barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Kila baada ya sekunde 24 mtu mmoja hufariki kwa ajali za barabarani

    Kila sekunde 24 mtu mmoja anakufa kwenye ajali ya barabarani! Ndivyo ulivyoanza ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika maadhimisho ya leo ya siku ya kukumbuka waliopoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na ajali za barabarani. Katibu Mkuu anasema katika kuadhimisha...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania 70% ya ajali za barabarani Zambia 🇿🇲 zinasababishwa na madereva waendeshao magari automatic

  3. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Miaka 24 still strong barabarani, Yamaha 4gl-90

    Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan. Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita...
  4. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani mnasababisha foleni acheni taa ziongoze magari

    Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi" Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake. Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
  5. jagular

    JamiiForums Tanzania Arusha imekuwa safi baada ya vibanda kuondolewa barabarani

    Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu. Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya...
  6. Billionaire101

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  7. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tunashindwa kufuata sheria za barabarani?

    Wakuu nimekuwa najiuliza tuna shida gani sisi watumia barabara hasa kwenye mataa (Trafic lights). Mara nyingi nimeona taa zinaruhusu magari na wakati yanaanza kuondoka wanatokea watembea kwa miguu wanakatiza barabara ambayo ni hatari kwao. Pia nimeona baadhi ya wenye magari kusimamisha magari...
  8. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuwaondoa machinga liwe la kudumu, 2030 tusiwaone tena barabarani

    Wadau nawasabahi, Tunaziomba mamlaka zote zinazohusika na zoezi la kuwaondoa machinga kuwa zoezi hili liwe la kudumu kwani mazoezi kama haya huwa ya nguvu ya soda kutokana na kufanyika kisiasa zaidi unaweza kukuta 2030 wanaruhusiwa kufanya biashara zao hata ndani ya viwanja vya ndege. Muhimu...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali ije na muswada rasmi na katazo la biashara barabarani

    Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani. Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani. SAD AND PAIN BUT TRUTH! KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kero ya Bunju B, mchinga hadi barabarani: Serikali haioni kero hii?

    Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B. Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na bodaboda na bahaji xote wanagomnea kupita. Matokeo yake asubuhi na jioni hapapitiki, foleni hadi...
  11. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

    Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi...
  12. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Taa za barabarani ni kero/zinadumaza uchumi

    Nimekuwa napita kwenye taa za barabarani maarufu ka traffic light Naona zimekuwa ni kero saana kwani zina fanya barabara kuu highway itumike muda mfupi sana. Na maanisha kwa barabara zimekutana kama cross (jumlisha) barabara hufungwa karibia masaa sita kwa siku ( kila moja) Hii ni upotevu...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ajali Barabarani: Chuma juu ya chuma

  14. N

    JamiiForums Tanzania IST zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari

    Habari wakuu, kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari ni nani aliyepagawa Kwa wale mnaofahamiana na madereva wa 'ist' tunaomba mtueleze ni watu wa aina...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya wamachinga juu ya mitaro barabarani ndio chanzo cha harufu mbaya Dar es Salaam

    Jana mchana wakati nimetoka kanisani Pugu Kajiungeni (Njia panda ya Chanika na Kisarawe ) niliamua nikapate viepe na kuku kwa muuza chips aliyeko kando ya barabara. Nimefika pale nilishangaa yule kijana muuza chips anawezaje kukaa pale angalau kwa nusu saa. Yaani kijana yule pale ndipo maskani...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wetu wa Kiafrika hawawezi kufuata sheria za barabarani hadi wasimamiwe?

    Niko barabarani kwa mguu natoka mahali kwenda mjini kuna basi ya abiria imepita kwa speed sio nzuri sana eneo ambalo halitakiwi. Sijajua hivi vibao vinavyoonyesha speed ya gari ya kutembea eneo husika vina maana gani kwa sisi madereva wa kiafrika.Sijajua alama za pundamilia za kuvuka watembea...
  17. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Yajue mabadiliko yanayokuja katika Sheria ya Usalama Barabarani

    Serikali inakusudia kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Marekebisho yaliyowasilishwa Bungeni kupitia Mswaada wa Marekebisho ya Sheria ya makosa ya Barabarani ni pamoja na:- 1. Marekebisho katika Kifungu cha 21, kwa kuweka sharti la lazima kwa mtu yeyote...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Njia yoyote ya kuwaondoa wamachinga barabarani ni kutuliza maumivu tu ila sio tiba

    Kutumia nguvu kuwaondoa barabarani au kuwapanga wamachinga maeneo maalum kwa njia zozote za amani ni sawa na kutumia paracetamol au aspirin kutibu Malaria au UTI. Utatuliza maumivu kwa muda tu ila Ugonjwa utakuwa pale pale. Umachinga uliokithiri na kuwa tegemeo la vijana ni matokeo ya uchumi...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mipango Miji na idara mbalimbali kwanini zisitungwe sheria na kanuni kila nyumba iliyopo barabarani kuwa na fremu zenye bei elekezi

    Kiukweli watanzania wanamitaji midogo ya kupata sehemu za kujiegesha kwa ajili ya biashara zao. Lakini wenye nyumba hawa tengenezi aina mifumo ambayo hata yule kijana au yoyote anayetaka kufanya biashara basi hata kuwa na sehemu ambayo ni elekezi na bei nzuri. Kwa Dar es Salaam naona...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo! Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika! Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika) Hii inamaanisha kwamba...
Back
Top Bottom