bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani ya Mkude kunywa bia kama alikuwa hana hela?

    Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa. Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bia za kupima za kwenye mitungi ziliishia wapi?

    Kuna wakati niliwahi kuona bia za kupima kwenye glasi zinazohifadhiwa kwenye mitungi (kegs). Hivi siku hizi hazipo tena? Glasi ilikuwa inauzwa sh 500. Ingesaidia watu waache kunywa mataputapu. Kenya zipo sana watu waliokuwa wanauza pombe haramu waliacha wakawa wanauza Senetor kegs beer. Huku...
  3. Mgibeon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kuanza na Kreti Ngapi za Bia?

    Mu-hali gani wakuu??? Maisha magumu sana, kila kukicha mambo yanazidi kuwa magumu, nilifanikiwa kuanzisha ki'biashara flani (maji na juice kwa jumla) hapo Dar ila mimi nilikua mkoani naongeza kisomo kidogo ila kama mjuavyo tena USIMAMIZI Ulikua mgumu sana kutokana na umbali hivyo nikajikuta...
Back
Top Bottom