Biashara ya viatu vya kike spesho hivi vya fashion na pochi

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
258
567
Habari,

Biashara ya viatu na pochi za kisistaduu zinalipa kwa Mbagala Rangitatu?

Natumai kuanzisha biashara, nina 2.5M ila biashara ninayoipenda ni viatu vya kike, yaani vinavyohusu wanawake.

Fremu nakusudia nipate mbele mbele stendi yaani.

Mnanishaurije, biashara hii inalipa au?
 
Hiyo biashara inalipa kwakweli ukiotea sehemu mzuri tu
 
Back
Top Bottom