Nauza iphone 13 plain
Used 2 months
UK
GB 128
Bh 100
Inakuja na boksi yake na original usb charge wire haijawhi tumika.
1,800,000ml Tsh
Dsm location
0783985530
Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake.
Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
Wanabodi.. Heshima mbele!
Moja kwa moja kwenye msada, kuna 10M iko mahali, nawaza niiweke wapi kati ya kununua bodaboda nne niwape watu wakuleta hesabu kwa siku/ week ama nifungue duka ambalo roughly litakuwa kama la 8M maana 2M itaendwa kwenye running cost na kodi.
Msaada!
Habari Ndugu!
Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa.
Leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana hapa nchini. Huku...
Here you get Kiswahili version to start with followed by English version
KISWAHILI VERSION
TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII?
Kwanza kabisa TET...
Wafanyabiashara wengi, wakubwa, wa kati kwa wadogo huu mwisho wa mwaka wamekutwa na dhahama la kusikitisha na kuhuzunisha, wamefungiwa account binafsi za benki na zile za biashara na mamlaka moja yenye nguvu.
Kwenye mazingira kama haya ambapo unaporwa hela zako zote, kuna haja gani ya kuweka...
Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wamefilisika na biashara zao nyingi zimekufa na kupoteza wateja hasa zile biashara zilizokuwa zinategemea nishati ya umeme chini ya uongozi wa Waziri Januari Makamba(MNEC).
Watu wa biashara za saluni za kike na za kiume...
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021.
Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji hizi zimekumbana na misukosuko ya Kuhitaji matengenezo na service Mara kadhaa mpaka Sasa Hali ni mbaya...
Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko.
Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
Habari za wakati huu wapendwa.
Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage.
Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿
Asante.
Habari zenu wakuu !
Leo nakuja kwenu nikihitaji ufafanuzi wa masuala kadhaa yanayohusisha kodi ya biashara.
Ni kiasi cha miaka minne sasa tangu niingie ktk ulingo wa kutafuta maisha kupitia biashara.
Nimekuwa nikihangaika na biashara tofauti tofauti za kila namna lengo niingizie kipato...
Habari wakuu.
Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu.
Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma.
So far, nimefikiria kuwekeza katika...
Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; -
Biashara yenyewe
Blog yake
Youtube chanel yake
Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube utapiga hela, na blog utapiga hela.
Mfano:-
We ni mkulima wa mboga mboga
Anzisha youtube, kuhusu...
Habari za majukumu,
Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no?
Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo.
Asante kwa comment yako, najua itawasaidia wengi.
Habari wakuu.
Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kitabu kinachohusiana na biashara pamoja na mafanikio. Kitabu hiki kimekubaliwa kuwa published on Amazon na publishers nyengine zinashirikiana na Amazon ya USA na UK. Kipo digital kwenye Amazon Kindle pia unaweza kupata kopi ya kitabu. Kama...
Habari ya wakati huu wakuu.
Ninaomba maelekezo na mwongozo kwa vibali ambavyo mtu/kampuni inapaswa kuwa navyo ili iweze kufanikisha kusafirisha mbao/magogo kwenda nje ya nchi hasa Kenya na nchi za Asia.
Pia kama kuna mamlaka nyinginezo zozote ambazo nitapaswa kupita kabla ya chochote ili...
Habari,
Kama inavyojulikana mkoa wa Dar es Salaam ndio mkoa mkubwa kwa biashara.ukianzisha biashara yoyote inatoka ila kuna kuzidiana.
Thread hii ni ya kusuggest biashara zinazotoka sana na zinalipa sana kwa Dar es Salaam.
~ Uuzaji wa chipsi (chakula kizuri) kwa ujumla.
~ Uuzaji wa nguo (za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.