biashara

  1. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya biashara kwenye eneo lililochangamka Dar es Salaam

    Natafuta nyumba ya biashara ya kununua iwe chini ya 50mil Kama ni lodge, Ya kupangisha/apartment, Fremu, Iwe DSM eneo lililochangamka Weka biashara hadharani Maswala ya kutaka namba za simu siyo nzuri kama hujaweka hadharani Nyumba picha, maelezo ya muhimu weka na namba yako ya simu
  2. McRiyckeel

    JamiiForums Tanzania Wekeza sasa kwa Scandinavia Express ijayo | Biashara ya Mabus

    Habari Wakuu, Matumaini yangu mko njema na kwa wale wanaopitia heka heka na magumu Mungu abariki mihangaiko yenu iwe yenye kulipa fadhila la jasho lenu linalochuruzika kila kukicha. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu. Kwa miaka kadhaa sasa baada ya anguko la...
  3. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI. INTRODUCTION: Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa... Na nikiri NAPENDA HELA SAA. Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu. Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara...
  4. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ile kiu ya kusubiria Toleo la Phantom X2 sasa imeisha

    Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji wengi wa simu janja wamekuwa wakiulizia sasa limefika sokoni na linapatikana kwenye maduka yetu nchi...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama katika kuboresha mazingira ya biashara nchini

    31 Januari 2023 KONGAMANO KUJADILI NAFASI YA MAHAKAMA UBORESHAJI MAZINGIRA YA BIASHARA LAFANYIKA Na Faustine Kapama-Mahakama, Dodoma Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akichukua kumbukumbu muhimu wakati wa Kongamano hilo Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kufungua biashara iliyo nje ya taaluma yako, ni upotevu wa ada kwa yule aliyekusomesha

    Wengi tunaamini kuwa, tunachokisoma mashuleni na vyuoni, ndivyo tunavyoenda kuviishi huko mtaani. Tunategemea mtu aliyesoma fani kama udaktari wa kutibu, uhandisi, uanasheria, uhasibu, ugavi, masoko n.k aende akaishi kile alichokisomea, iwe kwa kuajiriwa au kwa kujiajiri. Changamoto iliyopo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tunaofanya biashara ya M-Pesa, Tigo-Pesa, Airtel Money, ..., na Uwakala wa Bank Tukutane hapa

    ????
  9. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Biashara ya electronic devices ndogo ndogo

    Habarini Wana JF. Mimi ni kijan wa miaka 22 ni mwanachuo nimekuja na wazo la kuanzia biashara ya devices ndogo ndogo za electronics kam scientific calculators,smart watch na airpods.... nilijarb kutembelea site ya alibaba nimeon zinauzwa bei nafuu Sana $1-$3 maximum for scientific calculators...
  10. Harry Barry

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuendesha Biashara ya canter

    Habari wana jf Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mjasiliamali nimekua nikifanya biashara tofauti tofauti kwa muda sasa na kila siku nawaza kufanya kitu kipya Nipo hapa kwaajili ya msaada wenu wana jf kuhakikisha nafikia malengo yangu kama mjasiriamali Hivyo basi nimefanikiwa kununua...
  11. Kaji Bagome

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Magu S/Msingi: Biashara kazini saa za kazi kwa walimu

    JMT; Kazi iendelee. Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana. Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa...
  12. chuma jr

    JamiiForums Tanzania Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
  13. WA MAMNDENII

    JamiiForums Tanzania Showcase fridge ya biashara

    Habari wadau, Nataka kufungua ka grocery kangu nipate hapo japo mia 2 mia 2, sasa issue napata utata kati ya fridge brand ya Boss au Hisence showcase. Naombeni wazoefu au wataalam wa hizi mambo ili nifanye maamuzi mujarab
  14. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kustaafu na majengo ya kupangisha ukiwa kwenye Ajira/Biashara

    Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya kutumia nyumba za kupangisha. Maana yangu ya kustaafu na majengo ya kupangisha. Ni kufikia hali ya...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya uchawi kwenye hii biashara ya huyu Ustadhi

    Twende kwenye mada direct! Kuna Ustadhi ana duka la samaki wabichi mtaa mmoja huku Dar. Kaweka vijana 2 wanauza. Sijui ni ndugu zake au ni wafanyakazi tu. Hili duka la samaki bei ni ya kawaida tu kama maduka mengine. Samaki wake na maduka mengine wapo pia. Cha ajabu anapanga foleni ya wateja...
  16. The Eric

    JamiiForums Tanzania Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

    Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania. Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
  18. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Je, umeshajua umuhimu wa processor kwenye simu yako na processor ipi ni bora zaidi?

    Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako. Hiki ni Kichakataji chenye kasi zaidi kwenye simu na ni sehemu muhimu sana. Katika simu yako...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizotatuliwa ili kukuza biashara kwa vijana

    Idadi kubwa ya Watanzania ni vijana, nao ndio wanakabiliwa zaidi na tatizo la ajira, vijana wa kike wakiathirika zaidi. Kukabiliana na changamoto hiyo, hatua hizi zimechukuliwa zikionesha kuwa Rais Samia Suluhu anahakikisa anawakwamua vijana na wanawake kiuchumi. 1. Mikopo/mitaji ya biashara...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa hii minne (4) hutajwa sana katika matangazo mbalimbali ya biashara kwenye redio na runinga?

    1. Dar es Salaam 2. Arusha 3. Mwanza 4. Mbeya Kama Tanzania nzima ina jumla ya Mikoa 31 kama sijakosea baada ya mingine kuongezeka ikiwemo yangu ya asili ya Mara (Musoma) na Mtwara (Masasi) ni kwani nii hii Minne (4) tu tajwa hapa ndiyo hutajwa mara kwa mara? Ila ninachofurahi hata mikoa ya...
Back
Top Bottom