bei ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Trump: Kuongezeka kwa bei ya mafuta duniani ni faida kwa Marekani

    Rais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani. ============== IRAN WILL BE STOPPED! The United States is the largest Oil Producer in the World, by far, so when oil prices go up, we make a lot of money...
  2. Waufukweni

    Bei ya Mafuta yapanda katika bandari zote kuanzia Machi 4, 2026

    Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei zaidi ikilinganishwa na...
  3. ngara23

    EWURA mnasubiri nini kupandisha bei ya mafuta, hamuoni vita huko Iran?

    Najua ndani ya week hii EWURA hamtaniangusha Irani Kuna vita, Iran imeshbuliwa na Israel na USA, uchumi wa Dunia unayumba EWURA mna sababu za msingi za kupandisha bei ya petroleum na diesel fuel ⛽ Nitafurahi mno
  4. Nyani Ngabu

    Duh! Bei ya mafuta yapanda nchini Marekani!

    Safari hii yawezekana kabisa kuwa Trump kayakanyaga. Hii vita inaanza kuonekana kwenda vile labda ambavyo hawakutarajia. Tayari wanajeshi wa Marekani washakufa na huenda wakaendelea kufa. Marekani ishapoteza ndege kadhaa. Wao Marekani wanadai zimetunguliwa na Kuwait kwa bahati mbaya lakini...
  5. R

    Mpango wa Trump kuchukua mafuta Venezuela yamkasirisha China, bei imeshuka

    Bei ya mafuta duniani ilishuka baada ya taarifa kwamba Marekani imefikia makubaliano na Venezuela ili kupokea hadi dola bilioni 2 za mafuta yaliyokuwa yakipelekwa China, hatua iliyosababisha mkanganyiko wa kisiasa na uchumi kwenye soko la nishati. Rais Donald Trump alitangaza kwamba Marekani...
  6. SINGULARITY

    Vitisho vya kufunga Straight Hormuz vikitekelezwa tunaweza kufa kwa Kiu ya Mafuta

    Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu. Sasa, kuna bwana anyekaa huko kwenye chanzo cha mto aliweka bayana kabisa kuwa ataufunga mto kama...
  7. stan john

    Bei ya mafuta ya kula itakuaje Baada ya Israel kuishambulia iran

    Habari, Baada ya Israel kuishambulia iran Leo usiku ,Bei ya mafuta ya kula itapanda au itashuka ????
  8. Vincenzo Jr

    Bei ya mafuta imeshuka

    https://www.ewura.go.tz/uploads/documents/en-1746561549-Cap%20Prices%20for%20May%202025%20-%20English.pdf Petrol ilikua Tsh 3100 sasa ni 2947 Wakati diesel ilikua 2934 sasa ni 2868 per Litre
  9. K

    Kama shilingi yetu ni himilivu ni kwanini kila mara bei ya mafuta inapanda?

    Kila mara tunaelezwa kuwa shillingi yetu ni HIMILIVU na inafanya vizuri. Kila Jumatano ya kwanza ya mwezi Serikali inatangaza bei mpya ya mafuta na tunaelezwa kuwa bei ya mafuta huko ughaibuni imepungua. Tuelezwe na Serikaali ni kwa nini sasa kila mara bei ya mafuta inapanda?.
  10. Waufukweni

    Bei ya Mafuta yashuka mwezi Novemba, EWURA yatahadharisha wauzaji

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi Novemba 2024, ikilinganishwa na bei za mwezi Oktoba. Kwa mujibu wa EWURA, bei ya petroli kwa lita moja kwa bandari ya Dar es Salaam imepungua kutoka Shilingi 3,011...
  11. Waufukweni

    Nchi 10 za Afrika zenye Bei nafuu ya Mafuta Oktoba 2024, Tanzania haipo!

    Baadhi ya nchi za Afrika zinaongoza kwa kuwa na bei nafuu za mafuta, hali inayosaidia kupunguza gharama za maisha na kutoa afueni kwa wananchi dhidi ya changamoto za kiuchumi. Licha ya changamoto za kimataifa na kikanda, nchi hizi zimefanikiwa kudumisha bei ya chini ya mafuta, jambo ambalo...
  12. M

    Petroli na dizeli zashuka bei soko la dunia

    Taarifa iliyotolewa na mamlaka ya udhibitui wa huduma za nishati na maji (EWURA) inaonesha kwanzia leo September 4, 2024 zimeshuka katika mikoa yote nchini. sababu za kushuka kwa bei yaPetroli na dizeli imetajwa kua ni kushuka kwa gharama za soko la dunia. Taarifa inasema kwanzia leo Septemba...
  13. Chawa wa Zamani

    Mafuta yamepanda, Media na watanzania kimya cha kaburi, wapo bize na Yombo Dovya Ajabu!

    Mpk Sasa nimefuatilia vyombo vya habar ving sana sio Ayo tv, sio kitenge tv...kimya Cha kaburi! n vichache mno vimeweza kutoa taarifa hii ikiwemo Jamii forum.. Hizi taarifa n tokea Jana usiku zimetoka ila kinachosikitisha Mambo haya hayana airtime Tanzania sio kwenye Media sio Kwa watanzania...
  14. K

    Kwanini bei ya mafuta kwa Tanzania siyo rafiki?

    Kila Jumatano ya mwanzo wa mwezi EWURA wanatangaza bei mpya ya nishati ya mafuta. Kwa asilimia kubwa kila wakitangaza ni ongezeko tu la bei na siyo punguzo. Ukichukua mfano wa nchi zote za jirani zetu bei zao ni pungufu kuliko ya Tanzania. Hivi Tanzania tuna tatizo gani na tunawabebesha...
  15. K

    Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa. Je, Tanzania kulikoni?

    Leo Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa na fedha yao imeimarika kutoka Ke 160 kwa 1 usd na kupanda kwa Ke 130 kwa 1 usd lakini kwa Tanzania kila kukicha bei ya mafuta inazidi kupaa na fedha yetu inazidi kushuka. Je, kulikoni? --- The shilling’s strong rally against the dollar has...
  16. Determinantor

    Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃. Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
  17. SNAP J

    Serikali ya Samia imejipangaje kukabiliana na mathara ya mfumuko wa bei ya mafuta ili yasije kujirudia yaliyotokea kipindi cha Awamu ya kwanza?

    Kwa wale wahenga nafikiri wote tutakuwa tunakumbuka kilichotokea Mashariki ya Kati tarehe 7 Oktoba mwaka 1973 katika vita iliyojulikana kana Yom Kippur war auvita ya Oktoba ambapo Egypt, Syria, na mataifa mengine ya kiarabu walipoamua kuivamia Israeli kwa kushtukiza. Mgogoro huo ulikuwa na...
  18. I

    Kwanini bei ya mafuta isiwe moja nchi nzima?

    Zamani bei za bidhaa zote zilizopangwa na Serikali zilikuwa zinafanana nchi nzima. Mtu aliyepo Kilombero alinunua sukari kwa bei ile ile na mtu aliyepo Tandahimba, bei ya petroli Dar ilikuwa sawa na Kigoma. Sasa wasomi wetu wamepatwa na nini kutofautisha bei ndani ya nchi moja? Kwamba sisi watu...
  19. P

    Nawezaje kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta? Ikiwa mimi natumia gari?

    Leo tena Tanzania imeshuhudia kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na kerozini. Haya ni maumizi kwa wananchi na serikali haina namna ya kufanya kuleta aueni kwa wananchi. Bei ya mafuta kote duniani haijatulia kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine. Swali la kujiuliza ikiwa mishe zako...
  20. BARD AI

    Petroli Bei Juu Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), iimetangaza bei kikomo za bidhaa za Mafuta zilizoanza kutumika leo Oktoba 4, 2023 ambapo kwa Dar es Salaam Petroli ni Tsh. 3,281, Dizeli 3,448 na Mafuta ya Taa Tsh. 2,943 ikiwa na ongezeko la Tsh. 68 kwa kila Lita. Tanga, Petroli ni Tsh...
Back
Top Bottom