Tujuane tunaokunywa crate zima la bia

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,413
11,064
Hello JF

Kama utani yaani mimi nakunywa crate zima la bia seriously? Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua, mimi Wadiz namaliza crate zima na silewi hata,🤣🤣🤣.

Naomba wale tunaomuda kukata bia crate zima tukutane kwa shuhuda zetu na aina ya bia unayoipenda.

Wadiz
 
Hello JF

Kama utani yaani mimi nakunywa crate zima la bia seriously? Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua, mimi Wadiz namaliza crate zima na silewi hata,.

Naomba wale tunaomuda kukata bia crate zima tukutane kwa shuhuda zetu na aina ya bia unayoipenda.

Wadiz
Nimeshapiga la pili hapa...
20230507_122622.jpg
 
Kuna kaka angu wakat yupo chuo aliwah kunywa bia 16 baada ya hapo damu zilianza kumtoka puani na akazima

Sahv amekuwa mlevi kupindukia hata kazi hafanyi hana mke na hana mtoto yaan amekuwa kama teja sahv kakonda balaa na haumwi mpaka mwenyew kaanza kujishitukia anataka akafanye check up ya mwili mzima
 
Sijawah pata hamu ya bia ila huwa nakunywa tu nikiamua au nikiwa na marafik na sijawah kunywa siku mbili mfululizo,nikinywa siku moja kesho sitak hata kusikia harufu yake
Wewe kama mimi sema tofauti yangu na wewe mimi kuna muda napata hamu ya bia aila nikinywa bia tatu tu naanza kusikia ni chungu sana. Ndio maana napendelea dessert beer kwasababu zina sweet taste au wine.
Whisky na konyagi au spirit yoyote sinywi nikinywa kesho yake ntajuta.
Kiujumla mimi si mnywaji wala mlevi japo nishawahi kunywa pombe enzi za ujana wangu kwa sifa hadi kuzima
 
Hello JF

Kama utani yaani mimi nakunywa crate zima la bia seriously? Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua, mimi Wadiz namaliza crate zima na silewi hata,🤣🤣🤣.

Naomba wale tunaomuda kukata bia crate zima tukutane kwa shuhuda zetu na aina ya bia unayoipenda.

Wadiz
Bia aina gani?Unakunywa zile mwisho zimechorwa neno "lite" halafu unatusumbua?Niko hapa napata Castle Milk Stout za moto.Njoo nikupe shule hadi uimbe kikwenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom