bendera

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Meli kupeperusha bendera ya nchi nyingine

    Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile bendera ni nchi iliyotengenezwa au mmiliki ni wa huko..na hata ikiwa tuseme imesajiliwa huko inakuaje...
  2. October 2pm

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani apeperushe bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya Urais 2025?

    Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Je, Yanga ni CCM na SIMBA ni CHADEMA? Ninashawishika kuamini hivyo kwa rangi za bendera zao

    Nimetafakari na kuona mwelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kupaka rangi za bendera inaweza kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya magari ya serikali

    Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kama ulipeperusha bendera ya hesbu na we unaweza kujiita critical thinker? Aaaaa bwana tusitaniane!!¡

    Hesabu ndo inafunza kufikiri sawasawa. Wale wote wanaofaulu hesabu vizuri lazima akili iwe smart sana. Sasa kuna wale waliosoma history, kiswahili etc eti nao wanajiita critical thinkers wakati waliowengi walipeperusha bendera ya hesabu
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Biteko: Msing'oe bendera ya chama chochote. Bendera hazipigi kura

    Msing'oe bendera ya chama chochote, bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika mkutano wa hadhara jimboni bukombe mkoani Geita.
  7. SUBMAC

    JamiiForums Tanzania Itifaki hii ya bendera imekaaje?

    Habarini! Kama tujuavyo, Rais Samia yumo nchini Korea ya Kusini akiendelea na ziara take ya kikazi. Suala moja nimeshindwa kuling’amua kiasi cha kuhitaji msaada wa ufafanuzi na kueleweshwa kuhusu protokali ya bendera ya nchi pindi Rais wetu awapo ziarani katika nchi nyingine. Nimekuwa nikiona...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Israel imeuchukua mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na Gaza, Mizigo na watu kuvushwa chini ya uangalizi na idhini ya Israel

    Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri. Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Bendera za Tanganyika zinapatikana wapi?

    Zinaweza kupatikana wapi? Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k. Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji! Tutazipata wapi?
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Wapinzani wamekubaliana kuunganisha nguvu uchaguzi mkuu ujao, nani apeperushe bendera yao Urais 2025

    Kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa nchini, ni dhahiri mgombea urais wa chama Tawala yuko bayana na anafahamika kwa wanainchi na waTanzania wote kwa ujumla, ni suala la muda tu waamue... Kizungumkuti na kasumba iko upinzani, kwa mfano tuliona majuzi kabla ya uchaguzi hapo DRC, wapinzani mara...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ondoeni pembe mbili na RANGI nyekundu katika bendera yenu, mtafanikiwa

    Salaam, shalom, Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo. Mara kadhaa, viongozi wa CHADEMA wamewahi kunukuliwa wakidai, RANGI nyekundu katika bendera Yao, ni...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump atoa biblia yake. Ina bendera na katiba ya US pamoja na mwimbaji ampendae

    Huku uchaguzi wa Marekani ukikaribia na Donald Trump akikabiliwa na matatizo mengi kisiasa pamoja na ukata wa kifedha, ameona achapishe biblia yake ya kizalendo ambayo juu imepambwa na bendera ya Marekani na kuandikwa Mungu ibariki Marekani. Ndani ya biblia hiyo Trump ameweka mistari ya katiba...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rangi za Bendera ya Taifa zifutwe katika sakafu za ndani ya Bunge

    Salaam,Shalom. Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU. Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI hizo za Bendera ya Taifa naziona katika sakafu za ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. aise

    JamiiForums Tanzania Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    Habari za jioni wakuu! Niko polisi hapa kituo ambacho kipo karibu na soko! Imepigwa filimbi na watu wote wamesimama mpaka jamaa kamaliza kushusha bendera akapiga tena filimbi ndiyo watu wakaendelea na mishe! Hivi huu si utumwa? Maana yake nini kwa kizazi cha leo? Mimi yote hayo yakiendelea...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Uhamiaji Manyara amejibu hoja Kisomi; ni kweli katika macho ya sheria gari na bendera siyo mali ya CCM; CHADEMA kuweni makini na hii move

    Kilichojibiwa na Idara ya Uhamiaji ndicho kinachoitwa majibu katika macho ya sheria. Si kila bendera ya kijani ni bendera ya CCM na siyo kila bendera ya kijani yenye nembo ya CCM siyo mali ya CCM. Kamishna wa Uhamiaji Manyara amepewa nguvu ya kufanya uchunguzi kwa mijubu wa sheria ya Uhamiaji...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa somo hili wanasiasa wote Tanzania bado ni kizazi cha wapigania uhuru-uhuru wa bendera

    https://www.youtube.com/watch?v=pCEYJFpwydw
  17. T

    JamiiForums Tanzania Papa Fransisco anaisihi Ukraine ipandishe bendera nyeupe

    MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani. _______________ Pope Francis: Ukraine should have the courage...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bendera kupepea nusu mlingoti upande Moja wa Muungano inawezekana?

    Kifungu Cha 8(1) Cha Leaders Funeral Act No. 10 of 2002 Zanzibar kinasema Rais wa Zanzibar atatangaza kifo Cha kiongozi mzanzibar na Bendera kupepea nusu mlingoti. Iwapo Tanzania hawataunga mkono au kuheshimu tangazo la kifo Cha kiongozi wa Zanzibar huenda bendera ikapepea nusu mlingoti upande...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nini Tafasiri ya kupandisha Bendera Asubuhi na kushusha saa 12 jioni?

    GreatThinkers Naombeni nimpe muongozo. Mtu mzito akifa bendera zinapepea nusu mlingoti. Lakini katika hali ya kawaida sa12 lazima bendera zishushwe why? Ni utamaduni ama kitu gani?
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Stars wana mechi na Zanzibar Herroes, kwanini Kilimajaro Stars wanatumia bendera ya Tanzania?

    Wadau wenye uelewa, mnaweza kufafanua? Kilimanjaro Stars hawana bendera yao? Naona Zanzibar Herroes wana bender yao
Back
Top Bottom