Mercedez Benz na BMW ni magari ya kifahali lakini yenye dashboard mbaya

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,017
2,000
Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani.

Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi.

Kwa muonekano wa nje, hakuna gari ninayoikubali kama Mercedez Benz.

Ila pamoja na kuboresha muonekano wa nje uwe wa kisasa zaidi, dashboard zao bado zinakosa mvuto. Hazina nakshi ambazo gari nyingi za kileo wanaweka pale mbele.

20201120_200212.jpg

20201120_200138.jpg

main-qimg-718f5dbae39bcdfc7c8a75d6a92698a6.jpeg
 
Nov 19, 2020
28
100
Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani.

Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi.

Kwa muonekano wa nje, hakuna gari ninayoikubali kama Mercedez Benz.

Ila pamoja na kuboresha muonekano wa nje uwe wa kisasa zaidi, dashboard zao bado zinakosa mvuto. Hazina nakshi ambazo gari nyingi za kileo wanaweka pale mbele.

View attachment 1630887

View attachment 1630888

View attachment 1630901
Wewe unatakiwa kuwekwa viboko haiwezekani gari iwe ya kifahari iwe na dash board mbaya, wewe viboko vinakuhusu
 
FisadiKuu

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
7,060
2,000
Audi wako vizuri kwa interior quality lkn pia hiyo picha ni ya Audi S8, hiyo ni sport version kwa maana nyingine top end Audi hivyo ni bora pia ungetafuta picha ya Mercedes S Class AMG au BMW Alpina b7 halafu ndiyo mlinganishe, picha ya mleta Mada ya kwanza ni Mercedes C Class tena ya zamani, ...
images (5).jpeg

images (6).jpeg
 
Tuttyfruity

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
2,432
2,000
Kuna model za BMW zipo chini sana yan ukipita rough road sijui itakuaje
 
Attachments

  • 67E5F916-4030-4C30-9B49-558320112BA5.jpeg
    File size
    28.3 KB
    Views
    0

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,017
2,000
Aaahh wewe! Inategemea na model. Hebu weka Dashboard ya BMW X7 au ya Marcedes Benz GLE 450 uone vitu!
Mkuu, kwa maoni yangu dashboard ili ivutie inabidi kwanza iwe pana kwa urefu. Dashboard nyingi za Mercedes ni kama nyembamba hivi.

Hivyo hivyo kwa exterior, kwangu gari zuri, front na nyuma lazima liwe na upana fulani kwa urefu ingawa kwenye hilo Mercedes na BMW hawana tatizo hilo exterior.
 
Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,017
2,000
Kuna model za BMW zipo chini sana yan ukipita rough road sijui itakuaje
Kuna magari kama haya kuyatumia Bongo hauwezi kuyaenjoy sana. Kwanza foleni, pili kama unavyosema barabara mbovu, tatu hata ukienda safari ndefu ambazo unaweza kuenjoy speed kali, traffic na tochi zao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom