bendera

  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Yanahitajika maombolezo ya kitaifa na bendera zishushwe nusu mlingoti

    Baada ya kutazama video kadhaa itoshe kusema mauaji haya yaliyotokea ni makubwa mno! mioyo ya watanzania imejeruhika mno! ni mtu mwenye roho ngumu sana pekee, anayeweza kuona ni hali ya kawaida, wengi wanajaribu kulazimisha kusahau lakini bado mioyo inavuja damu, Vyombo vya habari vinajaribu...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bendera ipepee nusu mlingo kuwaenzi waliouawa kwenye maandamano

    Waliouawa ni watu, wanastahili heshima. Kama Taifa tukubali makosa, bendera ipepee nusu mlingoti kuenzi ndugu zetu. Wapo wanaojustfy vifo vya hawa ndugu zetu. Wengine wakisema walikuwa vibaka nk. Niwakumbushe, Morogoro watu walienda kuchukua mafuta na tulihuzunika pamoja bila kujali...
  3. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maombi ya kushika Bendera ya Tanzania ili kuiombea taifa kuelekea MO29

    Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29. Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29? Mao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni shughuli pevu kuwakwepa Israel kwenye teknolojia. Tazama jinsi bendera ya Israel ilivyofichwa kwenye CHATGPT

    Hata wewe unaweza kuproove. 1. Tumia app ya kuedit picha kama Photoshop, unaweza tumia ya online photopea.com 2. Download logo ya chatgpt 3. weka logo 2 za Chat GPT ( Duplicate ) 4. Logo ya kulia ipindue juu kwenda chini (Flip Vertical) Muonekano mpya 5. unganisha...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Napendekeza taifa litumie bendera kama taswira yake badala ya rais tena wengine mafisadi na machawa

    Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa. Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil Je wewe unaonaje na kusemaje? Nafikiri kimya kimya.
  6. Noel france

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika. Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU. Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie. Amina
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

    Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM? Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao! Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majimbo mawili ambayo washindi wapili ni uhakika watarudi kuwa ndio wapeperusha bendera ya ccm

    Jimbo la iringa mjini mshindi ni Fadhili Ngajiro kwa kura 1899 na wa pili ni Moses Ambindwile kwa kura 1523. ANACHUKULIWA MOSES, fadhili kagombea zaidi ya mara mbili akakosa, leo kaongoza lakini anaemfuata ni mgeni kabisa chamani na siasa za Iringa mjini lakini amemkaribia mwenyekiti wa jumuiya...
  9. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Israel imefanya pigo kubwa katika sehemu nyeti za IRGC.Akiwa amelegea, sasa ni wakati wa wana Iran wamrudishe simba wa uajemi katika bendera yao.

    UTAPELI WA ITIKADI KALI: IRAN YA UKWELI: Majenerali chali Nyuklia chali Mifumo ya kifedha chali Mitambo ya silaha chali Wanasayansi wa nyuklia chali Trust ya wananchi chalii
  10. U

    JamiiForums Tanzania Taliban waandamana wabeba bendera ya Palestrina burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu

    Wadau hamjamboni nyote? Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban. Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa...
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajima ameweka bendera ya Israel Kanisani kwake

    Sasa Ile bendera ya Israel inaonyesha nini kuhusu imani yake Gwajima.? Waisraeli anadhani wana Dini gani? Askofu Gwajima anataka aonekane kwamba yeye peke yake ndiye mtetezi wa wanyonge. Hao Waisraeli ndio wanaishambulia Gaza sasa hivi? Nani anapenda kuona Wagaza wanashambuliwa namna ile...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Moshi Mweupe Wafuka Juu Ya Bendera Ya Tanzania Geneva Uswisi. Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea

    Ndugu zangu Watanzania, Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika. Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

    Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu Tizama video hii
  14. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Simbu kupeperesha bendera ya Tanzania Boston Marathon, Marekani

    Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya 'bostonmarathon' huko Marekani, tarehe 21 Aprili Mwaka Huu, akiwa na muda wake bora wa 2:04:38, huko anakwenda kupambana na miamba mingine kutoka Kenya na Ethiopia kwenye mchezo wa Riadha Duniani.
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania MDAU: Kwanini ni nadra kuona watu wakipeperusha bendera ya Palestina kwenye nchi za Uarabuni tofauti na wanavyofanya Ulaya au Marekani?

    Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya Kiislamu kama Dubai (UAE), Saudi Arabia, Qatar, na kwingineko, lakini wanafanya hivyo wakiwa nchi...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wanaandamana kupinga kuondolewa kwa wahamiaji haramu Marekani huku wakipeperusha bendera za Mexico, Honduras, na nchi zinginezo

    Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu. Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu. Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino. Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA. Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
  17. Snipes

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Marekani pekee ndio itakayoruhusiwa kupepea

    Serikali ya Donald Trump imetambulisha sera ya bendera moja, ambapo bendera ya Marekani pekee ndiyo itakayoruhusiwa kupepea katika vituo vyote vya Serikali ndani na nje ya nchi zikiwemo ofisi za balozi. Bendera nyingine zitakazoruhusiwa kwa maadhimisho ya siku maalumu ni ya mfungwa wa vita na...
  18. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hii bendera imekuwa chapa ya kitambulisho cha wanaochukia uyahudi, ukristo na umagharibi

  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Gaidi lililokua na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu lafanya ugaidi Marekani

    Gaidi lenyewe linaitwa Shamsud-Din Jabbar limegonga watu na gari huku likiwa na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu, na humo kwenye gari kulikua na mabomu na silaha zingine. Aisei Marekani wavune tu walichokipanda kwa kuruhusu haya mazombi yahamie huko na kuanza kuzaliana. Mimi kwa kweli hata...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inavyosemekana si tu kuwa mwenyekiti, mwamba ndiye atakayepeperusha bendera ya kugombea urais

    Habari za chini chini ni kuwa wajumbe wengi wanakubaliana kwamba hakuna mwingine atakayeweza kupeperusha bendera ya kuwania Urais zaidi ya mwamba. Hii inatokana na ukomavu wa kisiasa anaozidi kuuonyesha. Maridhiano ni process.
Back
Top Bottom