biashara

  1. Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Hali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
  2. Kujiajiri ni utumwa zaidi ya kuajiriwa, waliojiajiri wengi wanakosea kujiweka kundi moja na wamiliki wa biashara

    Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner) Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
  3. L

    Kuingia kwa majukwaa ya uuzaji wa mtandaoni ya China barani Afrika ni fursa mpya kwa biashara na uchumi

    Na Ronald Mutie Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China. Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
  4. Msaada Biashara ya Vijora

    Wapendwa salaam! Amani ya Mungu baba muumba iwe juu yetu sote! Jamani mwenzenu nilikuja humu ndani kuuliza biashara ya vyombo ila nasikitika sana sikufanikiwa katika biashara ile kwani nilipata mtihani wa maradhi! Pesa yote ikaisha! Mimi naishi Dar, Nimevutiwa sana na biashara ya Vijora ila...
  5. Duru za biashara za mtandao: Kuna dalili za watu kulizwa huko kwenye soko la forex, wajuzi wa haya masuala njooni huku

    Wakuu hii nawaletea baada ya dogo fulani kunitafuta huku amefura analalamika ameingia kwenye biashara ya kudownload pesa na kampuni fulani inaitwa 360 Capital na kushindwa kutoa pesa zake. Nikazama kwenye mitandao ya kijamii na kuitafuta kiundani maana jina lake ni kama niliwahi kulisikia...
  6. Msaada kuhusu biashara ya kuagiza laptops nje ya nchi

    Wakuu salaam sana. Nimepata kamtaji kidogo nataka nijiongeze nianzishe biashara ya kuagiza laptops used toka Uk. Tayari nina contacts na suppliers kadhaa ambao wameonesha utayari wa kufanya nao biashara. Tatizo langu kubwa na lilofanya niombe ushauri ni kuhusu kiwango cha kodi wanachotoza kama...
  7. Je, Uchawi una mchango wowote katika kukuza Biashara?

    Wiki iliyopita nilitoka Moshi nikaenda kumtembelea classmate wangu pale Arusha. Jamaa ni engineer wa computer. Jumapili baada ya kula Ibada Safi na kwaya kali pale St. Theresa tuli-mount XR 250 na tukaenda kufunga Camera za usalama kwa nyumba mpya ya Tajiri mmoja wa Kanda ya Ziwa. Huyu mjuba...
  8. Machimbo ya mzigo biashara ya vifungashio

    Habari wana jamiiforums, nategemea kufungua ivi karibuni biashara ya vifungashio (jumla & rejareja) maeneo ya Mwanza mjini. Naomba kwa wazoefu wa biashara hii mnifahamishe ni wapi naweza kupata mzigo bei rahisi ndani ya nchi. Tayari nimepata baadhi ya machimbo ya mzigo maneo ya Kariakoo ila...
  9. Spidi ya wakinga kwenye biashara inatisha, tuna lipi la kujifunza?

    Kuna jambo la kustukiza sana katika miaka ya hivi karibuni kuanzia 2010, kuna hawa jamaa wanaitwa wakinga wamejipatia umaarufu ndani ya miaka hii michache kwa spidi ya 4g. Ni kabila dogo sana ambalo haliingii hata kwenye orodha ya makabila 20 yenye watu wengi hapa nchini, Ni kabila ambalo lipo...
  10. Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

    Kwema wadau! Nianze kwa kusema nchi hii hatuendekezi Ukabila, hatuupendi, na hatuutaki. Hivyo mada zinazogusa Ukabila isichukuliwe kwamba ni uhamasishaji wa hisia za chuki za kikabila ndani ya Jamii. Kiasili mimi ni Mnyamwezi wa Urambo lakini nimeishi na kukulia Kilimanjaro. Ninadamu ya...
  11. Dkt. Antony Dialo: Wizi na ukosefu auminifu chanzo cha biashara nyingi Tanzania kufa chini ya miaka 5 tangu kuanza

    Nimemsikiliza asubuhi. Mkurugenzi wa Saharama media wakati akitoa mada katika club house moja iitwayo Mindset transformation. Akidai kuwa kwa uzoefu wake katika biashara na ujasirimali amebaini kuwa biashara nyingi zinakufa kwa sababu watazania wengi siyo waaminifu. Amekwenda mbali na kusema...
  12. Biashara ya utumwa ilivyoathiri Afrika

    https://images.app.goo.gl/dWnVXurpkRc1SnGg6
  13. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua magugu (nyasi), naombeni uzoefu

    Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk. Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii. Asanteni sana
  14. Ni kweli biashara ya duka haisongi bila ushirikina?

    Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
  15. OFFER!! Natengeneza logo ya biashara kwa 35k

    ..
  16. L

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China ni fursa inayokua kwa biashara duniani

    Ijumaa hii Shangahi inafungua milango yake tena kwa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China, ( CIIE). Ikiwa sasa ni mwaka wake wa nne, maenesho hayo yamekuwa jukwaa muhimu la kwa bidhaa za dunia kupata soko nchini China na pia wafanyabiashara kukutana na kubadilishana. Kama mwaka uliopita...
  17. Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    Habari GT, Nianze kwa kusema kuwa mimi sio muandishi mzuri ila nitajitahidi kuweka vitu katika mpangilio kwa kiasi chake. Kabla ya kuangalia baadhi ya fursa za biashara zilizoko Comores na changamoto zake, hebu tuangazie kidogob jamii ya watu wa huku katika nyanja za siasa, uchumi na jamii kwa...
  18. Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

    Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea? Mtakumbuka kwa mara ya mwisho hapa Tanzania mabenki yetu ya biashara kurekodi faida ya...
  19. Ushuhuda: Biashara ya mchele ni ngumu mno!

    Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa. Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya...
  20. Sekta ya madini inavyofungua fursa za biashara, uchumi

    Na Tito Mselem Tanzania ni miongoni mwa mataifa Duniani yaliyobarikiwa zaidi kwa rasilimali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na madini ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza vipato vya Watanzania na uchumi wa Taifa kwa ujumla. Shughuli za uchimbaji wa madini nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…