuboresha huduma za posta

    Napenda kuishauri serikali iunde chombo cha kusimamia biashara za mtandaoni ili kuziboresha na kupanua wigo wa walipa kodi. Binafsi mimi ni mfanyabiashara wa online, kwa uzoefu wangu kufanya biashara online naweza kusema ni sehemu nzuri ya kufanyia biashara na inafanya iwe rahisi sana kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yajishushia hadhi kwa kutoa “Ripoti ya Biashara ya Magendo ya Watu”

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani hivi karibuni ilitoa Ripoti yake ya mwaka 2021 ya Biashara ya Magendo ya Watu, na kwa mara nyingine tena, ilitumia mbinu yake ya kawaida ya kuweka vigezo viwili. Wakati inakosoa na kukashifu nchi nyingine ikiwemo China katika suala hilo, nchi hiyo inadai kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Ukweli mchungu juu ya Nukta 3 za Kiuchambuzi kuhusu Mapinduzi ya Viwanda Tanzania

    UTANGULIZI Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi. Ama baada, ningependa kuzibainisha nukta 03 zitakazo chambuliwa katika mnakasha huu. 01) Mapinduzi ya Viwanda kwa ujumla wake. 02) Hali ya Mapinduzi ya Viwanda Nchini Tanzania. 03) Mtazamo Juu ya Nini Kifanyike. 01) MAPINDUZI YA VIWANDA KWA...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wenu kuhusu biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi za kuchomelea, acetylene n.k

    Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo. Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Degree za biashara kwa mtu wa Arts

    Ni degree gani za biashara anaweza kujiunga mtu wa HGL/HGK/HKL na combination zote zisizo na Basic applied math(BAM) A level?
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watani acheni mzaha, deni la ATCL bilioni 472.8B??? Mbona kama mlikurupuka kwenye hii biashara

    Hamkutulia mfanye utafiti nini tija ya hii biashara na namna gani inaendeshwa, mkawakuta Fastjet na kuwatupia nje....yaani deni lote hili mbona linatia kiwewe...na bado mnasubiri mindege ije.
  12. JamiiForums Tanzania Biashara yangu imedoda, nimekosea wapi na nini kifanyike kuiimarisha?

    Habari wakuu! Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii. Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na matairi ya magari. Location ya biashara iko eneo zuri tu la barabarani na uzuri zaidi eneo limechangamka...
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Banda la biashara linauzwa

    Habari wanajamvi, leo nawaletea banda la biashara . Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka lina jiko la Gas kama unavyoona, hvyo unaweza kupika kitu chochote lina mchine ya kukata viazi, commercial chips cutter lina potato...
  14. JamiiForums Tanzania RC Makala: Tukiweza kuwadhibiti biashara holela, ajenda ya usafi itawezekana Dar es Salaam

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anaongelea mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Dar. Miongoni ni suala la wamachinga na kupoa kwa Serikali baada ya kutoa tangazo la kuwaondoa. RC Makala amesema kwasasa wameweka kipaumbele kwenye kutoa elimu na anaamini hawatafika kwenye kutumia nguvu. RC Makala: Ili...
  15. JamiiForums Tanzania Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE. ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA: NAKALA YA TIN CERTIFICATE NAKALA YA KITAMBULISHO BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gemstone

    Habari za humu, naomba kwa anayefahamu biashara ya Vito vya thamani Kama rubby na Tanzanite. Naomba muongozo nahitaji kufanya hii biashara. Natanguliza shukrani.
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: 25 matatani kufanya biashara bila leseni

    Watu 25 wakiwamo mameneja mauzo wa baa wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kufanya biashara bila ya leseni katika operesheni iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Vileo Zanzibar, Abdulrazaki Abdulkadiri na askari waliokuwa na silaha Watuhumiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vitambaa vya kushona

    Naombeni msaada kidogo tafadhali; ningependa kufahamu mtaji wa chini wa kuanzisha duka la vitambaa vya kushona nguo.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote ya kusimamia biashara. Nitafanya kwa juhudi kubwa

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 23 nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ya kusimamia biashara au ofisi yoyote. Ninaishi Ilala Dar es Salaam. Nitakusaidia na kufanya kazi kwa jitihada kubwa. Mungu akubariki sana
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu alibadilika baada ya kumfungulia biashara. Nifanye nini kuokoa ndoa yangu?

    Habari za Jumapili wanajamvi. Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa. Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa. Hatukuwahi kuwa na migogoro mikubwa ingawa mikwaruzano ile midogo ilikuwepo. Sasa katika kipindi cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…