Watoto wenye umri wa miaka 5 kushuka chini hawatakiwi kuvaa barakoa
Hii ni kwa sababu ya usalama na uwezo wa mtoto kutumia barakoa ipasavyo bila msaada wa mtu mzima.
WHO na UNICEF wanashauri kwamba uamuzi wa kutumia barakoa kwa watoto wenye umri wa miaka 6-11 unapaswa kuzingatia mambo...
Ukiangalia watu wetu wengi hapa nyumbani barakoa wanayo moja kuna wakati anaivaa na wakati mwingine anaivua na kuiweka ama mfukoni au kwenye pochi.
Wale wanaotumia za " kujishonea wenyewe" ndio shida zaidi kwa sababu haifuliwi hadi week end.
Kwa utamaduni huu usitegemee watu hawa kuhoji...
Wafanyakazi wa afya katika mazingira ya kliniki
Mtu yeyote anayesubiri matokeo ya vipimo vya Korona au ambaye amekutwa na Virusi vya Korona.
Watu wanaomhudumia mtu anayeshukiwa au kuthibitishwa kuwa na Korona, nje ya vituo vya afya.
Barakoa za kitabibu pia zinapendekezwa kwa watu wafuatao...
Mataifa mengi ya Ulaya yameanza kuwashauri Raia wake kuvaa barakoa mbili ili kuongeza umadhubuti wa kukulinda dhidi ya maambukizi ya #CoronaVirus
Je, ni Wakati gani wa kuvaa barakoa mbili
Unapotembelea duka, duka la dawa, daktari au hospitali yoyote
Katika mkusanyiko kwenye bustani pamoja na...
Barakoa hufanya kazi ya kunasa matone yaliyo na virusi tunayotoa tunapoongea, kukohoa au kupiga chafya. Husaidia katika kujilinda wewe na wanaokuzunguka dhidi ya virusi
Ikiwa unaona barakoa inakukosesha amani usiache kuvaa bali badilisha aina tafuta nyingine mpaka utakapopata inayokufaa...
Miili yetu inafanana na magari yanayotumia mafuta ya petrol na diseli kutembea pole pole na kutembea haraka. Ili gari litembee lazima itafutwe namna mafuta na hewa ya oxygen vitakutana na cheche ya moto ili vilipuke na kutoa nishati itakayolitembeza gari. Hivyo ni lazima uwe na tank lenye...
Swali hili limetokana na kampeni ya mashaka inayofanywa na Viongozi wa serikali kuzipinga Barakoa zinazotoka mahali pengine bila hata chembe ya ushahidi kwamba zina matatizo.
Hapo Mwanzo msimamo wa Rais na serikali nzima ulikuwa Tanzania HAKUNA KORONA kwa hiyo hakuna haja ya kuvaa barakoa. Baada ya wananchi, wanaharakati na baadhi ya viongozi wa dini kuonyesha msimamo wao wa kuvaa barakoa, serikali ikaanza kubadilika, tukaanza kusikia Tanzania ina korona chache sana...
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona.
Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya...
Naona MSD wanahamasisha tununue barakoa za ndani lakini kimwonekano zinafanana na zile za majuu kuanzia size,rangi na kila kitu.
Najiuliza hizi barakoa zinazalishwa kwa malighafi za ndani au tunaagiza? Kama zinazalishwa ndani wamiliki wa kiwanda ni wazalendo wenzetu au ni ndugu zetu wa...
Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu
Ansbert Ngurumo | 21st February 2021
Nimemsikiza Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu.
Kwanza, Magufuli...
Wakuu,
Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini.
Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia Watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo.
Hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya kuhakiki...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana jukumu kubwa la kumuenzi Balozi John Kijazi kwa kutenda yale yote mema aliyokuwa akitenda.
Aidha, amesema jukumu jingine ni kuendelea kuiombea familia yake, hasa katika kipindi hiki kigumu.
Akitoa salamu za serikali kwenye mazishi ya Balozi...
Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa
Pitia video
Britannica
Sayansi huwa haikopeshi.
Ukiichezea inakuumbua, maana sayansi kama Mungu alivyo, sayansi ni UKWELI.
Hatuwezi kuudhibiti ukweli, hata uwe na nguvu kubwa sana ya kisiasa.
Tunajua kuwa kuna tatizo kubwa sasa hivi la vifo vinavyo sababishwa na changa moto ya kupua.
Wewe ita nimonia (pneumonia)...
Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.