biashara

  1. JamiiForums Tanzania Ukoloni na biashara ya utumwa(waarabu)

    Hebu tuangalie kwa kina, ukoloni uliletwa na wazungu tu. Waarabu na wahindi walikuwa wafanyabishara tu. Hoja, ninani mwenye afadhali kati ya mkoloni na mfanyabishara? Japokuwa mkoloni alikuwa na mabaya yake kama kutesa, kushurutisha, kuaibisha na bogus treaty lakini kuna kitu cha maana aliacha...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

    KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI? Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Liangalie kwa Mapana Zaidi Suala la Kodi Kwenye Matangazo ya Biashara Mtandaoni

    Mwigulu nadhani ungeangalia hilo kwa mapana zaidi maana wewe upo kwenye kodi mpya mpya kila siku za kudumaza maendeleo nimeshangaa wengine wapo busy kwenye kuitangaza Tanzania kwenye biashara ya utalii na wewe unakuja na kodi kwenye matangazo sidhani kama pana kampuni za utalii zitapata wateja...
  4. JamiiForums Tanzania Usipate changamoto kusajili kampuni au jina la Biashara BRELA tena

    Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo; 1. Kusajili Kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and article of...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Biashara gani yenye faida Kwa mtaji wa Tsh 10 milioni mkoani Arusha

    Wanajamvi naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara itakayonipatia faida mtaji 10M, location - Arusha Note 1. Biashara ambayo haitahitaji usimamizi wangu wa karibu 2. Itakayonipa urahisi wa kumu-monitor nitakayemuweka kusimamia biashara
  6. JamiiForums Tanzania Biashara ya mchele na maharage ;

    Habari, Mimi ni mfanyabiashara , nina duka la rejareja( fremu) na store, nipo mabibo Dar Nahitaji kununua Mchele na maharage kutoka mbeya, au tunaweza kufanya makubaliano ya kukuuzia maharage ,mchele n.k dukani kwangu Uaminifu 100% , Njoo DM Namba yangu 0788768480 Piga au tuma meseji. Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuanzisha/ kuendeleza/ kuimarisha biashara ya mikopo (kukopesha fedha) waangalie Bodaboda, ni chimbo la uhakika

    Habari JF, Nawaleteeni hii Fursa muitazame kiundani ikiwezekana ichukue ifanyie kazi. Kama una mtaji unaojitosheleza, anzisha biashara ya Microfinance (mikopo ya kifedha) Baada ya hapo anza na hili kundi la Bodaboda ambao ni wepesi sana kuleta marejesho kwa wakati. iko hivi, boda boda are...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Serikali kuanzisha Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Wataanzani wanaharibu dhana nzima ya "digital marketing"

    Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuanzia tarehe 1/07/2023 hakuna kufunga biashara kwa kigezo cha mtu kukiuka taratibu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kwamba kuanzia July 01, 2023, iwe ni marufuku kwa Taasisi yoyote ya Serikali...
  10. JamiiForums Tanzania DP World yazindua jukwaa la E-commerce Tanzania na tayari wametoa fursa za kipekee za Biashara kwa wote. Tuchangamkie fursa

    Tunaposema mama anaupiga mwingi huwa hatukisii au kumsifia ili mradi tu. Mama anaupiga mwingi kweli kweli. Wewe unaelalamika, wacha ulalamishi changamkia fursa hizi. Sehemu ya watoa huduma wa kimataifa wa DP World, DUBUY.com inafungua ukanda mpya wa biashara ya kidijitali kwa Tanzania na ukanda...
  11. L

    JamiiForums Tanzania “Kuondoa hatari” ni hila ya Marekani ya kutenganisha China katika mambo ya uchumi na biashara

    Hivi karibuni, “kuondoa hatari” kumechukua nafasi ya “kutenganisha” kama neno jipya linalotumiwa zaidi na wanasiasa wa Marekani kuhusu China. Mkutano wa kilele wa Kundi la Nchi 7 (G7) uliofanyika mwezi uliopita ulitoa taarifa ikisema kuwa, nchi hizo 7 zinazoongozwa na Marekani zitajitahidi...
  12. JamiiForums Tanzania Somo kutoka Uchina, namna walivyoweza kuendeleza biashara ya Bandari

    Tusilaumiane bali tujifunze na tutoe mustakabali wa Taifa letu kwa upendo tu, naweka document ili tuendelee kujifunza.
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

    Habar wakuu Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kuanzia biashara ya mabango ya 3D na 2D

  15. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu inapojitapa haifanyi biashara.. huku ikiuza Bandari zetu kwenye kampuni inayomilikiwa na serikali, hii ni sawa na kusemaje?

    DP, ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai! Wakati sisi serikali yetu ikituaminisha kwamba, ni ujinga kwa serikali kujihusisha na biashara na wakati huohuo inaipa kampuni ya DP bandari zetu, ambapo ni kampuni ya kiserikali huko Dubai, Hapa imeshajulikana nani ni nani Msemo huu ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Kifuatacho ni Kubinafsisha usafiri wa treni. Biashara za walioko Ikulu

    Tulishafahamu mapema pale yule jamaa wa National housing alipopelekwa kuwa msajili wa hazina. Eti Mchechu ndiye msajili wa hazina! Mtu asiye na ethics. Mtu aliyewekwa na Luhanjo. Luhanjo aliyemleta Katibu mkuu kiongozi mpya toka Iringa. Sasa kila mtu anahaha. Tukisema Iringa wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uchumi wa nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023. Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna watu wanafanya biashara Dar es salaam kwa mtaji wa elfu 50 tu🙌🙌

    Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu. Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wanashindwa kuendesha biashara zao pindi tu wanapoziansha?

    Kwanini vijana wengi wanashindwa kuendesha biashara zao pindi tu wanapoziansha? Ni lipi tatizo?
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara

    Unapoanza biashara, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuongeza uwezekano wa mafanikio. Kuanzisha biashara ni hatua kubwa na yenye changamoto, lakini pia inaweza kuwa fursa nzuri ya kufanikiwa na kufikia malengo yako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati unapoanza biashara: 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…