bbc

  1. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania BBC: Kampuni ya Shell bado inanunua mafuta Urusi

  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili ufanisi wenu katika lugha umepungua mno

    Yes, pasi na shaka ni wazi kabisa BBC swahili siku hizi ufanisi wenu umepungua mnooo yaani mna kiswahili kibovu mnooo yaani watangazaji wenu baadhi wana Kiswahili cha muundo wa english, yaani matumizi ya ngeli ni zero yaani in short kiswahili sio sanifu hata page zenu wanaoandika yaani hicho...
  3. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

    Wakati maasi ya Prigozhin yalionekana kuipata Kremlin kwa ghafla mashirika ya kijasusi ya Marekani yalikuwa tayari yamepata ishara kwamba alikuwa akipanga kuchukua hatua na yalikuwa yamemjulisha Rais Biden pamoja na viongozi wakuu wa bunge mapema wiki hii, vyombo vya habari vya Marekani...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waridi wa BBC Suzana Michael: 90% ya Wadada wanaoenda kutafuta Maisha Ulaya, Marekani na Asia huishia kufanya Ukahaba

    "Nilipokuwa Mdada na kuona Maisha yangu hayaeleweki niliamua kupambana ili niende Nje ya nchi nikiamini huko ndiko kuna Maisha mazuri ila najuta kwani niliishia kuwa Kahaba ( Malaya ) kwa Miaka miwili hadi kuamua kurejea nchini Tanzania ambako nimegundua kama ukijipanga hapa kuna Maisha mazuri...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Idhaa ya Kiswahili ya BBC London 1991

    IDHAA YA KISWAHILI YA BBC 1991 Nimetanguliza picha ya Chama Omari Matata ambayo nimeipata kwenye Dira ya Dunia siku chache zilizopita. Ilikuwa kwenye kipindi cha Dira ya Dunia ambacho Salim Kikeke alituaga wasikilizaji wake kuwa anaondoka BBC baada ya utumishi wa miaka 20. Nilimjua Chama...
  6. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waihiga Mwaura kuwa Mrithi wa Salim Kikeke BBC

    Baada ya Salimu Kikeke kutangaza rasmi kustaafu kazi ya utangazaji pale BBC swali kubwa lilikua nani mrithi wake? Kutoka The Citizen Tv ya nchini Kenya hadi BBC ni ndugu Waihiga Mwaura(38) ambaye amehudumu The Citizen Tv kwa miaka kumi na nne(14) ndio anayeenda kuirithi nafasi ya Salim Kikeke.
  7. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo kutoka BBC

    Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania BBC: Special forces toka Marekani, Uingereza, na nchi za NATO wanapigana vita Ukraine, lakini wameshindwa kuikomboa Ukraine

    Documents zilizoliki za Pentagon zimeonesha kuwa wanajeshi wa vikosi maalumu toka Marekani, Uingereza, na nchi nyingine za NATO wapo uwanja wa vita Ukraine wakipigana na masecurity guards wa Urusi (wargner group). Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa kwa zaidi ya mwaka sasa vikosi hivyo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

    Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani: Ama kwa hakika shughuli ipo. Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri. Ya CAG nani hajayasikia?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania BBC waomba Radhi kwa Sauti iliyosikika ya Watu wakifanya Mapenzi wakati wa Matangazo ya Mpira jana Usiku

    Hakika ile Sauti iliyoingilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya BBC ya Mechi ya FA Cup jana ya Liverpool FC ya Watu wakitinduana (wakifanya) Mapenzi (Ngono) ilituathiri hadi na Sisi Wengine wapenda 'Mbunye' na Kulazimika kuacha kufuatilia Matangazo yao BBC na kuanza nasi kuwatafuta watakaopatikana...
  11. Execute

    JamiiForums Tanzania BBC wampa Messi tuzo yao ya mwaka huu 2022

    Messi anaendelea kunyakua kila tuzo inayopita mbele yake. BBC nao wamempatia ya mwaka huu. Ballon d'or ya nane iko njiani.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mbali na kukaa BBC miaka kibao! Naye hawezi kumshauri Rais? Watanzania na mkate!!? Mmh

    Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda, Kila unapogusa pa moto, Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza! Kipindi cha...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar

    Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania BBC: Urusi haitaruhusu tena meli za chakula kutoka Ukraine

    Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya. Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
  15. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya taarifa za BBC zinakera. Huenda ni mkakari mbaya wa waingereza

    Kwa wale wenye mazoea kusikiliza bbc kiswahili utagundua pamoja na taarifa sahihi ziko taarifa nyingine ni kwa malengo maalum. Kuna upendeleo dhidi kwa namna mambo ya kisiasa na kitamaduni wa nchi zinazoandamwa na uingereza na nchi za magharibi kwa ujumla. Pia mara nyingi zipo taarifa hazina...
  16. B

    JamiiForums Tanzania BBC English

    As I promised last time, today we want to see the difference btn BRING/GIVE a) BRING: This is used when something is not in hand of a person talking to. Eg. When you need drinking water you should say "Bring me some water, NOT, Give me some water. b) GIVE: This is used when something is in the...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kama una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe

    Kwa wiki hii km una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe. Kuanzia wiki ijayo nitakuwa naweka mada za KIINGEREZA zinazotamumetiza watu. usikose uhondo Jifunze KIINGEREZA hapa. E.g. people fail to differentiate the usage of "give and bring". They treat these lexical verbs as...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Somali Land zasitisha shughuli za BBC katika eneo hilo

    Mamlaka katika eneo hilo lililojitenga la Somalia, zimesitisha shughuli za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), likishutumu shirika hilo kwa kudhoofisha uaminifu wa taifa hilo. BBC ina mtandao wa wanahabari wanaofanya kazi kote Somalia ikiwemo katika eneo hilo pia Waziri wa Habari...
  19. Gama

    JamiiForums Tanzania BBC: Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine

    Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine CHANZO CHA PICHA, REUTERS Tarehe 24 Februari 2022, Urusi iliivamia Ukraine katika hatua iliyozidisha mzozo wake nan chi hiyo Jirani tangu kuanza kwa usahama mwaka wa 2014 Uvamizi huo ulisababisha mzozo mkubwa zaidi wa wakimbizi barani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    ''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 65 iliyopita. Idhaa mpya ikawa imezaliwa - Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Kambona alikuwa mwanafunzi kutoka Tanzania...
Back
Top Bottom