Messi anaendelea kunyakua kila tuzo inayopita mbele yake. BBC nao wamempatia ya mwaka huu. Ballon d'or ya nane iko njiani.
View attachment 2452712
Ni BBC ndio waligomea sherehe za ufunguzi na kwa sababu ya human rights abuseQatar kulikuwa na mgomo gani mkuu?