BBC Swahili ufanisi wenu katika lugha umepungua mno

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Yes, pasi na shaka ni wazi kabisa BBC swahili siku hizi ufanisi wenu umepungua mnooo yaani mna kiswahili kibovu mnooo yaani watangazaji wenu baadhi wana Kiswahili cha muundo wa english, yaani matumizi ya ngeli ni zero yaani in short kiswahili sio sanifu hata page zenu wanaoandika yaani hicho Kiswahili sio sanifu.

Screenshot_2023_0626_114316.jpg
 
Kuna wakati unawasikia wanasema:
Amefariki dunia badala ya Amefariki au Ameaga dunia.
Ameaga dunia ni mbinu/nahau.
Amefariki dunia ni nini?

Utasikia Amelala usingizi.
Kulala na.kusinzia ni sawa?

Ati Madawa ya kulevya.
Kwa nini isiwe Dawa za kulevya.

Yapo mengi.
 
usipoweka mtanzania, kiswahili hukiwezi. zuhura yunus, kikeke na charles hilary walifanya vyema. bbc wakitaka kiswahili kiwe bora, waajiri watanzania tu. wakenya wabaki kwenye idhaa ya kiingereza.
 
Kuna wakati unawasikia wanasema:
Amefariki dunia badala ya Amefariki au Ameaga dunia.
Ameaga dunia ni mbinu/nahau.
Amefariki dunia ni nini?

Utasikia Amelala usingizi.
Kulala na.kusinzia ni sawa?

Ati Madawa ya kulevya.
Kwa nini isiwe Dawa za kulevya.

Yapo mengi.
Au utasikia karibu katika "makala haya" badala ya "makala hii". Yani hawajali chochote na mshahara wanapokea.
 
hakuna mtu anayejua kizungu vizuri awastue BBC aisee, wakenya ujanja wao wooote, walete kwenye kiswahili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom