Kwa jinsi baadhi ya watu walivyo kuwa slow hapa jukwaani, laiti kama ningefanya nao " kazi" enzi zangu za ushetani basi wengi wao wangekufa

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi.

Section yangu ilikuwa udereva.

Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio.

Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kukiwasha, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila mtu awe ndani ya gari.

Ikizidi hata sekunde moja tu nawasha gari nasepa.

Kwa utaratibu huu niliwaacha " maafande" wengi sana almost zaidi ya 30 na wote waliuwawa kwa sababu walikuwa slow.

Leo nimeanzisha hapa Uzi kuhusu weupe wa wamarekani weusi, naona watu wana comment hoja ambazo zinaonyesha wapo very very slow yani hawawezi kuelewa kwa haraka hata hoja ndogo kabisa.

Aisee. Kibaya zaidi wengi wao wanajiita graduate.

You guys (slow learners) kama ningefanya " kazi" na ninyi enzi zangu za maisha ya kishetani basi ninyi nyote mngekuwa mmekufa. Ningewaacha na gari eneo la tukio na mngeishia kuuwawa na Raia wenye Hasira Kali..

Slow people are very boring.

Slow learners mnatakiwa kujua kwamba hata kazi ya ujambazi haiwahitaji.
 
Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kupiga tukio, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila mtu awe ndani ya gari.

🤣
 
Hv Likud ww si ndio ulisema humpendi mdogo wako kwasababu ana tabia za kina hamidu? (Mi na ww tunamjua hamidu ni nani)
Na hata kwenye harusi ya dogo ukaapa hutaenda...
 
Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi.

Section yangu ilikuwa udereva.

Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio.

Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kupiga tukio, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila mtu awe ndani ya gari.

Ikizidi hata sekunde moja tu nawasha gari nasepa.

Kwa utaratibu huu niliwaacha " maafande" wengi sana almost zaidi ya 30 na wote waliuwawa kwa sababu walikuwa slow.

Leo nimeanzisha hapa Uzi kuhusu weupe wa wamarekani weusi, naona watu wana comment hoja ambazo zinaonyesha wapo very very slow yani hawawezi kuelewa kwa haraka hata hoja ndogo kabisa.

Aisee. Kibaya zaidi wengi wao wanajiita graduate.

You guys (slow learners) kama ningefanya " kazi" na ninyi enzi zangu za maisha ya kishetani basi ninyi nyote mngekuwa mmekufa. Ningewaacha na gari eneo la tukio na mngeishia kuuwawa na Raia wenye Hasira Kali..

Slow people are very boring.

Slow learners mnatakiwa kujua kwamba hata kazi ya ujambazi haiwahitaji.
Wewe ni Steve??
 
Kama hujapata msg kwenye Uzi wangu then there is no hope to your future
Ww Joannah kakutoa jasho mpaka umemuanzishia thread..mm nimekuuliza tu ulikua unafanya uhalifu gani wakati ulikua huwapendi wahalifu..acha uongo hujawahi kufanya uhalifu..ulifanya na kina nani? Kama unakaa magomeni basi ulikua unachukua story za kina rama dodo unatuletea hapa
 
Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi.

Section yangu ilikuwa udereva.

Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio.

Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kukiwasha, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila mtu awe ndani ya gari.

Ikizidi hata sekunde moja tu nawasha gari nasepa.

Kwa utaratibu huu niliwaacha " maafande" wengi sana almost zaidi ya 30 na wote waliuwawa kwa sababu walikuwa slow.

Leo nimeanzisha hapa Uzi kuhusu weupe wa wamarekani weusi, naona watu wana comment hoja ambazo zinaonyesha wapo very very slow yani hawawezi kuelewa kwa haraka hata hoja ndogo kabisa.

Aisee. Kibaya zaidi wengi wao wanajiita graduate.

You guys (slow learners) kama ningefanya " kazi" na ninyi enzi zangu za maisha ya kishetani basi ninyi nyote mngekuwa mmekufa. Ningewaacha na gari eneo la tukio na mngeishia kuuwawa na Raia wenye Hasira Kali..

Slow people are very boring.

Slow learners mnatakiwa kujua kwamba hata kazi ya ujambazi haiwahitaji.
Gari ndo ungo au........ Ulikua unawaacha mkienda kuwanga.......... Ekskyuzi mi sloo lena
 
Back
Top Bottom