Msaada: Namna ya kuanzisha Biashara ya Microfinance

GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,787
3,050
Habari.

Hongereni kwa majukumu,Poleni kwa changamoto za hapa na pale.

Naomba msaada kwa mwenye kujua namna ya kufungua biashara ya utoaji mikopo, mtaji,faida zake na changamoto zake.

Natanguliza shukrani.
 
Unahitaji kufanya official au kimtaa mtaa ?

Je unao mtaji kiasi gani ili ijulikane kwa mtaji wako unaweza kufanya officially au locally?
 
Unaona mbali...

Hii biashara haihitaji mtaji mkubwa, ukiwa na Million 10 inatosha kabisa, katafute kibali.

Upande wa ofisini (Kabla ya mkopo)

Uwe na wadada wazuri mapokezi,kiyoyozi na makochi ya wateja usisahau ki-laptop kibovu cha kuzugia pale unasubiri wateja.

Upande wa nje ya ofisi.

Hakikisha una mabaunsa,wamama wenye roho mbaya pia na backup ya Sungusungu wa hapo mtaani unapolenga kuanza biashara pamoja na polisi.

Kuanza biashara,

Bandika matangazo hadi kwenye makanisa huko na umtafute mchapaji wa matangazo mbunifu wa maneno matamu yanayompendelea mkopaji.
 
Uko wapi? Unataka iwe kausha damu au ya kistaarabu

Unataka ya kushikilia dhamana au unatakaje i have ka experience nayo kamaa una roho ndogo jikaze
Hapa karume mchikichin kuna kausha damu na kata weit

Hao jamaa wanakopesha mpaka mkopo wa ndani ya masaa nane
 
Unaona mbali...

Hii biashara haihitaji mtaji mkubwa, ukiwa na Million 10 inatosha kabisa, katafute kibali.

Upande wa ofisini (Kabla ya mkopo)

Uwe na wadada wazuri mapokezi,kiyoyozi na makochi ya wateja usisahau ki-laptop kibovu cha kuzugia pale unasubiri wateja.

Upande wa nje ya ofisi.

Hakikisha una mabaunsa,wamama wenye roho mbaya pia na backup ya Sungusungu wa hapo mtaani unapolenga kuanza biashara pamoja na polisi.

Kuanza biashara,

Bandika matangazo hadi kwenye makanisa huko na umtafute mchapaji wa matangazo mbunifu wa maneno matamu yanayompendelea mkopaji.
Milioni 10 huwezi kupewa kibali, minimum uwe na milioni 20 imelala kwenye account! Na uelezee umeipata vipi

Kupata kibali ni changamoto kidogo, ukiachana na gharama zingine Kuna laki 5 unalipia BOT hii hairudi hata ukinyimwa kibali
 
Anzia mtaan kimya kimya wataambiana ila risk ni kubwa hii biasha ukiwa na huruma huwezi kufanya!
 
Unaona mbali...

Hii biashara haihitaji mtaji mkubwa, ukiwa na Million 10 inatosha kabisa, katafute kibali.

Upande wa ofisini (Kabla ya mkopo)

Uwe na wadada wazuri mapokezi,kiyoyozi na makochi ya wateja usisahau ki-laptop kibovu cha kuzugia pale unasubiri wateja.

Upande wa nje ya ofisi.

Hakikisha una mabaunsa,wamama wenye roho mbaya pia na backup ya Sungusungu wa hapo mtaani unapolenga kuanza biashara pamoja na polisi.

Kuanza biashara,

Bandika matangazo hadi kwenye makanisa huko na umtafute mchapaji wa matangazo mbunifu wa maneno matamu yanayompendelea mkopaji.
Milion 10 hapati kibali labda agushi bank statements
 
Take a look and weigh in !! Those are just some of the requirements !!
 
Attachments

  • BOT_TIER 2 MICROFINANCE COMPANY REQUIREMENTS.pdf
    81.9 KB · Views: 38
Unaona mbali...

Hii biashara haihitaji mtaji mkubwa, ukiwa na Million 10 inatosha kabisa, katafute kibali.

Upande wa ofisini (Kabla ya mkopo)

Uwe na wadada wazuri mapokezi,kiyoyozi na makochi ya wateja usisahau ki-laptop kibovu cha kuzugia pale unasubiri wateja.

Upande wa nje ya ofisi.

Hakikisha una mabaunsa,wamama wenye roho mbaya pia na backup ya Sungusungu wa hapo mtaani unapolenga kuanza biashara pamoja na polisi.

Kuanza biashara,

Bandika matangazo hadi kwenye makanisa huko na umtafute mchapaji wa matangazo mbunifu wa maneno matamu yanayompendelea mkopaji.
Hahahahaahahahahahah

Mkuuu umetishaaa mkuuu
 
Back
Top Bottom