basi

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi baadhi ya watu walivyo kuwa slow hapa jukwaani, laiti kama ningefanya nao " kazi" enzi zangu za ushetani basi wengi wao wangekufa

    Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi. Section yangu ilikuwa udereva. Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio. Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kukiwasha, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani kama Mbatia ,Mnyika na Lissu wataunda Chama basi hiki ndicho kitakuwa Chama halisi cha Upinzani

    Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania . Lisu , Mbatia na Mnyika ni moja ya watu makini sana na wazalendo Tatizo hawana nguvu za kichama ...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

    Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40 ======================== Hamas negotiators have waived...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Dada kama jamaa yako anapiga deki 2024, basi mshikirie sana

    Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe". Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

    Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee. Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania DINI zimetugawa sana; Ikitokea Africa tukatawaliwa tena, basi tutasema ni mpango wa MUNGU

    Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu. Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU Unateseka...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Basi gani linaenda Johannesburg Afrika Kusini kutokea Dar es Salaam, Tanzania?

    Tafadhali mwenye taarifa anisaidie. Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach? Asanteni🙏
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

    Basi la Mwendokasi limeteketea kwa moto usiku huu eneo la Kibamba mkoani Dar es Salaam.
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kama ni lazima sana CCM iendelee kuongoza serikali na nchi hii by 2025, basi wazingatie ushauri huu kuhusu mgombea wao....

    1. Mimi natambua kuwa, kama hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba na kisheria comes 2025 General Election, uwezekano wa CCM kutumia uhuni kushinda uchaguzi tena ili kuendelea kuongoza serikali na nchi hii ni mkubwa.. Hata hivyo nina ushauri huu. Kwamba, msituletee mwanamke tena kwenye nafasi...
  10. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Mlisema January Makamba anahujumu TANESCO ameondoka basi muacheni yeye ni binadamu kama nyie

    Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba. Rais Samia...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hatuna deni na Magufuli, kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri

    Hatuna deni na huyu Mwamba🙏🏼 Kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri,Gone too soon Mwamba.
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

    Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana. Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona. Shaka yangu ni kuwa huenda wote...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kituo cha basi Magufuli hakijabadiliswa jina. Wafuasi wa CHADEMA walipotosha mitandaoni kwa nia ovu

  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Magufuli Terminal yabadilishwa jina

    Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/stendi-ya-mabasi-ya-magufuli-mbezi-luis-imabadilishwa-jina.2167906/
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwanasimba anayeishi Dar hataenda uwanjani kuisapoti timu basi huyo ni mnafiki

    Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho. Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda kuangalia mechi hiyo kesho. Nje ya matatizo ya uongozi ni wakati wa wawashabiki na wachezaji kuungana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Umejichanganya ukazaa kabla ya Kuolewa ukajifanya Mjanja basi imekula kwako maisha yako yote

    Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu. Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke. Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii. Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukikosa Goma la bure Kesho ( Leo ) Mkeshani kwa Mtume wao 'Cow Way' Tanganyika Packers basi una Nuksi ya Milele

    Ili ung'oe Goma la bure hakikisha unaandaa Tshs 1,000/ ya Ugali Dagaa na Tembele au 1,500/ ya Ubwabwa Maharage. Na baada ya Kung'oa hayo Magoma ambayo GENTAMYCINE kwa Uzoefu wangu tukuka huwa yana Gono na Kaswende huku Ugonjwa Sugu wa 1981 ukiwa Umeshawakomaa wahi upesi Duka lolote la Dawa na...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na Hukumu ya Kosa hili basi zamani sana ningekuwa natumikia Kifungo changu cha Maisha Segerea

    Hivi unajua usipompa pesa mkeo akavaa vizuri na akapendeza ni ukatili wa kiuchumi? Hii ndio kauli iliyotolewa na Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, alipozungumzia siku 16 za kupinga ukatili. Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba 11, 2023 huko...
  19. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Basi la Extra Luxury limekamatwa na mirungi 55kg

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro, limefanikiwa kukamata shehena ya dawa za kulenya aina ya mirungi ndani ya basi la Extra Luxuly lenye namba za usajili T643 DVL ikisafrishwa kutoka mkoani Arusha kwenda jijini Dar es salaam. Habari kutoka ofisi ya kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

    Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa. Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya. Hii siyo Ishara nzuri...
Back
Top Bottom