bendera

  1. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta

    Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania. Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya nchi kimataifa na kulinda biashara ya mafuta hapa nchini. --- Iran has seized two oil tankers...
  2. voicer

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole jitokeze sasa tukuunge mkono kuwakataa wahuni

    Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025! CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia! Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
  3. Etwege

    JamiiForums Tanzania Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

    Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje? Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

    Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua? Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Mama Mrusi ajighubika bendera ya Ukraine na kusimama Red Square, eneo la kihistoria, Urusi

    Kaamua kujitoa mhanga maana watakachomfanyia hawa mafia wa Urusi, tayari amekamatwa.... PHOTO FROM OVD-INFO TELEGRAM CHANNEL A woman was detained on Red Square in Moscow for joining a rally while wrapped in a Ukrainian flag. Source: Russian human rights media project OVD-Info with...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Rais kwenye kikao cha CCM imefuata nini?

    Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao. Mbali ya hayo kwenye kikao cha...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Prophet Sanga 2022: Niliona mawe yenye moto,nikaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, ikakaa, tuombe

    "Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga. "Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KWELI Kwa nchi za jirani na Tanzania Hakuna bendera ya nchi hizo iliyowahi kuwekwa jengo la Burj Khalifa baada ya Tanzania

    Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo. Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
  10. Zacht

    JamiiForums Tanzania Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kalenga: Bendera zote za Chadema kata ya Ifunda zang'olewa ili kumpisha Chongolo

    Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione. Bado haijafahamika kama...
  12. T

    JamiiForums Tanzania CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

    CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini. Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio, ni kutudharau Watanzania, sio kila mtu aweza kuwa kiongozi, Mungu ametupa vipawa tofauti...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mtanzania apeperusha vema bendera ya Taifa kwenye Boston Marathon. Ashika nafasi ya 2

    Mtanzania Gabriel Geay, ameweka historia kwa kushika nafasi ya pili katika mbio za Boston (Boston Marathon) zilizofanyika kwa mara ya 127 mwaka huu huko Boston, Marekani Geay alifanikiwa kumaliza mbio baada ya saa 2:06:04 akimaliza nyuma ya kinara, Evans Chebet kutoka Kenya aliyekimbia mbio...
  14. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni ruksa kuibadili?

    Jana Jumamosi 15/04/2023 Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar akizindua kitabu cha taarifa ya Sensa iliyopita, kwenye uzinduzi huo walikuwepo wananchi ukumbini ambao walikuwa wakipepea bendera za taifa, kitu ambacho sikuelewa ni hizo bendera za taifa katikati kuwa na picha ya rais mama Samia! Bendera...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Finland kusimikwa leo nje ya ofisi za NATO

    Putin aliivamia Ukraine na kuanza kuiba ardhi yao kama njia ya kuwaadhibu kwenye mipango yao ya kutaka kujiunga NATO, sasa ni rasmi amepata ujirani wa NATO utakaokatiza mpaka mrefu takriban kilomita 1,340 km, yaani mithili ya Dar hadi unapitiliza Kigoma au Mwanza. Huyo Putin aliwahi kuwatisha...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Bendera ya CHADEMA juu Mlima Kilimanjaro. Act wazalendo muone wivu

    CHADEMA ipo juu. Zitto na wapambe wako mtabakia midomo juu.
  17. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Boti za Azam ni nzuri kwa huduma, wabadilishe na bendera

    Jana nimebahatika kufika visiwani kwa tamasha la idhaa za Kiswahili. Azam ni wazuri kwa huduma hongera sana. Kitu moja sijapenda bendera ya taifa imechakaa sana . Nendeni GPSA zipo zinauzwa. Bendera iheshimiwe hii inawakilisha mahali palipo na giza kama mwenge wetu tunu ya Taifa
  18. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Njano, Nyekundu na Kijani Kwenye Bendera

    Inawezekan baadhi yetu hatujawahi kutambua kwamba kuna nchi nyingi sana za kiafrika hutumia rangi hizi za nyano, nyekundu na kijani kwenye bendera zao. Nimeweza kuweka mifano michache hapa. Ironically rangi hizo pia ndizo zinaztumiwa na wafuasi wa Reggae. Je, kuna aliyewahi kujiuliza kwanini...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Singida: Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayohusishwa na LGBTIQA+

    Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+. Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya? Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital? Nini maoni yako msomaji. ===== UPDATES : Bendera imeondolewa
  20. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali sasa bendera inapepea

    Kudos
Back
Top Bottom