barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo! Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika! Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika) Hii inamaanisha kwamba...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanyonge waanza kumiliki barabara

    Hawa watu wanaoitwa 'wanyonge' walianza kujimilikisha sidewalks, now taratibu wameanza kununua hisa za barabara, soon nazo watazimiliki.
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dr Alinda Mashiku: Mtanzania anayeongoza kitengo cha NASA kinachosimamia Satelite zisigongane angani

    Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani zisigongane Angani .Wanawake wanaweza Huyu akija Tanzania Traffic waongoza magari Wanaume lazima wakimbie...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Video: Trafiki akijidhalilisha kwa kucheza barabarani

    tabia ya hawa trafiki kufanya mambo ya ajabu ajabu barabarani yanadhalilisha jeshi la polisi. Hii inaendana kinyume na miiko ya kazi kabisa. Wengine mtapinga ila hii tabia imekuwa too much sasa kwa trafiki. Itapelekea hadi nidhamu kushuka. Kwenye hii video nimeshangazwa sana na kusikitika.
  5. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Alama hii ya Tahadhari barabarani inamaanisha nini?

    Naiona sehem chache sana. What's so special about it?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hivi wahandisi wetu huwa wanawaza nini kuweka vituo vya daladala barabarani?

    Kuna vitu unaviona hata kama sio mhandisi lakini unashangaa, huyu ama hawa wahandisi wamesomea wapi? Ukiangalia barabara zote za Dar kiuhalisia hakuna foleni kiviile ila shida kubwa inayochangia kuwepo na foleni ni vituo vya daladala kua barabarani ama karibu sana na taa za Barabarani. Mfano...
  7. Bamileck

    JamiiForums Tanzania Roundabout vs traffic lights: Kipi kinasaidia watu kutopoteza muda barabarani?

    Suala la foleni katika miji limezidi kuwa changangamoto. Nini kinaisaidia kutokomeza watu kukaa Barabarani muda mrefu Kati ya roundabouts na trafic lights? Kwa upande wangu, roundabout nazipa asilimia 100 katika upunguzaji wa foleni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tusubiri lori liparamie wanaofanya biashara barabarani ndio tuchukue hatua?

    Naandika kwa tahadhari tu. Toka mwaka 2016 kasi ya watu kujenga vibanda, mabanda na kujazana kandokando ya barabara kufanya biashara na shughuli mbalimbali imekua ikiongezeka kila kukicha na kwa kasi kubwa sana.Vijana wanaitana tu toka vijijini kuja mjini kuanzisha misheni town kwa kuuza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hatuhitaji tena ziara zako za barabarani, hazina msaada wowote kwetu

    Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa. Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi. Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji wa sheria barabarani, with impunity!

    Hii ndio jeuri ya serikali siku hizi!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

    Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani

    Wanabodi. CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe...
  13. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na Bajaji msijione mmesaidiwa kwa faini kuweni makini eshimuni sheria za barabarani

    Niseme tu kwamba hawa bodaboda na Bajaji nimewaona wakiwa na furaha kedekede bila ya kujua kuwa pamoja na kupunguza faini lazima watii sheria za barabarani na kuhakikisha vyombo vyao vya moto viko sawa na havina itilafu ambayo huenda vikasababisha trafiki wakawakamata. Sikatai wafurahie ila...
  14. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

    Mwanzo mwanzoni nikiri kuwa nimefuatilia na bado naendelea kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kuna jambo, lakini, nimeliona kwa haraka. Ni kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa adhabu kwa makosa ya barabarani kwa waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda na bajaji...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Faini za Barabarani kwa Bodaboda sasa ni Tsh. 10,000

    Kati ya mambo ya maana katika budget hii ni kupunguzwa kwa faini za barabarani. Hii Tsh. 10,000 ndio tulikuwa tunawahonga askari wa barabarani, sasa naandaa Tsh. 2,000 wakigoma kupokea nawaambia tena kwa kiburi kikubwa kinachoambata na madoido nipatieni hicho kirisiti nitalipa mbele ya safari...
  16. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kuna mawe makubwa yametegwa barabarani mlima Salanda muda huu

    Polisi nendeni haraka! Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo. Inauma kumkosa Magufuli!
  17. S

    JamiiForums Tanzania Askari huyu wa Usalama Barabarani anayeongoza magari kwa mbwembwe anafurahisha wengi

    Kuna huyu trafiki anaeongoza magari kwa mbwembwe(huku anachezacheza) anaonekana kuvutia na kufurahisha watu wengi. Sijui ndio kuipenda kazi yake au laa, ila anachofanya ni kuwafanya watu wengine wanaomuona kupenda kazi zao hata kama wanazifanya katika mazingira magumu kwani anaonesha kuipenda...
  18. S

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

    Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara Chanzo: ITV habari Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu. Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Polisi barabarani dhidi ya walipa kodi ni hujuma isiyo na afya kwa Taifa

    Mabibi na mabwana niko safarini kuelekea pande za Burigi katika kutia shime juhudi za kizalendo zenye mashiko zilizoasisiwa na hayati mzee baba katika kulisukuma gurudumu la utalii wa ndani, mbele. Niliyoyashudia njiani hasa kuwahusu wale waliozowea kubrashi viatu kwa kutumia pesa za wengine...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kupambana na rushwa ni kuondoa nenda rudi ya taasisi za Umma

    Ni furaha kuona kamanda wa taasisi nyeti ya kupambana na rushwa anakuja kutoka polisi akiwa anajua mifumo yote ya utoaji haki ndani ya jeshi la polisi kujawa na rushwa kuanzia barabarani, jinsi trafiki na polisi wanavyochukua rushwa mpka vituoni hakika tuna imani kubwa na kamanda aende kuweka...
Back
Top Bottom