bia

Bïa Krieger is a Brazilian-born singer and recording artist who lives in France and Quebec. She sings in French, Portuguese and Spanish. Her recording career began in 1996 and currently she has four albums.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni za bia hazifanyi urejeleshaji (recycling) ya lebo za bia?

    Hizi lebo za bia haziwezi kutumika mara mbili kupunguza gharama za kuchapa lebo mpya? Lebo nyingi zinamfikia mnywaji zikiwa katika hali nzuri kabisa na zinarudishwa kiwandani zikiwa zipo vema kwenye chupa. Najiuliza kampuni za bia kwa nini hazizitumii hizi lebo kwa mara ya pili? Maana...
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kazi ni kwako

  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania SOLD OUT: Nunua bia nne ujipatie ticket ya Simba Day

    Hii ndio ile Sold out tunayotamba nayo, unanunua bia 4 kisha unajipatia ticket ya bure ya Simba Day.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Serengeti warudishe bia yetu pendwa

    Hii mada inawahusu wanywaji tu. Tangia Serengeti ibadilishe bia ya Serengeti larger yenye makaratasi meusu na kutuletea nyingine yenye makaratasi ya njano sio tu imebadilishwa meoneko Bali pia na ladha imebadilika. Ladha mpya sio tu haina msiaimko Bali inakera naomba Serengeti wanrudishe...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe tunashindwa Kuitambulisha upesi 'Turufu Iliyochoka Kwa Jirani na Inayolewa Hovyo Bia' kwakuwa bado tuna Madeni Makubwa na hatujamalizana nayo?

    Na ninasikia Wiki hii au ijayo kuna Mchezaji / Wachezaji Wawili nao wanaenda Kushtaki FIFA kwa Madeni yaliyokubuhu.
  6. mzee wa liver

    JamiiForums Tanzania Bye bye Serengeti bia

    Aisee hii bia ya Serengeti nilikuwa naipenda sana lakini Kwa Sasa Wacha niipe talaka tatu wamekuja na sticker la hovyo kabisa rangi mbaya sana utafikiri ya chama kile chakavu mtakosa mapato msiporudisha sticker ya zamani kiwanda chenu kinaenda kufa kifo Cha Mende
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua kinachofanyika 'behind the Scene' hasa kwa Bendi za Dansi Afrika acheni tu Bia na Viroba vitengenezwe na Bangi ilimwe sana tu

    Nilikuwa najiuliza sana inawezekana vipi Watu wanaimba na kucheza zaidi ya Saa 8 na hata hawachoki ila jibu nimelijua.
  8. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwenu kampuni ya bia Serengeti

    Bia aina ya pilsner imeandikwa bei elekezi 1700, klwanini inauzwa 2000 na maeneo mengine 1800 tofauti na mlichoandika?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani teknolojia imeathiri biashara ya maduka ya viandikia (Stationery)

    Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini bia lita 5 zinanyweka ndani ya saa na sio maji?

    Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko. Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita 5 ila haiwezekani kukaa sehemu ukanywa maji Lita 5 labda unywe taratibu asubuhi Mpaka jioni. Kwa...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Siku za mpira kwenye baa soda na maji ndiyo vina faida kuliko bia

    Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara itakuendea vizuri sana.soda moja unapiga faida Mpaka 500 hakuna bia yenye faida hiyo.
  12. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Bia moja moja ni sawa na serengeti lite 5

    ukizichapa bia 5 kazi unayo
  13. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Anayeuza kreti za bia na soda kampuni yoyote

    Wasiliana nami kwa namba 0756294771. Nahitaji, nipo Moshi Mjini. Karibuni.
  14. edwin89

    JamiiForums Tanzania Makreti ya bia kampuni ya serengeti yanauzwa

    Kreti za serengeti zipo 100 zinauzwa na chupa zake. Kwa wanaofungua stoo ya bia za jumla. Elfu 10,000 kwa kreti moja.karibu sana.
  15. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Gari ya bia yaanguka Kilege Bagamoyo

    Haina maelezo mengi, angalia video
  16. Dr Kelvin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho husababisha ugumba

    Je, Kuna ukweli kuwa unywaji wa Bia kwa wingi kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa homoni za kike, na mwisho kupelekea mwanaume kupata ugumba? Video inayozungumziwa (Chanzo: Times FM) Picha ya Mwanaume aliyelewa pombe (Picha: Adobe Stock)
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

    Sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia. Akhsante mtaalam kwa ukweli wako
  18. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Nauza crets za bia na soda

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napatikana Mbezi Beach Jogoo.. Gharama ya kila cret ni Sh 15000. Napatikana kwa namba 0764813772.. Karibuni
  19. R

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Bunge lapitisha Muswada wa bangi kwa matumizi binafsi

    Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023. Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sijapenda matumizi ya label ya Maokoto kwenye bia ya Serengeti Larger ndogo

    Kampuni ya Serengeti nashauri wejiheshimu na waheshimu brand ya wateja wao wanatumia neno la kihuni na lenye matumizi yenye weight kubwa ya negative connotation hasa sehemu zetu za kula bata. Tafadhari Serengeti breweries mjitafakari sana baadhi yetu tumetoka mbali sana na hii bia sio poa...
Back
Top Bottom