Tutafika tu huko mkuu kama leo tunagusa kioo na maandishi yanatokea basi hapo sio mbali.Huko hakuna ngombe na punda wanaokula majani pembezoni mwa barabara
Artificial Intelligence, hayo magari Yana uwezo mkubwa wa kugundua hatari mbalimbaliHizi barabara zetu za Kwa mtogole-kwa tumbo itakuaje?
Vintage hata ulaya zipiTulieni aisee bado tunatumia Scania 113.
Hybrid cars tu bongo zinatushinda,acha hata EV.Hizo zenye mambo za AI sio leo.Vintage hata ulaya zipi
Hamna raha ya kuendesha machinw tena.. mambo yanakuwa mepesi mepesi sanaKwa wapenzi wa magari makubwa, teknolojia na Mambo yajayo.
Hebu ioneni hii Mercedes Benz truck itakayoingia rasmi sokoni mwaka 2025.
View attachment 1647187
Kuna Fiat zile za zamani, mkasi chini mkasi juuHamna raha ya kuendesha machinw tena.. mambo yanakuwa mepesi mepesi sana
barabara zimetoboka na mvua hivi uache usukani gari itakuwa inachana matairi hadi ukomeHizi barabara zetu za Kwa mtogole-kwa tumbo itakuaje?
Tutayaona tu hata kwenye runingaDuh tutaishia kukomaa na mafuso na mascania ya 1978
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us