Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena
Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo.
Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote...
Hivi Ina maana vyombo havioni Biashara ya Madawa hasa ya cocaine inavyoenea majiji?! Network ya watu wanokwenda Mombasa, Dar , Arusha na Dodoma. Wanazuga kama wanafanya Biashara za Magari na spare!? Nani anawapa Baraka? Heroin ipo miaka kibao lakini cocaine Sasa hivi imeenea sana. Na inatumiwa...
Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
Vibanda vya biashara.
Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi.
Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia stika hufanya muonekano wa kibanda kuwa 🔥🔥🔥..
Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz.
0692477610
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla.
Bw...
Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
Habari wananzengo,
Naomba kuuliza Je ni Muda gani Mtu anapewa mkopo kama amekidhi vigezo vyote vya kukopesheka, ie ana dhamana, ana biashara iliosajiliwa, Bank statement zake ziko vizuri ??
Naomba kujua
Biashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike,
Jikite kwenye ujuzi...
Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 akiibua kilio cha wafanyabiashara wazawa wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam...
Wakuu.
Samahani, naomba mwenye uzoefu zaidi anaweza kunisaidia ni Router ya kampuni gani naweza kupata kwaajili ya biashara ya WiFi kwenye ofisi yangu ambayo mteja atakua analipia either kwa muundo wa kununua vocha or njia yoyote ambayo itaniwezesha ku control mapato hata nikiwa mbali na eneo...
TANGAZO LA HUDUMA ZA USHAURI WA BIASHARA
Amicable Group Holdings Limited inatoa huduma za kitaalamu za Ushauri wa Biashara (Business Consultancy) kwa watu binafsi, vikundi, kampuni, taasisi na wafanyabiashara wanaohitaji kuanzisha, kukuza au kuboresha biashara zao.
Tunatoa huduma za:
✔️...
Kuna mtindo umezuka sasa hivi, kila kona unapogeukia, kila mtu unayekutana naye anakwambia anza biashara ufanikiwe.
Mbaya zaidi ni kuwa maneno haya yanaambatana na kejeli haswa kwa watu ambao wameajiriwa kuwa ni duni na kwamba hawawezi kupata mafanikio.
Hii movement pamoja na kuwa na mazuri...
#HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini.
Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
biasharabiashara na uwekezaji
changamoto
dangote
heche
john
john heche
katiba
katiba mpya
kuboresha
kuboresha mazingira
kufungua
kutatua
maridhiano
mazingira
mpya
njia
pamoja
rais
rais samia
samia
serikali
sifa
uwekezaji
wawekezaji
Habari mjasiriamali kama wewe umesajiki biashara au Kampuni Brela unahitaji Taarifa Hizi kuomba leseni halmashauri/tausi.
1. TIN
Unahitaji TIN number ambayo utaitumia kufungulia akaunti tausi
2. Mkataba wa upangishaji, unaweza kuwa wa ofisi au wa nyumbani kwako.
3. Certificate of...
Habari wakuu. Nimekuja leo nikiwa na maswali mawili kuhusu biashara yangu mpya ya restaurant/mkahawa.
Swali la kwanza linahusu biashara yenyewe. Nimefungua restaurant wiki mbili zilizopita baada ya kuwahi kufanya biashara kama hii miaka kadhaa nyuma lakini sikufanikiwa sana. Safari hii...
Kuna mwamba huko Tiktok anatoa vioo vya simu kwa bei chee, Simu kama samsung A05 ni 16k tu ,
Ila kuna ukicheki comments wafanyabiashara wamekasirika, anawaharibia biashara,
sasa kosa lake lipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.