Mercedes-Benz (German: [mɛɐ̯ˈtseːdəsˌbɛnts, -dɛs-]) is a German global automobile marque and a division of Daimler AG. Mercedes-Benz is known for luxury vehicles, vans, trucks, buses, coaches and ambulances. The headquarters is in Stuttgart, Baden-Württemberg. The name first appeared in 1926 under Daimler-Benz. In 2018, Mercedes-Benz was the largest seller of premium vehicles in the world, having sold 2.31 million passenger cars.Mercedes-Benz origins' come from Daimler-Motoren-Gesellschaft's 1901 Mercedes and Karl Benz's 1886 Benz Patent-Motorwagen, which is widely regarded as the first internal combustion engine in a self-propelled automobile. The fuel was not gasoline, it was a much more volatile petroleum spirit with several names including ligrane/ligrain/ligroin. This was used as a degreaser, spot remover, paint thinner, etc. and was so quick to burn or explode, it was not stored inside. The slogan for the brand is "the best or nothing".
Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho...
Mzuka wanajamvi!
Mjerumani kaamua kutoa kifaa kipya cha umeme EQS electric car ambayo ni tishio kwa Tesla. Inaaminika is the most luxurious electric car in the market.
Gari hili linalotumia umeme tu liko aina mbili EQS 450+ Na EQS 580 4matic.
Imeshaingia sokoni toka mwezi wa 8.
na utitiri wa...
HABARI YA MAJUKUMU?
KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU.
VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
bei nafuu
benz
biashara
bmw
gari
harrier
inauzwa
injini
japan
karibu
kuagiza
kuagiza gari
land rover
magari
majibu
manual
mayai
mbeya
mitsubishi
nissan
picha
siku
soko
subaru
toyota
usafiri
ushuru
viti
vitz
volvo
waagizaji
wazi
xtrail
Habari wadau
Tanzania ni nchi tajiri sn na usije ukajidanganya kuwa setikal haina hela serikal hela inazo sema ziko chemba kwa matumiz ya watu fulani fulan na maelekezo kutoka juu.
Mwinyi kapewa zawad ya Benz TZ million 400 mnapiga kelele kila kona kisa pesa za kodi naomba niwaulize maswali...
"Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo."
-- Issa...
Wakati wa uzinduzi wa kitabu cha maisha ya mstaafu mzee Ally Hassan Mwinyi mambo mengi yamesemwa na hata baadaye kuonekana issue hii kuibukia kwa Simba na Yanga.
Twende kwenye hoja.
Wazee wa Dar waliofika kumsikiliza mama kama walikuwa 1000 basi kwa bei ya gari linalotakiwa anunuliwe mstaafu...
Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani.
Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi.
Kwa muonekano wa...
Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12.
Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
Chasis ya Scania Bus engine nyuma
Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.
Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia...
Leo hii sijui Mzukulu nimekumbwa na nini yaani similiki hata Baiskeli au Guta lakini nayazungumzia Magari ambayo sina hata Ubavu wa Kuyamiliki.
Lamborghin
Mercedes Benz
Porsche
Rolls Royce
habari wakuu?
Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu.
Bei ni nafuu na spea ni Original
Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.