bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. mgt software

    JamiiForums Tanzania Bia ya Pilsner yauzwa 1000 Bukoba, watu wamegaili kunywa soda, wanameza bia tamu.

    Wana JF Ukiwa Bukoba raha sana, wale ambao walikuwa wanagonga nyagi mwitu wameamia kwenye bia ya buku huku wakifurahia ujio wa kiwanda hiki mwanza, maroli na maroli yanamwaga bia bukoba, usije ukalogwa eti unataka kuwanunulia nyagi, hawataki kabisa. Hongela sana SBS kwa kuleta burudani...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Unasema bia tamu? Itakuwa hujaonja vitamu wewe!!

    Watu wakiambiwa wapige kura kuchagua kati ya kuchakatana na kunywa bia. Mm nitakuwa mmoja wa watu watakao chagua kuchakatana na tutapata ushindi mkubwa sana. Aliyesema bia tamu akafanye utafiti upya. Ndiyo maana hata bia ikikolea inamsukuma mtumiaji aende kuchakatana, hii inamaanisha kwamba...
  3. B

    JamiiForums Tanzania NEMC: Kunywa bia na kufanya sherehe na matamasha kwenye fukwe ni makosa kisheria

    Mkurugenzi wa Baraza la Kutunza Mazingira NEMC, Dr Samwel Gwamaka asema baraza la mazingira linashauri kuwa si salama kunywa vileo, kufanya matamasha makubwa ktk fukwe za bahari kwani ni hatari kwa umma mpana na pia inapelekea kuharibu mazingira Source : millard ayo.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla

    Naomba kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla. Nitashukuru.
  5. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

    Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa. Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara. Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
  6. nyboma

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

    Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

    Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho. Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi. Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
  8. Liston Cosmas

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Yote Tisa kumi bia hazijashuka bei

    Mwaka mpya wa fedha tumepelekwa mbiombio aseee na mambo yalikuwa Ni mengi bado bilabila na mother anaupiga mwingi na inavyoonekana hata bia kumbe hazitashuka Bei kumbe ile habari ya punguzo la bia ilikuwa Ni scam.msaada tutani
  10. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Bia zitashuka lini bei?

    Tuliahidiwa bei zimeshushwa kodi hivyo hata bei itapungua, lakini mpaka leo utekelezaji unasuasua, sasa wadau naomba tupaze sauti ni lini serikali yetu tukufu itapunguza bei ya bia ili sisi wanywaji tuendelee kuchangia kodi kwa spidi kweri kweriii
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Hatujapunguza kodi kwenye bia za Kawaida

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema serikali imepunguza kodi kwenye bia zinazotumia shayiri ya Tanzania 100% Amesema malalamiko ya kusema zimepunguzwa kwenye bia na kupelekwa kwenye miamala ni kutoelewa Amesema dhumuni la kushusha kodi ni kuwezesha uanzishwaji wa kiwanda...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Bia za Tsh 1000/1500 tujulishane wanapouza

    Hamna kitu inaumaa unarudu kwa Mangi unakutana najamaa wanahadithiana yaaanai leoo nimela.baa sitaa za bk miatan Mwingine Za buku Nimemimina kumi aisee mwenye ukweli hasa wale wa tbvu tujuzanee hizi bukubuku zinapatikana Wapi Otherwise darajani leo kuna ufunguzi mbele ya Rainbow KIDOGO wa...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imeshusha bei ya bia huku bidhaa muhimu zikiwa ghali?

    MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA? "Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga.
  14. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Unalipa ada za watoto zaidi ya mamilioni, eti bia mbili tu kosa

    Wanadamu wachokozi, wazandiki na makuhani tena wanahiyana una kifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi. Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
  15. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda bia za bure njooni niwape chimbo uzi huu unawahusu

    Habari wadau..! Hii dunia unaambiwa ukistaajabu ya Mussa utayaona ya filauni. Wakati pale Africable Kurasini Mivinjeni kuna mwamba kajitolea anatoa msosi bure na ana zaidi ya mwaka watu wanapiga msosi. Kuna mwanangu kanipa info kwamba kuna mwamba yeye kafungua bar yake anatoa bia za bure ...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wazamiaji' wengi wa Harusini ( Shughulini ) ndiyo huongoza kwa Kufakamia Vyakula na Kunywa Bia hadi Kulewa hovyo?

    Nasubiri kwa hamu sana tu Majibu yenu.
  17. Mawimba

    JamiiForums Tanzania Pombe kali zimepanda bei, bia inakuwaje?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema! Hivi wanyaji wa bia na pombe kari tunaibiwa au? Maana pombe kali zishapanda bei ila bia Zimebaki pale pale shida iko wapi? Au mi kwa sababu niko uku ruvuma? TRa Tbs OSHA Wateja TUPAZE SAUTI TANZANIA NI YETU
  18. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Task TRA force Bado wananyanyasa watu, wavamia Bar ya Mpo Africa wabeba kreti za bia Usiku huu

    Nchi hii sijui imelaaniwa wapi, ni juzi tu Rais wetu mpendwa Mama Samia aliwaonya Task forces TRA waache kutumia nguvu kudai kodi lakini usiku huu wamevamia Mpo Afrika bar iliyopo Temeke na kubeba crates za bia wakiwa wameambatana na polisi wengi wenye silaha.Hivi unapomvamia biashara ya mtu...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nyie, Tunyweni bia

    Tunyweni bia jamani. Bia ni tamu Sana na inaondoa mawazo
Back
Top Bottom