Nimeshuhudia baadhi ya wachaga na wakinga wanaacha ajira nzuri wanaingia mazima biashara ambazo zina hatari ya hasara, huu ujasiri wanautoa wapi?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Ni baadhi yao,,, sio wote

Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.

Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa kwenda kwenye bishara ambako kuna hatari za hasara kuna maana gani ??

Tofauti na hayo makabila, kuna wachaga ambao wengi wameelimika na kuna hawa wakinga ambao kiwango cha walioelimika ni kawaida lakini unakuta hao walioelimika na kufanikiwa kupata ajira badala ya kutegemea mishahara kama wengine wao wanaacha kabisa ajira na kujiingiza miguu yote kwenye biashara ambazo zina hatari (risk) ya hasara..

Nimeona mkinga ni branch manager wa bank flani ana gari nzuri tu na ni kijana kaacha ajira kafungua duka lake.

Nimeona mchaga huyo alikuwa TRA, narudia jamani TRA, mshahara safi tu lakini akaacha kazi kwenda kwenye biashara ya restarants

Nimeona mkinga ni daktari, mshahara milioni na kitu kaacha kazi kaenda huko maporini anafuga mifugo ya nyama na maziwa.

Nimeona mchaga marehemu Mengi akiwa mhasibu wa kwanza kutambulika hapa nchini akiacha ajira nono.

Nimeona mkinga huyu kijana vunja bei kaelimika lakini aliacha ajira yake yenye mshahara wa uhakika
 
Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.

Kuna makabila kama yanajielewa kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika upo sasa kwenda kwenye hatari za hasara kuna maana gani ??

Nimeshaona mchaga kaacha ajira akaenda kufuga kuku zake.

Usisahau mwigulu ni waziri,hajaacha uwaziri sasa hv anamiriki mabasi ya bilioni kadhaa,usimsahau shabiby Mbunge wa gairo,ni Mbunge,na ni mfanyabishara mkubwa tu,wa hotel,mafuta,mabasi,
Kupanga ni kuchagua,hakuna Cha ajabu Wala upekee
 
Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.

Kuna makabila kama yanajielewa kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika upo sasa kwenda kwenye hatari za hasara kuna maana gani ??

Nimeshaona mchaga kaacha ajira akaenda kufuga kuku zake.

Nimeona mkinga ni branch manager wa bank flani ana gari nzuri tu na ni kijana kaacha ajira kafungua duka lake.

Nimeona mchaga huyo alikuwa TRA, narudia jamani TRA, mshahara safi tu lakini akaacha kazi kwenda kwenye biashara ya restarants

Nimeona mkinga ni daktari, mshahara milioni na kitu kaacha kazi kaenda huko maporini anafuga mifugo ya nyama na maziwa.
IGA Sasa wewe uone balaa
 
Ni baadhi yao,,, sio wote

Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.

Kuna makabila kama yanajielewa kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika upo sasa kwenda kwenye hatari za hasara kuna maana gani ??

Nimeshaona mchaga kaacha ajira akaenda kufuga kuku zake.

Nimeona mkinga ni branch manager wa bank flani ana gari nzuri tu na ni kijana kaacha ajira kafungua duka lake.

Nimeona mchaga huyo alikuwa TRA, narudia jamani TRA, mshahara safi tu lakini akaacha kazi kwenda kwenye biashara ya restarants

Nimeona mkinga ni daktari, mshahara milioni na kitu kaacha kazi kaenda huko maporini anafuga mifugo ya nyama na maziwa.

Nimeona mchaga marehemu Mengi akiwa mhasibu wa kwanza kutambulika hapa nchini akiacha ajira nono.

Nimeona mkinga huyu kijana vunja bei kaelimika lakini aliacha ajira yake yenye mshahara wa uhakika
Stori nyingine ni za kijuha kudadadeki.

Ukweli ni kwamba kitu pekee kilichowatoa wakinga ni mashamba ya MITI.

Na kitu pekee kilichowasaidia Wachagga Elimu ya mapema, ukosefu wa fursa Kilimanjaro, Favouritism na Wizi.

Nyingine stori zote za walevi tu.
 
Mimi huwa nawaza,
Kama serikali inaweza kuruhusu mtu anayetaka kuuza ajira yake auze kisha aendelee na mambo yake mengine.Hii inafaida kubwa,
Kwanza zitaingia damu mpya zenye mwako ajirani hivyo kuongeza ufanisi,
Pili itawawezesha waajiriwa kupanua mawazo ktk kazi/sekta nyingine.

Back to topic,
mbona ni kama umetanguliza ukabila?
Ni utafiti gani umefanya kugundua kuwa makabila uloyataja huwa hawaachi ajira zao??

Lakini zaidi mimi naona tusiingilie maisha ya mtu ilimradi hajavunja sheria!!
 
Life is how you make it! Kila mtu ana malengo na mipango yake ya kutengeneza maisha.
Kazi za ajira ingawa tunazitafuta,lakini ni kazi za kitumwa! (Ukisataafu ndiyo unakutana na Kikokotoo cha Mama),huwezi kuwa huru kufanya shughuli nyingine za kuongeza kipato zaidi ya kutegemea mshahara tu .Kwa mwenye malengo mazuri na amepata mtaji wa kutosha kazi za Ualimu,Udaktari,nk anaachana nazo.
Anyway hata hivyo ajira ni nzuri asikwambie mtu.
 
Sio kweli umejaa ukabila type ya watu hao unaotaja wafanya biashara wakubwa wa makabila hao ilikuwa zamni ila sio sasa .sasa ivi ni watu wanaotembelea biashara za nyota za familia na ukoo wao sio start-up.

Kama unaweza taja majin ya hao walioacha kama unao ushahidi tatizo lako ukabila mbele .kila kabila lipo katika biashara wacha kukariri kila siku story hizi hizi tu we ata mtu ukutane nae unataka kujua kabila lake😂😂😂. Umaskini mbaya sana
 
Mimi huwa nawaza,
Kama serikali inaweza kuruhusu mtu anayetaka kuuza ajira yake auze kisha aendelee na mambo yake mengine.Hii inafaida kubwa,
Kwanza zitaingia damu mpya zenye mwako ajirani hivyo kuongeza ufanisi,
Pili itawawezesha waajiriwa kupanua mawazo ktk kazi/sekta nyingine.

Back to topic,
mbona ni kama umetanguliza ukabila?
Ni utafiti gani umefanya kugundua kuwa makabila uloyataja huwa hawaachi ajira zao??

Lakini zaidi mimi naona tusiingilie maisha ya mtu ilimradi hajavunja sheria!!
Hiyo story ni fix 100% kajaa ukabila kila kona . Ushamba tu kila siku hajiamini kuweka makabila mbele
 
Ni baadhi yao,,, sio wote

Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.

Kuna makabila kama yanajielewa kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika upo sasa kwenda kwenye hatari za hasara kuna maana gani ??

Nimeshaona mchaga kaacha ajira akaenda kufuga kuku zake.

Nimeona mkinga ni branch manager wa bank flani ana gari nzuri tu na ni kijana kaacha ajira kafungua duka lake.

Nimeona mchaga huyo alikuwa TRA, narudia jamani TRA, mshahara safi tu lakini akaacha kazi kwenda kwenye biashara ya restarants

Nimeona mkinga ni daktari, mshahara milioni na kitu kaacha kazi kaenda huko maporini anafuga mifugo ya nyama na maziwa.

Nimeona mchaga marehemu Mengi akiwa mhasibu wa kwanza kutambulika hapa nchini akiacha ajira nono.

Nimeona mkinga huyu kijana vunja bei kaelimika lakini aliacha ajira yake yenye mshahara wa uhakika
Ni mmoja tu hao wengine vip? Punguza fix na kuweka ukabila mbele hauna nafasi tupo nao wakibao wanaongea kitaa na tuna wafanya biashara wakubwa hapa Town hata ukitaka unatakiwa majini watu wa musomo, Ruvumua, Geita wako kimya
 
Back
Top Bottom