benki ya dunia

  1. J

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Changamoto za Utawala bora kwenye Nchi zinazoendelea

    Kuchelewa kwa maamuzi ya Kimahakama Kuharamishwa kwa shughuli za Kisiasa Kutokuwa na Ushirikiano kati ya Asasi za Kiraia na Serikali
  2. U

    JamiiForums Tanzania Maryam Salim ateuliwa kuwa Meneja wa Benki ya Dunia nchini Cambodia

    Wadau wa JF Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benki ya Dunia (World Bank) imefanya uteuzi wa Meneja wake Nchini Cambodia Aliyeteuliwa ni Bi Maryamu Salim ambaye ni Mtanzania mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 20 kwenye sekta ya fedha duniani Kabla ya uteuzi huo Bi...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

    Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni 1.017 (sawa na shilingi trilioni 2.3391) kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yajizatiti kusaidia nchi masikini kupata chanjo

    Benki ya Dunia (WB) imesema inasaidia nchi zinazoendelea katika zoezi zima la kupata na kutoa chanjo ya COVID19 Pia itasaidia kuimarisha mifumo ya utoaji chanjo na kuhakikisha utoaji chanjo kwa watu walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi Wamesisitiza kuwa hakuna atakayebaki salama...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Hali ya Uchumi Tanzania: Benki ya Dunia yapendekeza mfumo wa ncha 3 kupambana na COVID-19 na Mporomoko wa Uchumi

    Leo Machi 3, 2021 Benki ya Dunia inatoa Ripoti yake ya uchambuzi huru wa hali ya kiuchumi ya Tanzania ikiwa ni toleo la 15. Jiunge nasi tukikuletea taarifa mubashara. LIVE: YouTube: Facebook: Salaam za ufunguzi zilizotolewa na Mara K. Warwick, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za...
  6. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania

    Benki ya Dunia inatarajia kufanya uzinduzi wa Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania “Tanzania Economic Update” kesho tarehe 3 Machi, 2021. Ripoti hii ya uchambuzi huru wa Benki ya Dunia inaangazia changamoto, mafanikio ya kiuchumi, hali ya umasikini, vipato, rasilimali watu...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya dunia yaipa Ghana fedha zaidi ili kununua chanjo za covid19

    Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake Awali WB ilijiatiti...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kutoa dola za Kimarekani Mil 425, kuboresha Elimu ya Juu Tanzania ili kuleta Mabadiliko ya Kiuchumi

    Salaam Wakuu, Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Benki ya Dunia, Kenya ina electricity coverage mara dufu ya Tanzania

    Kuna Malazy waliokuwa wanaposti hapa matamshi ya waziri wa kawi wa Tanzania Dr. Medard Kalemani akisema kuwa TZ ndio ina highest electricity coverage in Africa . Walitaka kutuaminisha kuwa TZ ina higher access to electricity kushinda hata South Africa au Egypt. Niliambia mmoja anayeitwa Naton...
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya benki ya Dunia inaonesha Zimbabwe ina nafasi nzuri kwa mazingira ya uwekezaji kuliko Tanzania

  12. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!

    Huu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank. Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012. Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni...
  13. state agent

    JamiiForums Tanzania DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

    Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu. Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania lazima iwe makini maana linaelekea kutokuhimilika Chanzo: Mwananchi ==== Licha ya Serikali...
  14. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
  16. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Mkopo uliokwama Benki ya Dunia watoka, sababu za kukwama zatajwa

    Benki ya Dunia (WB) hatimaye jana ilifikia muafaka na Serikali kutoa mkopo wa Dola500 milioni (Sh1.2 trilioni) kwa ajili ya kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania. Benki ya Dunia ilichelewa kutoa fedha hizo kufuatia maombi ya baadhi ya wanasiasa wa upinzani na asasi za kiraia waliokuwa...
  17. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Kutolewa kwa Mkopo wa Benki ya Dunia kwa Tanzania: Marekani yaeleza msimamo wake

    Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa. Soma waraka wao huu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wahakikishiwa uwepo wa akiba ya kutosha ya chakula, Waziri Hamad aitaka BOT na WB kusaidia uchumi

    Waziri Amina wa SMZ amesema Zanzibar ina akiba ya kutosha ya chakula ukiwemo mchele na sukari na kwamba hata sasa kuna meli yenye tani 600 za mchele bandarini na ameelekeza mchele huo utolewe haraka. Hivyo amewataka wananchi kutokuwa na hofu ya upungufu wa chakula katika kipindi hiki cha...
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia inatarajiwa kuidhinisha mkopo wa $500M kwa Tanzania baada ya Tanzania kutoa utetezi wake

    Bak ya Dunia inatarajia kuidhinisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola za kimarekani millioni mia tano ($500M) sawa na pesa za kitanzania Trillion 1.3 ambao ulisitishwa hapo mwezi January 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kuingilia kati. Hayo yamejiri baada ya serikali ya Tanzania kwenda...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Zaidi ya dola milioni 680 zimewekwa na watanzania katika mabenki ya kigeni kutokana na kuongezeka kwa mikopo na misaada kutoka nje

    Ni Zitto akinukuu utafiti wa wataalamu wa Benki ya Dunia kupitia twitter: Utafiti wa Wataalamu wa Benki ya Dunia (World Bank Chief Economist) umeonyesha kuwa zaidi ya Dola za Marekani 680 milioni zimewekwa kwenye Benki za kigeni na Watanzania kutokana na kuongezeka kwa misaada na mikopo kutoka...
Back
Top Bottom