Hapo vip!
Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa.
Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa...
Habari za saa hizi wataalamu. Nina mashine ya kukoboa na kusaga.
Rolla tatu, mota 30hp zote mbili. Toka nianze hii biashara sijapata faida.
Naomba ushauri kwa walio kwenye hii game muda mrefu. Nifanye nini niweze kunufaika na hii biashara?
Kwa Nini Biashara ya Spea za Pikipiki Ina Fursa Kubwa Tanzania?
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pikipiki nchini Tanzania yameongezeka kwa kasi kutokana na ukuaji wa huduma za usafiri wa bodaboda, usafirishaji wa mizigo na matumizi ya kawaida vijijini na mijini. Kadiri idadi ya...
Wakati mwingine sisi wenye biashara tunaonekana wakali au wenye roho mbaya kwa wasaidizi wetu, lakini ukweli ni kwamba wengi wao hawaoni mzigo tunaoubeba kila siku. Hawajui hasara tunazopata, kodi tunazolipa, gharama za vibali, pango, bidhaa zinazoharibika, na changamoto nyingine nyingi za...
Hivi karibuni Wazanzibari wamekuwa wakionyesha ubaguzi wa hali ya juu sana. je maandamano yajayo mali zao zitakuwa salama?
Je huko mbele Wazanzibari watakuwa na amani kukaa na Watanganyika kama majirani
Watanzania tubadilike!
Biashara usiposhirikisha watoto au mke mara nyingi huweza kudhoofika, kufa au kuuzwa kwa bei ya chini sana ukitoweka.
Familia nyingi sana za wafanyabiashara zimedidimia kiuchumi na kuteseka kwa kukosa mwelekeo na umiliki thabiti wa mali.
Tujenge utamaduni wa...
Habari zenu wana JF
Naomba ushaurii wenu wadau wa MASASI hapo town ni biashara gani INALIPA ambayo nitajikwamua kimaisha kwa mtaji wa million moja na nusu.
Nawasilisha kwenu wadau
Mwezi uliopita nimejikuta nikalipa fine nyingi sana za gari.
Mara ya kwanza nilisimamishwa na kukutwa nina deni la parking. Nikasema sawa, labda ni uzembe wangu.
Wiki iliyofuata nikasimamishwa tena. Kwa Kosa la kuto kulipia fine ya wiki iliyopita.
Wiki iliyofuata tena nikasimamishwa mda huu...
Wakuu kwema, naombeni msaada kupata wazo la biashara maana nimeshaumiza kichwa sana sipati majibu. Nnao mtaji katika bonds ambao unamachua ndani ya miaka 5 ijayo utakaonipatia takriban Tsh 2B. Nikiweka na cash kwenye account zangu nyingine inakaribia tsh 2.5 B. Kiufupi nahitaji biashara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. Kongamano hilo limewakutanisha Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na...
Habari za muda huu waheshimiwa, Salam.
Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO.
Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani
Yaani nikupe simu na nikuongezee Mil 1.6 kwahiyo simu yangu (mfano iPhone 16 Pro) inathamani gani? Laki 5 au? Maana huwezi...
Kwenye suala la biashara ni kugumu sana jamani, kuna watu wanaanza biashara zinashindikana licha ya jitihada ila ngoma inagoma kwenda mpaka mtu anasema isiwe tabu anaamua kufunga.
Wengine ni kupata hasara kwa kukosa wateja, wengine ni kushindwa kusimamia biashara nk
Wewe nini kilikukwamisha...
Je, una wazo la biashara au tayari una biashara inayofanya kazi lakini huna nyaraka rasmi za kuwasilisha benki kwa ajili ya mkopo au kwa wawekezaji?
Tumezindua Templates za Kitaalamu zitakazokuokoa muda na kukupa muonekano wa kisasa mbele ya wakopeshaji au watoa fedha.
1. Business Plan...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na TISEZA @invest_in_tanzania na @sydf_tz , kimeendelea kuwajengea wanafunzi uwezo wa ujasiriamali na uwekezaji kupitia programu ya Public Lecture – Student Investor iliyofanyika kwa siku mbili, tarehe 30 na 31 Mei 2026 katika Ukumbi wa CIVE...
Nina Imani wazee wa vijiwe mpooo!
JE uliwai fika pale Mbezi beach kijiwe kizuri kabisa kilichojilikana kama FISH POINT?
Ni kijiwe Fulani kizuri kilichohasisiwa na kijana mdogo sana aliyejulikana kwa JINA la Martin KOMBA,sijui kama hapo kijiweni alijukana kwa JINA ilo ILA naisi atakuwa...
Vibanda biashara vya kisasa 🔥
Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi.
Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia stika hufanya muonekano wa kibanda kuwa 🔥🔥🔥..
Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.