barakoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Askari amlawiti kijana kwa kutovaa barakoa

    John Ouko askari Polisi wa Kenya anatuhumiwa kumlawiti kijana wa miaka 20 ambaye alimkamata kwa kosa la kutovaa barakoa. Kijana huyo aliripoti katika kituo cha polisi cha Langas kuwa alikamatwa lakini badala ya kupelekwa rumande askari huyo alimfunga pingu na kumpeleka nyumbani kwake ambapo ni...
  2. mzee wa mazabe

    Serikali idhibiti uuzwaji holela wa Barakoa nje ya Hospitali

    Nimepita pale KCMC barakoa zinauzwa kama nyanya pale getini, nimepita Benjamini Mkapa napo hivyo hivyo na sijajua kama na Mwanza pale Bugando hali ipo hivyo, hivi leo hii Serikali inafumbia macho wauza barakoa nje ya Hospitali halafu mnatafuta mitungi ya gesi, hivi mnajua ubora wa hizo barakoa...
  3. Dr Akili

    Wiki ijayo Uingereza itasitisha uvaaji barakoa wa lazima, social distancing nk: Maambukizi mapya ni 20,000+ kwa siku

    Tarehe 12 Julai 2021, Uingereza inatarajia kusitisha uvaaji wa barakoa wa lazima, social distancing, uzuiaji wa mikusanyiko mikubwa ya watu, lockdowns na vizuizi vingine vyote vilivyokuwa vimewekwa kukabiliana na janga hili la covid 19. Kiwango cha maambukizi Uingereza juzi tarehe 4 July...
  4. Analogia Malenga

    #COVID19 Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengiImage caption: Waziri Mkuu Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengi. Waziri mkuu, Boris Johnson, alisema alitarajia kupunguza sheria za Covid...
  5. B

    #COVID19 Corona: Bila Barakoa huingii stendi ya Magufuli

    Kuanzia Jumatatu bila kuvaa barakoa stendi ya Magufuli hakuingiliki tena. Hata hivyo inashangaza kwanini kuwataka wenye mabasi kuwa na sanitizers kwa ajili ya abiria. Kama ilivyo kwa barakoa, afya ya mtu ni wajibu wake mwenyewe. Hizi za kutwishana majukumu ya wengine ndiyo chanzo cha kupalilia...
  6. rushanju

    Huu utaratibu wa barakoa kwenye ndege unafurahisha

    Katika utaratibu wa kawaida huwezi kuingia kwenye ndege bila barakoa. Huu niutaratibu mzuri sana ambao tumeuzoea tu. Cha kuchekesha hapo ni kwamba baada ya kufika juu, abiria mneletewa chakula na barakoa zote zinavuliwa na maisha yanakuwa kama kawaida.
  7. J

    Dkt. Kigwangalla aenda kutibiwa Dodoma General hospital, ashangaa kukaguliwa barakoa getini

    Mbunge wa Nzega Kijijini Dkt. Kigwangalla amesema amekumbana na ukaguzi wa barakoa muda mchache uliopita pale geti kuu la Dodoma general hospital. Dkt. Kigwangalla amesema amefika hospitalini hapo kwa matibabu. Mungu ampe wepesi na uponyaji wa haraka. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  8. jingalao

    Ni upuuzi kujiaminisha na barakoa feki

    Ni upuuzi kwa Tanzania na dunia kujiaminisha na uvaaji wa barakoa ambazo kimsingi sio barakoa sahihi za kuzuia virusi vya Corona. Kwa mujibu wa wanasayansi barakoa inayoweza kumzuia kirusi wa corona ni barakoa ya aina ya N95 yaani yenye uwezo wa asilimia 95 kuzuia maambikizi. hivyo barakoa...
  9. Analogia Malenga

    Wakazi wa Dar wametakiwa kuvaa barakoa muda wote wakiwa kwenye msongamano

    Wananchi wote wa mkoa wa Dar es salaam wanapaswa kuwa wamevaa Barakoa muda wote hasa katika maeneo yenye msongamano, wanawe na maji tiririka, wakisikia dalili zozote zinazofanana na dalili za Covid 19 wawahi hospitalini Kufanya vipimo" Amos Makala ,Rc Dar es salaam ———- Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  10. beth

    #COVID19 Serikali yatoa angalizo maambukizi mapya ya Corona

    Serikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi kupata maambukizi ya ugonjwa huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika Uwanja wa...
  11. M

    #COVID19 London: Maelfu waandamana dhidi ya chanjo ya Corona, uvaaji wa barakoa na lockdown

    Upinzani dhidi ya chanjo ya corona ñi mkubwa mno huko nchi za magharibi japo serikali zao huwa hazitangazi. Angalia maelfu wanavyoandamana mjini London. Huko watu wengi wamechanjwa na madhara yake wameyashuhudià. Halafu hapa anatokea mtu na kudai hakuna madhara!
  12. JF Member

    Kwanini Wapinzani hawavai Barakoa?

    Naomba sababu, kwà nini Wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao? Miezi kadhaa iliyopita tuliona Wanaharakati na Wapinzani wakisisitiza sana watu wavae Barakoa. Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
  13. Miss Zomboko

    Wizara ya Afya yawataka Wananchi kurejesha Utaratibu wa kuvaa Barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  14. Miss Zomboko

    #COVID19 Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  15. eliakeem

    Sweden Hakuna cha Lockdown wala Barakoa: Lakini Hamna Hata Mmoja Anaye Wanyoshea Kidole

    Siyo WHO wala vyombo vya habari vya kimagharibi ambavyo vinawanyooshea kidole Sweden kwa hatua yake ya kupambana na uviko-19. Sweden imeamua kuto funga nchi, pia kutoshurutisha watu wake kuvaa barakoa. Lakini ajabu ya mtende siyo Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus wala BBC ambaye hata amediriki...
  16. rodian

    Ni dhambi kuvaa barakoa kwa kipindi hiki?

    Habari wakuu, Nadhani ni muda mrefu tangu nipost last thread. Nashukuru Mungu ni mzima wa afya na kutokana na majukumu ya hapa na pale, nikashindwa ku-post, naamini hakijaaribika kitu kwani pamoja na yote nimekuwa nikipata nafasi za kusoma thread za wanajamii wenzangu,🙂 ingawa ntaimiss free...
  17. J

    Bunge limepoteza Wabunge wengi lakini bado hawajali kwa kuvaa barakoa

    Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali. Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini? Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na...
Back
Top Bottom