Wakuu leo nimeona niandike uzoefu wangu mdogo kwenye hii biashara ya duka la nguo. Huenda ikamsaidia mtu fulani humu atakayesoma uzi. Kwanza kabisa hii biashara sikuwahi kuota ipo siku nitaifanya kwa sababu nilikuwa siielewi na pia kuiogopa kwa sababu marafiki zangu walikuwa wakianzisha na ndani...
Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026.
Wananchi wanadai wana zuio la Mahakama Kuu na kesi ipo mahakamani ila Manispaa ya TEMEKE walifika ghafla Mei...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali.
Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti.
Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi ,
Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama
Mining Ofice management office
Spare Store Management Systerm
Loan Ofice Managenent System
POS for supermarket and all size shop
Nakadhalka
Je unahitaji mfumo wowote ambahaupo hapo na una miss...
KATAVI: Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa kaboni, biashara hiyo ipo hatarini kutokana na uwajibikaji usioridhisha wa waliopewa dhamana ya kulinda na kuhifadhi misitu na kukithiri kwa shughuli za kibinadamu...
Biashara ya vipodozi ni moja ya biashara zinazokua kwa kasi sana Tanzania kwa ujumla. Kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijamii, ushawishi wa influencers, na uelewa wa self-care kumeongeza mahitaji ya bidhaa za urembo kwa wanawake na wanaume.
Ukuaji wa kipato cha watu umeongeza matumizi...
Kwa mujibu wa World Bank (2023), ukuaji wa miji Afrika unaongeza uhitaji wa huduma za malazi, huku Tanzania National Bureau of Statistics ikionyesha kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi mijini, hali inayochochea safari za kikazi na mahitaji ya lodging.
👉 Hii ina maana moja: Biashara ya lodge sio...
Machi mwaka 2019, maisha ya Bi. Mwajuma Rajabu mkazi wa Tubuyu, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro yalibadilika ghafla. Akiwa anauza samaki pamoja na wafanyabiashara wenzake pembeni ya barabara ya Boma, gari lililokuwa likipita lilipoteza mwelekeo na kuwavamia.
Ajali hiyo ilimjeruhi vibaya...
Nimeona Uzi wa jamaa humu, kaenda kukopa b 3 ilihali yeye ni mlala hoi tu.
Sio kesi ila, nimeshangaa watu kumpuzia na kumdharau, sio sawa, mtoto wa mjini kukopa pesa huitaji kiwanja wala mali yoyote, unacho hitaji ni kujibrand tu bhaaaaassssshhhh.
Yule zungu, wa kipaza sauti, alienda Oman...
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko mkubwa wa fedha (high turnover) — yaani bidhaa au huduma zinauzwa kwa kasi kila siku.
Kama unatafuta...
Wakuu habari ,
Nahitaji ushauri ninataka kuanzisha biashara ya pombe kali na pombe laini lakini za kuimport kama brutal, mliotembea ni pombe ipi nikiileta Tanzania naweza kupata faida na kukuza biashara ?
Je naweza kupata nafasi ya kuingiza brutal ilihali kuna mtu mwingine anaingiza? Au...
Katika safari ya ujasiriamali, hatua ya kwanza kabisa ambayo wafanyabiashara wengi huipuuza ni kusajili jina la biashara yao. Wengi huanza biashara kwa speed kubwa, lakini bila utambulisho rasmi. Ukweli ni kwamba, bila usajili, biashara yako haina ulinzi wa kisheria wala hadhi ya kuaminika mbele...
Vijana wengi hasa wanapohusdhuria semina huambiwa maneno matamu sana kuhusu biashara "Mtumishi hawezi kuwa Bakhresa", "Unajiamulia siku ya kwenda", "wewe ndie boss", n.k. hakika ni vitu vinavyowapa moto mkali sana vijana,
Ila ukweli wa biashara hapa Tanzania ni mgumu sana,
Washindani wanacheza...
Habarini Wana jukwaa na poleni na majukuku ya kila siku.
Leo ningependa tujadili kuhusu biashara ya export ambayo kwa namna Moja au nyingine ni biashara inayo fanywa na watu wachache na hii hutokana na kukosa maarifa ya dhati katika biashara hii.
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zina...
Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amechangia hoja ya bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo Aprili 21, 2026, ambapo ameeleza changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa mipango ya mazingira na hasa biashara ya kaboni katika halmashauri mbalimbali nchini...
Mbunge Viti Maalumu, Zainab: siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, kama kuwa MC unahigaji mtaji gani?
Kama vijana watapatiwa uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii vizuri, wataweza kutengenez vipato vyao na kuweza kupata 50,000 kwa siku, kupata 1500,000 kwa mwezi. Serikali imesema...
Tangazo kwa Wamiliki wa Mali!
Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta sehemu kwa ajili
ya kukodi kuweka biashara ya chakula cha haraka(fast food).
Maeneo yawe: Oysterbay(Haile Selassie), Masaki(Chole road).
Ukubwa: Kuanzia sqm 200.
Bajeti ya mteja: Itategemea na eneo litakalopatikana.
Ikiwa una...
Huu wimbo nimekutana nao insta,nikaona niufuate YouTube
Wimbo umenijeruhi hisia,ndani ya dakika tano,kwa mashairi mazito na mkong'osio(melody) wa hisia za juu,umeelezea ukoloni ulivyoingia na namna tunavyosaidia kuuendeleza hapa afrika,tena dini ikiendelea kutugawa kila uchao
Tumia dakika zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.