biashara

  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Hakuna pesa za chuma ulete, kama zipo ungekuta mabenki yote yamefilisiwa na hao watumia chumaulete biashara zisingefanyika

    Hakuna kitu ya namna hio hizo ni fix tu za kijiweni. Kwamba kuna namna mtu akikupa pesa inapotea kimazingira au ukichanganya na pesa ulizokuwa nazo hata kama ni 5M zinasepa.
  2. astalavista

    JamiiForums Tanzania Mfanye mteja asikie tangazo lako la biashara kila akikupigia badala ya ringtone ya kawaida.

    Ni sisi ONFON MEDIA watu mahiri kwenye mifumo mbalimbali, wakati huu tunakusogezea huduma ya RING BACK TUNES kwa gharama ndogo sana ya 30,000/=. Mfanye mteja wako apokelewe na ujumbe maalumu mara tu akupigiapo simu. Nipigie/WhatsApp 0795790411
  3. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Siasa,uchumi na biashara duniani kufikia March 2026

    uchumi na biashara duniani kufikia Machi 2026. 1. Migogoro ya Mashariki ya Kati na Athari zake Ugomvi unaoendelea Mashariki ya Kati umeanza kupiga mifuko ya walaji duniani kote. Mashambulizi ya anga yaliyotokea mwishoni mwa Februari yamesababisha bei ya mafuta (Brent crude) kupanda kwa 13%...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ma genius wengi darasani bila kuajiriwa ni ngumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri ?

    Kwa nini mara nyingi wale waliokuwa “genius” darasani wakimaliza shule wanapata ugumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri? 🤔
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopenda biashara ya kuku aina ya kuchi chimbo hili hapa

    Wakuu kama mjuavyo nikienda mahali huwa napenda kuwajulisheni namna kulivyo. Bila shaka mnajua wazi mimi ni mdau wa kilimo na ufugaji (mdau haswa sio mbabaishaji) Huko kwingine tupo tu kwa sababu tunaishi dunia ya watu wa aina zote but kila nikifungua jf muhimu niingie jukwaa la kilimo na...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kushea biashara na mtu

    Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize. Ila ni kuongeza bidhaa ofisini Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120 Na bidhaa...
  7. 100 others

    JamiiForums Tanzania Kama Wanaua Wasio na Hatia, Unashangaa Nini Ukisikia Wanafanya BIashara Haramu

    Kama mtu anaweza kuua, kuteka, kusingizia kesi,, kuua maelfu ya watu tena wasio na hatia na hawajakosea lolote... je mtu wa namna hio anashindwa kufanya biashara ya kuuza cocaine? Hivi kuna jambo gani gumu au uhalifu unaozidi utesaji na mauaji ya watu wasio na hatia... Kwenye filamu ya El...
  8. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Biashara huonekana pale watu wasiokujua wanapoanza kununua

    Habari wana JF, Kuna kipimo ambacho wafanyabiashara wengi hawakiangalii wanapopima ukuaji wa biashara zao. Wengi huangalia: •Mauzo yameongezeka? •Stock inaisha? •Faida ipo? Lakini kuna swali moja la msingi sana: Ni wateja wangapi wanaokuja kwako ambao hawakuwahi kukujua kabla ya kuanzisha...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Skybooks Software : Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Sahau kuhusu kalamu na daftari

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa urahisi kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

    Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye vikwazo vitano visivyo vya kikodi vyapata ufumbuzi mpaka wa Tunduma/Nakonde kuchochea biashara za kimataifa kusini mwa Afrika

    HATIMAYE VIKWAZO VITANO VISIVYO VYA KIKODI VYAPATA UFUMBUZI MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE KUCHOCHEA BIASHARA ZA KIMATAIFA KUSINI MWA AFRIKA. Vikwazo vitano visivyo vya kikodi kati ya kumi vilivyokuwa vikisababisha msongamano mkubwa wa malori na usumbufu kwa wafanyabiashara na wasafirishaji katika...
  12. Vien

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mtindo mbovu wa biashara

    Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar. Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo! Nikashangaa...
  14. REM GROUP

    JamiiForums Tanzania Skybooks Software : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kazi na biashara gani umeshuhudia au unaona zinaenda kupotea?

    Miaka inabadilika. Kazi zinazaliwa na kufa. Kazi na biashara gani umeshuhudia zimekufa au zinaenda kufa. 1. Uagent wa mabasi. Makampuni mengi yamekuja na ishu ya kukata tiketi online. Maagent wako hoi sana. Taaluma yao inaenda kufa. 2. Wauza magazeti na chaini yote kuanzia uchapaji. Hali...
  16. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Ielewe biashara ya benki (Banking business model) — kwa wawekezaji wanawekeza sekta ya benki kwenye soko la hisa

    Sekta ya benki ni mojawapo ya sekta zinazofanya vizuri katika Dar es Salaam Stock Exchange ikiwa na taasisi kama CRDB Bank Plc, NMB Bank Plc, MKCB, MBP na DCB Commercial Bank Plc. Lakini pia ni sekta inayosimamiwa kwa ukaribu mkubwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa sababu inahusisha fedha za...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Uchawi kwenye biashara ya Catering

    Usijichanganye kuanzisha biashara ya Catering kichwa kichwa. Wadau wanakupiga zongo bab'kubwa ama Chakula kinachacha ukumbini au hakiivi kabisa. Unapoteza wateja ukijiona. Imetokea mara kadhaa Chakula kinachacha saa ya kupakua mezani
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

    Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini: Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane? Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara lililokuacha katika hali ya mshangao

    Wakuu, katika harakati zetu sisi vijana, hasa upande wa kibiashara, je, ubunifu wa kutengeneza matangazo una athari zozote katika maendeleo ya biashara zetu? Kwa mfano, unakuta baadhi ya watu huweka matangazo yenye vichekesho, na baadhi yao huweza kuvutia wateja na kuwafanya wapendezwe na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke kwenda chuo: Orodha ya kozi zenye nafuu ya ajira au kujiajiri na zile ambazo wahitimu wengi hubaki mtaani jobless wala uwezo wa kujiajiri

    Hii ni kwa mazingira ya Tanzania, sio Chatgpt au google inayochambua ajira kwa mazingira ya Amerika au Europe. (mifumo hio haina data za kutosha kuhusu mazingira yetu hata itakupoteza) Kozi zenye nafuu kuajiriwa Ualimu hasa masomo ya sayansi, hesabu na biashara Uhasibu Engineering -...
Back
Top Bottom