barakoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Pascal Mayalla ataka wataalamu wa Kemia waje watueleze sintofahamu ya Fumigation na Barakoa baada ya kutafakari hotuba ya Rais Magufuli

    Mwandishi wa habari nguli mh Pascal Mayalla amewataka wataalamu wa Kemia kuja hadharani na kutuchambulia faida na hasara za kupiga fumigation mitaani na kwenye vyombo vya usafiri kama kuna tija kwenye mapambano dhidi ya Corona. Kadhari watuelimishe juu ya ubora wa barakoa kama zinaweza...
  2. Erythrocyte

    Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

    Wahenga walishasema tangu zamani kwamba kutoa ni moyo , na wala si utajiri , huyu Devota Minja yeye ameamua kutoa barakoa ili kuwaokoa wananchi dhidi ya vifo vya corona. Lakini inafahamika kwamba Tajiri Mohamed Abood yeye miaka yote anatoa Magari ya kubebea maiti kupeleka makaburini kuzika ...
  3. J

    #COVID19 Jifunze matumizi sahihi ya Barakoa ujikinge na #COVID19

    MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MATUMIZI YA BARAKOA Uvaaji wa barakoa au “mask” ni moja ya njia za kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali ya kuambukiza. Katika kudhibiti kusambaa kwa Virusi vya #Corona Barakoa inapaswa kuvaliwa endapo unakohoa au kupiga chafya, mtu wa karibu yako ana dalili...
  4. P

    Uvaaji wa barakoa usigeuzwe kuwa fasheni

    Mengi yamesemwa kuhusiana na hizi barakoa na hadi sasa hivi kuna baadhi ya watu hawajazielewa vizuri. Kuna wanaodai zile za kutengenezwa mtaani hazifai kabisa lakini kuna kundi la watu wengine wanadai hata hivyo zinasaidia kuliko kuacha kabisa kuvaa. Nilichokishuhudia leo kwa jirani yangu...
  5. FRANCIS DA DON

    Viboko au faini, adhabu ipi inawafaa wakaidi wa kuvaa barakoa?

    Leo nimeshuhudia roughly 30% ya watu Kariakoo wakiwa hawajavaa kabisa barakoa, yaani wanaamini kwamba 70% ya watu ambao wao wamevaa barakoa ni mtaahira au wendawazimi of some sort. Hivi RC anatoa agizo la halali kabisa halafu mtu bila woga anakaidi bila wasiwasi wowote, where is the...
  6. S

    Ushauri: Katika kuhamasisha matumizi ya barakoa, Rais Magufuli, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, mkijitokeza hadharani ni vizuri muwe mmevaa barakoa

    Nashauri katika kupambana na ugonjwa corona, viongozi wakuu wa kitaifa kwa maana ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, wawe wanavaa barakoa kila wanapojitokeza hadharani iwe ni katika mikutano na waandishi wa habari ingawa mikutano hii nayo inapaswa kuepekuwa au waendapo kusali katika nyumba...
  7. C

    OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
  8. Emmanuel Robinson

    Namna ya kutengeneza barakoa rahisi

    Kutokana na umuhimu wa barakoa jifunze hapa namna ya kutengeneza barakoa rahisi
  9. Roving Journalist

    Kuhusu matumizi ya barakoa, kuadimika na kupanda bei, Waziri Kivuli Afya Cecilia Daniel Paresso atoa kauli

    TAARIFA YA WAZIRI KIVULI WA AFYA, MAENDELEO, YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA VYOMBO VYA HABARI Kumekuwepo na sintofahamu kubwa miongoni mwa Watanzania juu ya ufahamu wa aina gani sahihi ya barakoa (mask) wanazopaswa kuvaa pale wanapokuwa katika shughuli zao za kila siku ili kujikinga...
  10. Erythrocyte

    Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

    Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya . ====== Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile, ametolea Ufafanuzi Clip...
  11. Influenza

    RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

    Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask). Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa” Aidha, ameagiza kuwa...
  12. J

    RC Mtwara: Kuanzia Jumatatu mtu yoyote anakwenda ofisi ya Mkuu wa Mkoa ni lazima avae barakoa ( mask )

    Mkuu wa mkoa wa Mtwara amesema kuanzia jumatatu mwananchi yoyote atakayefika ofisi ya mkuu wa mkoa ( mkoani) ni lazima avae barakoa vinginevyo atazuiliwa getini. Mkuu wa mkoa amechukua hatua hiyo kama jitihada zake za kuzuia maambukizi ya Covid 19. Chanzo: ITV habari!
  13. Influenza

    CoronaVirus-Tanzania: Watu wote wanaoenda katika Mahakama za Tanzania watakiwa kuvaa Barakoa

    Uongozi wa Mahakama ya Tanzania umesema Wadau wote wa Mahakama pamoja na Wananchi kwa ujumla watakaofika Mahakamani kuanzia Jumatatu Aprili 20, 2020 watatakiwa kuvaa Barokoa Hatu hii ni moja ya mikakati iliyowekwa na Mahakama katik kuzuia kuenea kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa wateja wake...
  14. J

    #COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums COVID-19-...
  15. Fya-fyafya

    Barakoa 😷 Kujilinda na COVID-19 zauzwa Tshs. 2000 na Bila kuivaa huingii lango la Hospitali kwenda kupata matibabu

    Ugonjwa wa Corona Virus au Covid-19 unazidi kuleta madhara na kusababisha vifo mbali mbali duniani na hapa nchini. Bila shaka nchi yetu ndo miongoni mwao nchi chache barani Afrika ambazo zimechukua tahadhari kadhaa bila kufungia wananchi wake ndani (Lockdown) na kuacha wananchi waendelee...
  16. Magonjwa Mtambuka

    Wakenya waanza kuuziana chupi kama barakoa

    Ni huko Murang'a, hawa nyang'au akili zao wanazijua wenyewe. Chanzo cha habari.
  17. Ngonidema

    Barakoa zimepanda bei gafla

    Wauzaji wa vifaa vya kujinginga na gojwa hatari la covid 19, wamepandisha bei za barakoa (mask) zile zilizokuwa zinauzwa shiling 1000 /= zimepandishwa kwa sasa ni elfu tatu (3000/=), ukiwauliza wanasema na wao wapandishiwa kodi na serikali, kama ni kweli serikali mna nia gani na watanzani?
  18. Analogia Malenga

    Kenya kuvaa barakoa ni lazima, asiyevaa barakoa anaweza kwenda jela miezi sita

    Inspekta jenerali wa Polisi, Hilary Mutyambai amewaagiza polisi kumkamata mtu yoyote atakayeonekana mitaani bila kuwa na barakoa. Kuvaa barakoa ni lazima ili kuzuia maambukizi ya #Covid19. Swala hilo limeshatangazwa na gazeti la serikali kupitia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali Aprili 6...
  19. Nyendo

    Wananchi kufundishwa kutengeneza barakoa

    Serikali imesema wataalamu wa afya, wanamalizia kufanya mchakato wa namna bora na sahihi ya jinsi ya kutengeneza barakoa, zinazofaa kuvaliwa kwa wananchi kama njia mojawapo ya kujikinga na virusi vya corona. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine...
  20. Conwel Ngani

    Ili kukabiliana na upungufu wa mask (barakoa) wizara ya afya itoe muongozo wa mask za namna hii kama ikionekana zinaweza kufaa

    Kitendo cha mabeberu kuanza kuibiana mask inaonekana kuna upungufu mkubwa sana wa mask duniani kwa namna hiyo napenda kuwasilisha mawazo yangu kwa wizara ya afya kuangalia mask za namna hii na kutoa muongozo kwa matumizi ya kawaida ya mitaani na majumbani kama ikioneka zinaweza kufaa HASA KUZUIA...
Back
Top Bottom