bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania FAHAMU Faida za unywaji BIA kwenye mwili wa Binadam

    Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi. Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali piteni kwenye mabaa chunguzeni bia za windhoek. WATATUUA JAMANI

    Najua nitaonekana mlevi lakini kuna uwezekano mkubwa sana hizi bia kuna viwanda vya uchochoroni vinaendelea. Ukizingatia wamiliki wengi ni wachaga ambao nao pesa ni zaidi ya uhai wa mtu. Hivyo ni rahisi wakafanya mchongo na wachina kutengeneza bia feki. Haiwezekana watu watano wanywe bia nane...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Agosti 4, 2023 Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani ambayo husherehekewa kila Ijumaa ya Kwanza ya Mwezi Agosti, ilianzishwa mwaka 2007 huko Santa Cruz, California, Marekani Siku hii hunganisha Dunia kwa kusherehekea aina mbalimbali za #Beer kutoka Mataifa yote Duniani, ambapo marafiki hukusanyika na kufurahia...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

    Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Idadi ya bia kunywa kwa siku yawa gumzo

    Dar es Salaam. Kauli ya watalaamu wa afya kuhusu kiwango cha bia kinachoshauriwa kutumiwa na mtu kwa siku, imezidi kuibua maoni tofauti, safari hii wachambuzi wakijikita katika ujazo wa chupa, wingi wa kileo, afya ya mnywaji na mchanganyiko wa kinywaji chenyewe. Akizungumza na Mwananchi jana...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete: Kunyweni angalau bia tatu tu kwa siku

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau tatu kwa siku ili kujilinda na ugonjwa wa moyo. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter ******* amesema hayo leo Jumatatu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kaniambia gharama ya ufupi wangu ni bia 6!

    Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja yeye ndio ilinifanya niishiwe nguvu. Watu warefu wanafaidi sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
  8. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

    Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako. Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kuna Bia za kuchakachua hapa mjini

    Sina nia ya kuwatisha wanywaji wenzangu wa bia. Lakini nimekuwa ninafanya ulinganifu ninapokunywa bia nikiwa Kenya na nikiwa Tz. Mfano ladha ya Heineken ya Kenya ni tofauti . Pia Heineken ya sehemu kama Serena hotel au Supermarket kubwa unakuta ina utofauti wa Ladha na hata harufu na...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tujuane tunaokunywa crate zima la bia

    Hello JF Kama utani yaani mimi nakunywa crate zima la bia seriously? Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua, mimi Wadiz namaliza crate zima na silewi hata,🤣🤣🤣. Naomba wale tunaomuda kukata bia crate zima tukutane kwa shuhuda zetu na aina ya bia unayoipenda. Wadiz
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania, habari ya kuchunguzana kwanini tunakunywa bia kila siku haifai

    Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake. Hata kama hana kazi alishakuibia? Alishakuja kukuomba bia? Alishakuja kukuomba chakula? Balimi buku jero. Bia nne mtu analewa hoi!
  12. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Pasaka hii tukumbuke kuwasaidia wahitaji, yatima na wajane

    PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema. Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema. Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
  13. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Watengenezaji wa bia mnakuwa kama mmekula dili na wauzaji

    Zamani ilikuwa bia kubwa tu basi burudani, lakini sasa bia ndogo zimetapakaa lakini kitu ambacho sikipendi watu wa bar na grocery wanaweka kwa wingi bia ndogo kwa makusudi halafu bei sawa bia kubwa. Sasa watu wa breweris kwanini mpo tu wakati wakati wateja tunakuta tusichokipenda kwa bei ghali...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ruhusu watu wanywe bia 24/7 ukuze uchumi

    Mama, kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa. Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi, wakati wa furaha na wakati wa huzuni. Pombe ni kiburudisho baada ya kazi. Kuna kazi mbalimbali...
  15. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Uhujumu wa Bandari yetu

    Kuna hujuma ya kupunguza mapato ya nchi dhidi ya sheria tata za pollice wetu, baada ya hizi ajali za mara kwa mara police wameweka sheria hizi gari za IT kutokubeba mtu zaidi ya dereva tu. Sasa unakuta mtu anakuja kuchukua gari yake, hapohapo afanye shopping, aje na mkewe au mtoto wake, atakua...
  16. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Watu wa serengeti bia mnapoteana

    Bia zenu serengeti sasa zinaradha ya sukari sana halafu unapiga hata tatu hakuna stimu unamaliza hela tu.Lakini zamani ukipiga tatu angalau.Lakini serengeti hizohizo mikoa mingine zipo poa.Mkiendelea kuleta kanya boya tutafanya kampeni ya kuwaharibia tena nasisitiza toeni bia zenu zenye ladha ya...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hakika Yanga SC 'mmetuumbua' leo kwa vitendo tuliyojua jezi zenu nyeusi ndiyo zenye bahati kwenu

    Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo.... 1. Yanga SC inacheza Kiupambanaji hasa Spirit ambayo unaweza Kuitafuta kwa Tochi katika Vilabu Vingine. 2. Kocha...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya wa Cameroon anasurika kifo Ufaransa akisherekea miaka 40 ya Urais

    Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu. Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu. Bia anamwaga muda si mrefu. Nikiripoti habari nyepesi ama...
  19. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Nikuite bar, nikununulie bia na matusi kunitukana?

    Nimechoshwa na tabia wanadada wenye midomo isiyo na marinda. Kama umelewa usitukane, Kwa sababu hata gemu haliwezi kunoga
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Pombe washuka kwa kasi Tanzania

    Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha uzalishaji wa bia nchini umeshuka kutoka lita milioni 386 mwaka 2020, hadi lita milioni 380, ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 1.5. Kwa upande wa pombe aina ya konyagi nayo uzalishaji wake...
Back
Top Bottom