Business manager mfumo wa biashara

Aug 27, 2017
31
44
FB_IMG_16821054620526108.jpg

Business Manager (BM) ni sytem inayomuwezesha mfanya biashara kuweza kuiongoza biashara yake kwa kuweka sawa hesabu zake mapato na matumizi pamoja na faida na hasara. kutunza taarifa za wateja na bidhaa kwa ujumla. System ina lugha mbili kiingereza na kiswahili inayomuwezesha mtumiaji kuitumia kwa urahisi (user friendly). gharama yake ni nafuu na faida yake ni kubwa. tumia Business Manager kwa ajili ya kupunguza gharama na kuongeza faida ya biashara yako.

0656058186
 
kabisa bosi bei yetu ni nafuu na unapata msaada pamoja na mafunzo ya jinsi ya kutumia mfumo wetu karibu sana
 
Back
Top Bottom