Biashara ya movie centre ambazo hazijatafsiriwa

chuma jr

Member
Oct 17, 2015
84
133
Habari wakuu nasogeza hoja mbele yenu nahitaji msaada na muongozo nina goli langu la uwakala sasa nataka nijiongeze sababu ofisi imepwaya na uzuri namshukuru Mungu uwakala umeitika vya kutosha.

Sasa nataka nijiongeze kwenye kuuza movie zisizotafsiriwa na zilizotafsiriwa sababu najua wanaopenda movie zisizotafsiriwa bado wapo wakutosha sasa zilizotafsiriwa najua nikiibuka pande za aggrey K/koo napata issue kubwa ni hizi zisizotafsiriwa nazipataje ile on time na bei yake huwa ipoje naomba muongozo wakuu nawasilisha hoja.
 
Nicheki ninazo movie zisizotafsiriwa mpya mpya pamoja na Subtitles zake zibafika 180 nitakuwekea kwa Bei poa tu zooote
 
Mi ninazo movies kali za 2022, 2021 na miaka ya nyuma pamoja na animations zenye resolutions ya 720p na 1080p kama 200 hivi nitakuwekea kwa bei ya msaka tonge njoo pm
 
Habari wakuu nasogeza hoja mbele yenu nahitaji msaada na muongozo nina goli langu la uwakala sasa nataka nijiongeze sababu ofisi imepwaya na uzuri namshukuru Mungu uwakala umeitika vya kutosha.

Sasa nataka nijiongeze kwenye kuuza movie zisizotafsiriwa na zilizotafsiriwa sababu najua wanaopenda movie zisizotafsiriwa bado wapo wakutosha sasa zilizotafsiriwa najua nikiibuka pande za aggrey K/koo napata issue kubwa ni hizi zisizotafsiriwa nazipataje ile on time na bei yake huwa ipoje naomba muongozo wakuu nawasilisha hoja.
Vip kwenye mpango wako umeweka na kodi ya TRA
 
20230118_144137.jpg
 
Nachukia muvi ikiwa imetafsiriwa! Sijui lufufu sijui nani! Kwanza hua hawaendi na story kabisa ni utumbo mtupu kiasi kwamba kama muvi ina subtitle ukisoma na anacho elezea unajisikia kero hata kuiangalia
 
Kuna watu sijui hua wanafikra gani! Muvi kama hizo ukute zimetafsiriwa huwezi kuangalia
cf3f69c0ae3cb196cc42516a10d87891.jpg
8c5aa6601c84953148fb827614c4e929.jpg
36437e4ee4e8582f883b8c52883c12f7.jpg
2ed55e188695159be4ff5b76c4bc3615.jpg
 
Back
Top Bottom